Uchaguzi 2020 Tundu Lissu anaahidi kufufua viwanda gani?

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu anaahidi kufufua viwanda gani?

11 September 2020
Morogoro, Tanzania

Maendeleo ya Watu kupitia ajira za viwandani

Tundu Lissu azungumzia kuhusu viwanda kuuliwa Morogoro chini ya utawala wa CCM mfano viwanda vya ngozi, tumbaku ..... na siyo Morogoro tu bali Tanzania nzima.

 
Mmmh Leo ndo nimeamin ccm wasomi ni wachache na mtaji wa CCM ni watu wajinga

Ivi kwa Mtanzania anaejielewa anaweza kushangaa habari ya viwanda kufa? Basi huyo atakuwa mwendawazimu.

Kwa taarifa yako tu kuanzia mwaka 1979 viwanda vingi vilianza kufa kwa sababu ya anguko la kiuchumi mfano. Kiwanda cha nguo Mbeya.
Ova...niwashaur vijana wa Lumumba, Lisu akiongea msiwe mnakurupuka kujibu ata kama mliagizwa na bashiru mana mtakuwa mnadharirika tu.
Sio tu kiwanda Cha Mbeya no Mwanza jineri, Mwatex nyakato, urafiki dsm na viwanda vingine kibao vimekufa na vikatelekezwa vimebaki magofu tu.
 
T

Tupatie majibu ya ruzuku ya billion miatatu 300 imeifanyia nini?sasa MTU ofisi ya chama hameshindwa ataweza kuendesha nchi.
Ccm waliwahi kujenga offisi wapi na lini wakati muda wote wanatumia offisi za majengo ya umma
 
Ujinga= umasikini, ujinga unakufanya ushindwe kujitambua, ujinga unakufanya ushindwe kufikiri na kupambanua mambo vizuri,
kuna hajakubwa Sana ya kubadili mfumo wetu wa elimu ili Watanzania waondolewe ujinga.

Maana ya ujinga ni hali ya kutokujua kitu ( stupidity)

Unapoona watu wanabishana kwenye mambo ambayo yapo wazi ujue kinachosumbua hapo ni ujinga.

Ni rahisi sana kuongoza taifa lenye wajinga wengi. Maana wanaojitambua wakikunyima kura wajinga wanakupigia kura.
 
Vitaje hivyo viwanda vya kufufua bwashee......povu halikusaidii!
We labda umezaliwa juzi ndo maana unauliza viwanda vilivyo kufa morogoro.
1: Kiwanda Cha maturubai.
2: Kiwanda Cha kutengenezea vyombo
vya udongo.
3: Kiwanda Cha magunia
4: Kiwanda Cha tumbaku. Nk
Kwa taarifa yako nenda morogoro na utembelee mtaa unaoitwa viwandani ndo utafahamu idadi ya viwanda vilivyo kufa, acha kujaribu kuipima akili kubwa ya Lisu, uwezo wake changanya CCM yote na bado hawamfikiii.
 
Urafiki textiles
Morogoro canvas
Bora shoes
Mwatex
Kilitex
Ufi
Tanganyika packers
Mkonge
General tyre
Fishnet
Sungura tex
 
Bwashee vipo vingi tu njoo kwetu huku ujioneee
Nimemsikia Tundu Lisu akiahidi mjini Morogoro kwamba endapo atachaguliwa kuwa Rais wa Tanzania atafufua viwanda vyote vilivyokufa.

Ndio namuuliza hivyo viwanda vilivyokufa viko wapi? Atoe hata mifano 10 kama ana sema kwa utafiti na takwimu.

Watanzania siyo wajinga.

Maendeleo hayana vyama!
 
Ndugu hutakiwi hata kulipwa bk.3 kwa kazi mbovu unayofanya
Hiiii pingapinga yenu ya ufipaniiii inwagarimu saaana, kila bunge likipanga bajet nyie mnaweka makaratasi puani na mdomoni na kutoka injeee. Ona sasaa huelewiii kinachoendelea kuhusu miladii hiii
 
Kwel we n zumbukuku
lissu ni mgombea wa hovyo kuliko wote ambao upinzani uliwahi kutoa nchi hii
Yaani anajikuta tu hana cha kusema anaropoka,kuna kiwanda gani huko moro kinahitaji kufufuliwa?
 
Nimemsikia Tundu Lisu akiahidi mjini Morogoro kwamba endapo atachaguliwa kuwa Rais wa Tanzania atafufua viwanda vyote vilivyokufa.

Ndio namuuliza hivyo viwanda vilivyokufa viko wapi? Atoe hata mifano 10 kama ana sema kwa utafiti na takwimu.

Watanzania siyo wajinga.

Maendeleo hayana vyama!
Kwa kuwa Lissu anajua ukweli wote kuhusu porojo za awamu hii ya tano kujenga viwanda zaidi ya 8,000 ambavyo hakuna mtu yeyote yule ambaye aliwahi kuviona, kuonyeshwa ama hata kuambiwa vipi wapi!

Kauli ya Lissu ni kuwa Morogoro no mojawapo ya maeneo ya kimkakati ambayo viwanda vya usindikaji wa matumda na chakula vinapaswa kujengwa. Aidha aliweza kuongelea kiwanda cha viatu ana mashaka na uendeshaji wake
 
Huna loloteee. Hujui lolote kwenyeee huuu mladiiii
Wewe kapuku,tuanzie hapo Dodoma-Dar ambapo bado hapajakamilika!
Kwahiyo mizigo itakuwa inasafirishwa kwa SGR kutoka Dar -Dodoma?Reli ya kawaida itabeba nini?
Huko Rwanda reli haitafika!Ni geresha tu!
[/QUOTE
Hujui lolote kenye huuu mradi. Hunataarifa kama kutakuwa na bandari ya inchi kavu hapo kibaha?? Swali
Ndugu hutakiwi hata kulipwa bk.3 kwa kazi mbovu unayofanya
Vipi mbona chadema hawaweki mabarakoa midomoni kama zamanii, au nawao wamekubali korona imeisha.
Zile kiki zimeishaaa??
Hovyokabisa
 
Mmmh Leo ndo nimeamin ccm wasomi ni wachache na mtaji wa CCM ni watu wajinga

Ivi kwa Mtanzania anaejielewa anaweza kushangaa habari ya viwanda kufa? Basi huyo atakuwa mwendawazimu.

Kwa taarifa yako tu kuanzia mwaka 1979 viwanda vingi vilianza kufa kwa sababu ya anguko la kiuchumi mfano. Kiwanda cha nguo Mbeya.
Ova...niwashaur vijana wa Lumumba, Lisu akiongea msiwe mnakurupuka kujibu ata kama mliagizwa na bashiru mana mtakuwa mnadharirika tu.
Kwa umeme upi ikiwa JNHP haitaki?
Kwa miundombinu ipi ya kusafirishia bidhaa ikiwa ujenzi wa reli na barabara hataki.

Ushabiki unashida. Ccm hawafai lkn huyu Hafai zaidi.

Kwa wasomi wetu tunaowategemea kuchuja sera , wangetusaidia.
Ikiwa miundombinu ambayo itasafirisha malighafi toka kwa mkulina haipo je utazalisha bidhaa yenye bei gani?

Ikiwa bidhaa inayozaliwa haiwezi kumfikia mtu wa kijijini kirahisi itamfikia ikiwa na bei gani?

Jpm aweza kuwa zipo sehemu hafai lkn kwa upinzani huu yeye ni bora zaidi.


Samahani jamani . Hivi Zimbabwe baada ya Mapinduzi ya kumtoa JONGWE hali ikoje huko wanaelekea kwenye neema tupu?

Waafrika tuache ushabiki usio na maana kwa msaada toka nchi za kigeni. Kwanini tusiwe na mfumo wetu kutuvusha? Kwanini viongozi wetu wabinafsi kiasi hiki?
Kiongozi unamiliki vitu vingi utapeleka wapi? Ujinga kabisa. Ndio maana wanataka wafie kwenye madaraka.
Ukifa huwi malaika ni mifupa tu. Pumbavu sana
Wengine wasomi wanakuwa vibaraka wa wezi wa maliasili zetu madini nk
Viongozi wanafiki ,watesi wa wenzao na kutaka watawale milele.
Nani AMETULOGA?
CFR, ILLUMINATI, na Washirika wao wanaendesha dunia kuelekea mfumo wa Kishetani.
Wata create Chaos kila mahali dunia isiwe na Amani.
Its a matter of praying to God The Almighty
 
Nimemsikia Tundu Lisu akiahidi mjini Morogoro kwamba endapo atachaguliwa kuwa Rais wa Tanzania atafufua viwanda vyote vilivyokufa.

Ndio namuuliza hivyo viwanda vilivyokufa viko wapi? Atoe hata mifano 10 kama ana sema kwa utafiti na takwimu.

Watanzania siyo wajinga.

Maendeleo hayana vyama!
Wala ata usiende mbali Ayo maneno kaongea akiwa morogoro chapu kwa haraka viwanda Kama vitatu vimefungwa 2019 - 2020
Kiwanda Cha tumbaku TTPL Tena hiki ndo babalao
Kiwanda Cha sigara
Kiwanda Cha nguo Mazava
 
Unazungumzia viwanda vilivyobinafsishwa ndio uvifufue?......nyie ni mabepari wa wapi?

Hiyo Urafiki yuko mchina aliyewekeza tangu kinaasisiwa, UFI yupo Maboya anatangaza Injili!

Kwahiyo mnafikiria kufufua azimio la Arusha bwashee?!
Sera yenu ya ubinafsishaji mfu haituitaki. Vimebinafsishwa kwa tija ipi? Kama vimebinafsishwa halafu havizalishi vina maana gani. Tunataka tuone tija.
 
Back
Top Bottom