Uchaguzi 2020 Tundu Lissu anaahidi kufufua viwanda gani?

1. Mwatex 2. Mutex 3. Kilitex 4. Mbeyatex. 5. Zana za Kilimo Mbeya 6. Moproco 7. Moro Shoes 8. Bata Shoes 9. UFI 10. Tanganyika packers.
Umeomba kumi nimekupa kumi, ningeweza kukupa 100 lakini asiyejua maana haambiwi maana, kwani jambo usilolijua ni kama usiku wa giza, wewe bado kinda ukikua utamuelewa Lissu akili kubwa
 
Kwahiyo unataka kutuaminisha kwamba hakuna reli Tanzania?
Kama zipo kwanini zisitumike hizo?
Kama iliwezekana kufufua reli kutoka Dar mpaka Moshi kwanini ishindikane kuboresha hizi njia nyingine za treni badala yake inajengwa nyingine pembezoni mwa ile ya zamani tena kwa trillion 7?

Trillion 7 Tsh
Kama sio ushamba wa ccm zingeweza kusambaza na kumaliza tatizo la maji Tanzania nzima na

Tungejenga taifa lenye afya kwa kuepuka magojwa mengi hasa ukizingatia magonjwa mengi 60% yanasababiahwa na maji machafu na yasiyo salama

Wananchi wangepata muda mzuri zaidi wa kufanya shughuli za kiuchumi kuliko kutafuta maji (hasa akina mama vijijini)

Serikali ingenufaika kwa fedha nyingi kupitia bili za maji Tanzania nzima

Tungepunguza umasikini kwa kumaliza tatizo la maji kwa shughuli za kilimo cha umwagiliaji na viwanda vidogo vinavyotegemea maji kama malighafi kuu.
nk

Binafsi mtu akiniambia anachagua kununua ndege wanashindwa kuwalipa wastaafu, vijana hawana ajira ningemshauri fedha hizo akawekeze kwenye kilimo cha umwagiliaji na atengeneze utaratibu wa vijana kujiajiri huko.

AU

Angezipeleka zooote kwenye kutangaza utalii/vivutio vya Tanzania na matokeo chanya yangeonekana kama inavyofanya South Africa na Mouritious.

Halafu Tundu Lissu halazimishi watu wamchague anayelazimisha na kutisha wananchi ni maguful hili nalo tukwambie hujaona Bunda?!
 
SGR is bult for speed!Hapa zitanunuliwa treni za abiria zenye kasi!Mizigo itaendelea kusafirishwa kwenye reli ya zamani ya kawaida!
Hiiii pingapinga yenu ya ufipaniiii inwagarimu saaana, kila bunge likipanga bajet nyie mnaweka makaratasi puani na mdomoni na kutoka injeee. Ona sasaa huelewiii kinachoendelea kuhusu miladii hiii
 
Wewe kapuku,tuanzie hapo Dodoma-Dar ambapo bado hapajakamilika!
Kwahiyo mizigo itakuwa inasafirishwa kwa SGR kutoka Dar -Dodoma?Reli ya kawaida itabeba nini?
Huko Rwanda reli haitafika!Ni geresha tu!
 
Wilaya ya kilombero iliopo mkoani morogoro nilikuwa na viwanda vikubwa sana viwili,kiwanga cha kwanza kilikuwa kinaitwa MMMT kipindi kilee hiki ndio kiwanda kikubwa afrika mashariki , walikuwa wanatengeneza MASHINE za kusaga , wanachonga vipuli vya aina mbali mbali kwa matumizi binafsi ,viwanda nk, kiukweli walikuwa wanafanya kazi ukipeleka kazi yako pale inafanywa kwa weledi mkubwa na mafundi wenye uwezo mkubwa hata hivyo viwanda vingine kama hicho cha tanga,nk walikuwa wanapeleka pale vipuli vyao, kimekufa taratibu mwaka 2005 wakampa lwakatale Yale majengo akafungua shule,



lkn kulikuwa na kiwanda kingine kinaitwa PCM hiki kilikuwa kinashughulikia utengenezaji wa mataaluma ya leli ya tazara pamoja na kutengeneza nguzo za cm za tazara zile za zege,nilitamani kiwanda hiki kiendelee zile nguzo zitumike kwenye umeme maana haziishi wala kuungua au kuliwa na wadudu, lkn kimekufa hiki kiwanda

Kuna kiwanda kilikuwa kinaitwa uwopu,hiki kilikuwa kinajuhusisha na uchanaji WA mbao ,wanafuna magogo hukooo wanasafilisha kisha kuja kuchana mbao,hivi NI viwanda vichache sana kwa maana mkoa WA Moro ndio ulikuwa unaongoza kuwa na viwanda vingi hapa tz enzi hizooooooooo

Sent from my itel S11 using JamiiForums mobile app
 
😳😳😳😳
 

Attachments

  • image.jpeg
    82.6 KB · Views: 1
T

Tupatie majibu ya ruzuku ya billion miatatu 300 imeifanyia nini?sasa MTU ofisi ya chama hameshindwa ataweza kuendesha nchi.
Oyaa ile ahadi ya kila mtu kununuliwa Noah kwa zile pesa za makinikia ziliishia wapi?
 
General tyre unaijua? Urafiki Textiles, UFI unaijua? Hii recruitment ya ccm ni pathetic. Wamewamwaga kama nzige humu watoto wa 2003 eti ndio wawasaidie kufanya propaganda.
 
Bata shoes kilikuwaga wapi hicho?!
 
General tyre unaijua? Urafiki Textiles, UFI unaijua? Hii recruitment ya ccm ni pathetic. Wamewamwaga kama nzige humu watoto wa 2003 eti ndio wawasaidie kufanya propaganda.
Unazungumzia viwanda vilivyobinafsishwa ndio uvifufue?......nyie ni mabepari wa wapi?

Hiyo Urafiki yuko mchina aliyewekeza tangu kinaasisiwa, UFI yupo Maboya anatangaza Injili!

Kwahiyo mnafikiria kufufua azimio la Arusha bwashee?!
 

Yeye na sisi tunajua we kama hujui ngoja tutakushow
 

Cha nguo mwanza, general tire Arusha, vingi sana
 
MATAGA bana!

yaani hivi vijimaswali vya kindergarten ndiyo kweli vya kumuuliza akili kubwa Tundu Lissu?
Ma-ccm Mungu Anawaona Kutuambia Kuwa Mgombea Wenu Ni Mpole na Msikivu Na Mnyenyekevu. Mmetukosea Sana Sisi WananChi Hasa Wabukoba na Mtwara.

Kwa kweli sisi wananchi tunaojitambua Tumehuzunishwa Sana kwa Slow slow kuudanganya Uuma!! Eti! Meko ni mpole na Msikivu ,kama hizo sifa ni za kweli basi Asingetukashifu sisi WanaNchi Wa BUKOBA Pindi tulipo Patwa na Majanga

Badala yake Meko anatuambia SERIKARI yake haikureta tetemeko.
 
Mfano kwa Arusha kuna Kilitex na General Tyre..
 
Hv hata ww huvijui?? Kiwanda Cha zzk mbeya .. Tanganyika Packers.. kiwanda Cha matairi Arusha ..kiwanda Cha tumbaku morogoro ..mwatex na kiwanda Cha Hisoap mbeya na nk
 
T

Tupatie majibu ya ruzuku ya billion miatatu 300 imeifanyia nini?sasa MTU ofisi ya chama hameshindwa ataweza kuendesha nchi.

Mtachanganyikiwa sana Mwaka huu. Mnajitoa ufaham hamjui kama kuna viwanda vimekufa na vingine vimegeuzwa kuwa maghala? mzee wenu katembea na PA miaka 5 leo hii haamini anachokiona alijua kishaumaliza upinzani. Ushaona wapi Rais anatembea na PA?
 
lissu ni mgombea wa hovyo kuliko wote ambao upinzani uliwahi kutoa nchi hii
Yaani anajikuta tu hana cha kusema anaropoka,kuna kiwanda gani huko moro kinahitaji kufufuliwa?
 
Mwenzako alimradi awe Rais tu, mhurumieni Kwa kuwa Hana alijualo!
Mara atetee ushoga, mara kile, mara hiki, hajielewi baba wa watu!!

Ama kweli, Tanzania tumepatikana!
Tunamgombea wa ajabu haijapata Kutokea nchi hii
Inavyooneka ulipo ushoga ni tatizo kubwa kila mara unoongelea ushoga tuu, hebu tueleze hili tatizo kwenu ni kubwa kiasi gani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…