johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
MATAGA bana!Nimemsikia Tundu Lisu akiahidi mjini Morogoro kwamba endapo atachaguliwa kuwa Rais wa Tanzania atafufua viwanda vyote vilivyokufa.
Ndio namuuliza hivyo viwanda vilivyokufa viko wapi? Atoe hata mifano 10 kama ana sema kwa utafiti na takwimu.
Watanzania siyo wajinga.
Maendeleo hayana vyama!
Tupatie majibu ya ruzuku ya billion miatatu 300 imeifanyia nini?sasa MTU ofisi ya chama hameshindwa ataweza kuendesha nchi.Mmmh Leo ndo nimeamin ccm wasomi ni wachache na mtaji wa ccm ni watu wajinga.
Ivi kwa mtanzania anaejielewa anaweza kushangaa habari ya viwanda kufa? Basi huyo atakuwa mwendawazimu.
Kwa taarifa yako tu kuanzia mwaka 1979 viwanda vingi vilianza kufa kwa sababu ya anguko la kiuchumi mfano..kiwanda cha nguo mbeya...
Ova...niwashaur vijana wa Lumumba lisu akiongea msiwe mnakurupuka kujibu ata kama mliagizwa na bashiru mana mtakuwa mnadharirika tu
Huyu ni wakuonea hurumu ameshindwa kujenga ofisi ya chama wanapanga na wanalipwa mamilion leo afufue kiwanda .aibu sana huyu mpiga mizinga mikutanoni
Vitaje hivyo viwanda vya kufufua bwashee......povu halikusaidii!Mmmh Leo ndo nimeamin ccm wasomi ni wachache na mtaji wa ccm ni watu wajinga ..
Ivi kwa mtanzania anaejielewa anaweza kushangaa habari ya viwanda kufa? Basi huyo atakuwa mwendawazimu.
Kwa taarifa yako tu kuanzia mwaka 1979 viwanda vingi vilianza kufa kwa sababu ya anguko la kiuchumi mfano..kiwanda cha nguo mbeya...
Ova...niwashaur vijana wa Lumumba lisu akiongea msiwe mnakurupuka kujibu ata kama mliagizwa na bashiru mana mtakuwa mnadharirika tu
Vitaje hivyo viwanda vya kufufua bwashee......povu halikusaidii!
Anawazuga shamba la bibi!Lumumba Wanajibu Lissu pasipo na kifikiri hata kidgo.
kwa nini Dr Bashoru ashindwe kujibu hadi awatume nyie?
FIKICHENI AKILI
T
Tupatie majibu ya ruzuku ya billion miatatu 300 imeifanyia nini?sasa MTU ofisi ya chama hameshindwa ataweza kuendesha nchi.
Wewe binti hujui viwanda gani vilikuwapo Morogoro?Nimemsikia Tundu Lisu akiahidi mjini Morogoro kwamba endapo atachaguliwa kuwa Rais wa Tanzania atafufua viwanda vyote vilivyokufa.
Ndio namuuliza hivyo viwanda vilivyokufa viko wapi? Atoe hata mifano 10 kama ana sema kwa utafiti na takwimu.
Watanzania siyo wajinga.
Maendeleo hayana vyama!
Mwenzako alimradi awe Rais tu, mhurumieni Kwa kuwa Hana alijualo!
Mara atetee ushoga, mara kile, mara hiki, hajielewi baba wa watu!!
Ama kweli, Tanzania tumepatikana!
Tunamgombea wa ajabu haijapata Kutokea nchi hii
Manka unazungumzia historia!!Wewe binti hujui viwanda gani vilikuwapo Morogoro?
Huyu jamaaa hajui kitu tayalii, yaaaniii anaponda ujenzi wa reli halafu anasisitiza ujenzi na ufufuaji wa viwanda, hivi anafikiri hizomaligafi zitapitia wapi kwenda kiwandani? Au bidhaa kwenda kwa watumiaji? Mh. Mbowe naomba ukae vizuri na mgombea wako ulietuletea. Kiukweli anakuaibisha we we na chama chako. Yaani hana mtririko wa kipi anataka kuwatumikia watanzania. Ni ushauli tuuuNimemsikia Tundu Lisu akiahidi mjini Morogoro kwamba endapo atachaguliwa kuwa Rais wa Tanzania atafufua viwanda vyote vilivyokufa.
Ndio namuuliza hivyo viwanda vilivyokufa viko wapi? Atoe hata mifano 10 kama ana sema kwa utafiti na takwimu.
Watanzania siyo wajinga.
Maendeleo hayana vyama!
Kwani huwa wanafufua kilichohai? Wewe la wapi wewe binti?Manka unazungumzia historia!!
Huyu jamaaa hajui kitu tayalii, yaaaniii anaponda ujenzi wa reli halafu anasisitiza ujenzi na ufufuaji wa viwanda, hivi anafikiri hizomaligafi zitapitia wapi kwenda kiwandani? Au bidhaa kwenda kwa watumiaji? Mh. Mbowe naomba ukae vizuri na mgombea wako ulietuletea. Kiukweli anakuaibisha we we na chama chako. Yaani hana mtririko wa kipi anataka kuwatumikia watanzania. Ni ushauli tuuu
Mwambie atutajie hivyo viwanda atakavyofufua na mwisho akaifufue na Bills maana anakurupuka tu!Kwani huwa wanafufua kilichohai? Wewe la wapi wewe binti?