Zilipita kwanjia ambazo garama ya usafirishaji wa bidhaaa hadi kwa mtumiaji kule kijijini kwenu, nikubwa kiasi ambacho mtumiaji wa mwisho analipia beikubwa kununua bidhaaa ilee. Hivyo usafirishaji wa reli ya kisasa ni muhimu kwakua garama yake ni ndogo ukilinganisha na bidhaa iliyosafirishwa kwa njia ya barabara. Chaajabu lisu haelewi chochote kuhusu hayaaa. Halafu anatulazimisha tumpe uraisi.
Kwahiyo unataka kutuaminisha kwamba hakuna reli Tanzania?
Kama zipo kwanini zisitumike hizo?
Kama iliwezekana kufufua reli kutoka Dar mpaka Moshi kwanini ishindikane kuboresha hizi njia nyingine za treni badala yake inajengwa nyingine pembezoni mwa ile ya zamani tena kwa trillion 7?
Trillion 7 Tsh
Kama sio ushamba wa ccm zingeweza kusambaza na kumaliza tatizo la maji Tanzania nzima na
Tungejenga taifa lenye afya kwa kuepuka magojwa mengi hasa ukizingatia magonjwa mengi 60% yanasababiahwa na maji machafu na yasiyo salama
Wananchi wangepata muda mzuri zaidi wa kufanya shughuli za kiuchumi kuliko kutafuta maji (hasa akina mama vijijini)
Serikali ingenufaika kwa fedha nyingi kupitia bili za maji Tanzania nzima
Tungepunguza umasikini kwa kumaliza tatizo la maji kwa shughuli za kilimo cha umwagiliaji na viwanda vidogo vinavyotegemea maji kama malighafi kuu.
nk
Binafsi mtu akiniambia anachagua kununua ndege wanashindwa kuwalipa wastaafu, vijana hawana ajira ningemshauri fedha hizo akawekeze kwenye kilimo cha umwagiliaji na atengeneze utaratibu wa vijana kujiajiri huko.
AU
Angezipeleka zooote kwenye kutangaza utalii/vivutio vya Tanzania na matokeo chanya yangeonekana kama inavyofanya South Africa na Mouritious.
Halafu Tundu Lissu halazimishi watu wamchague anayelazimisha na kutisha wananchi ni maguful hili nalo tukwambie hujaona Bunda?!