Mibas
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 4,196
- 6,367
Kiwanda cha korosho Mtwara, kiwanda cha mkonge tanga, kiwanda cha samaki mafia kiwanda cha vitu vya plastic amboni tanga
Kiwanda cha mipira ya magari Arusha General tyres
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiwanda cha korosho Mtwara, kiwanda cha mkonge tanga, kiwanda cha samaki mafia kiwanda cha vitu vya plastic amboni tanga
Mwambie atutajie hivyo viwanda atakavyofufua na mwisho akaifufue na Bills maana anakurupuka tu!
Kiwanda cha mipira ya magari Arusha General tyres
Bora lissu anasema atafufua viwanda vilivyokufa, Magufuli alisema atajenga viwanda, Amejenga viwanda vingapi mpaka sasa?Nimemsikia Tundu Lisu akiahidi mjini Morogoro kwamba endapo atachaguliwa kuwa Rais wa Tanzania atafufua viwanda vyote vilivyokufa.
Ndio namuuliza hivyo viwanda vilivyokufa viko wapi? Atoe hata mifano 10 kama ana sema kwa utafiti na takwimu.
Watanzania siyo wajinga.
Maendeleo hayana vyama!
Huyu jamaaa hajui kitu tayalii, yaaaniii anaponda ujenzi wa reli halafu anasisitiza ujenzi na ufufuaji wa viwanda, hivi anafikiri hizomaligafi zitapitia wapi kwenda kiwandani? Au bidhaa kwenda kwa watumiaji? Mh. Mbowe naomba ukae vizuri na mgombea wako ulietuletea. Kiukweli anakuaibisha we we na chama chako. Yaani hana mtririko wa kipi anataka kuwatumikia watanzania. Ni ushauli tuuu
mpaka tarehe 27 mtaita maji mma.Huyu ni wakuonea hurumu ameshindwa kujenga ofisi ya chama wanapanga na wanalipwa mamilion leo afufue kiwanda .aibu sana huyu mpiga mizinga mikutanoni
Nimemsikia Tundu Lisu akiahidi mjini Morogoro kwamba endapo atachaguliwa kuwa Rais wa Tanzania atafufua viwanda vyote vilivyokufa.
Ndio namuuliza hivyo viwanda vilivyokufa viko wapi? Atoe hata mifano 10 kama ana sema kwa utafiti na takwimu.
Watanzania siyo wajinga.
Maendeleo hayana vyama!
SeeeeemaaaaaaaWe jamaa bwana
Zilipita kwanjia ambazo garama ya usafirishaji wa bidhaaa hadi kwa mtumiaji kule kijijini kwenu, nikubwa kiasi ambacho mtumiaji wa mwisho analipia beikubwa kununua bidhaaa ilee. Hivyo usafirishaji wa reli ya kisasa ni muhimu kwakua garama yake ni ndogo ukilinganisha na bidhaa iliyosafirishwa kwa njia ya barabara. Chaajabu lisu haelewi chochote kuhusu hayaaa. Halafu anatulazimisha tumpe uraisi.Kabla viwanda havijafa malighafi zilipita wapi?
Hivyo viwanda vilivyouliwa na CCM. Si unavijua?Nimemsikia Tundu Lisu akiahidi mjini Morogoro kwamba endapo atachaguliwa kuwa Rais wa Tanzania atafufua viwanda vyote vilivyokufa.
Ndio namuuliza hivyo viwanda vilivyokufa viko wapi? Atoe hata mifano 10 kama ana sema kwa utafiti na takwimu.
Watanzania siyo wajinga.
Maendeleo hayana vyama!
Unazijua bilion 300 au unapayuka tu hapa!Lumumba mmejazana wajinga!T
Tupatie majibu ya ruzuku ya billion miatatu 300 imeifanyia nini?sasa MTU ofisi ya chama hameshindwa ataweza kuendesha nchi.
T
Tupatie majibu ya ruzuku ya billion miatatu 300 imeifanyia nini?sasa MTU ofisi ya chama hameshindwa ataweza kuendesha nchi.
Nani kakwambia SGR ni kwa ajili ya kubeba mizigo?Mnafeli wapi Lumumba?Huyu jamaaa hajui kitu tayalii, yaaaniii anaponda ujenzi wa reli halafu anasisitiza ujenzi na ufufuaji wa viwanda, hivi anafikiri hizomaligafi zitapitia wapi kwenda kiwandani? Au bidhaa kwenda kwa watumiaji? Mh. Mbowe naomba ukae vizuri na mgombea wako ulietuletea. Kiukweli anakuaibisha we we na chama chako. Yaani hana mtririko wa kipi anataka kuwatumikia watanzania. Ni ushauli tuuu
Kama ni mgombea wa ajabu itakua nafuu kwenu lakn bado anapasua vichwaMwenzako alimradi awe Rais tu, mhurumieni Kwa kuwa Hana alijualo!
Mara atetee ushoga, mara kile, mara hiki, hajielewi baba wa watu!!
Ama kweli, Tanzania tumepatikana!
Tunamgombea wa ajabu haijapata Kutokea nchi hii
Ufipani tabu kwelikweliii. Kwahiyoo hujui kama hiii SGR itabeba mizigo pia na kuisafirisha kwa haraka?Nani kakwambia SGR ni kwa ajili ya kubeba mizigo?Mnafeli wapi Lumumba?
Akili yako ni ya kuvukia barabara tu!Hivi nani kakwambia SGR ni kwa ajili ya mizigo?Eti usafirishaji wa reli ya kisasa😁😁😁!Muwe mnajielimisha kwanza,SGR ni kwa ajili ya abiria kwa maana it is bult for speed!Mizigo itaendelea kusafirishwa na reli iliyokuwepo siyo hii ya kisasa inayojengwa!Zilipita kwanjia ambazo garama ya usafirishaji wa bidhaaa hadi kwa mtumiaji kule kijijini kwenu, nikubwa kiasi ambacho mtumiaji wa mwisho analipia beikubwa kununua bidhaaa ilee. Hivyo usafirishaji wa reli ya kisasa ni muhimu kwakua garama yake ni ndogo ukilinganisha na bidhaa iliyosafirishwa kwa njia ya barabara. Chaajabu lisu haelewi chochote kuhusu hayaaa. Halafu anatulazimisha tumpe uraisi.
SGR is bult for speed!Hapa zitanunuliwa treni za abiria zenye kasi!Mizigo itaendelea kusafirishwa kwenye reli ya zamani ya kawaida!Ufipani tabu kwelikweliii. Kwahiyoo hujui kama hiii SGR itabeba mizigo pia na kuisafirisha kwa haraka?
Tabu kwele kweliiiii.
Viwanda alivyojinga Mwl Nyerere ulidhani hivi vya Vyerehani[emoji1787][emoji1787]Nimemsikia Tundu Lisu akiahidi mjini Morogoro kwamba endapo atachaguliwa kuwa Rais wa Tanzania atafufua viwanda vyote vilivyokufa.
Ndio namuuliza hivyo viwanda vilivyokufa viko wapi? Atoe hata mifano 10 kama ana sema kwa utafiti na takwimu.
Watanzania siyo wajinga.
Maendeleo hayana vyama!
Akili zako za kisoda unatia huruma na familia yako wanajuta kuwa na we we. Hiyo reli itapitisha mizigo na abilia, ndio maana itajengwa had I ruwanda na Burundi. Kwahiyoo huko Burundi na ruwanda nako watakuwa wanabebea abilia kwa mjibu wenu wa wavuta sigara Kali za ufipaniiii. Hii SGR imepenya hadi kuelekea pale kamanga feli mwanza, kwahyo kule itakuwa inabeba wavuviiii???Akili yako ni ya kuvukia barabara tu!Hivi nani kakwambia SGR ni kwa ajili ya mizigo?Eti usafirishaji wa reli ya kisasa😁😁😁!Muwe mnajielimisha kwanza,SGR ni kwa ajili ya abiria kwa maana it is bult for speed!Mizigo itaendelea kusafirishwa na reli iliyokuwepo siyo hii ya kisasa inayojengwa!