Katika maisha yangu..huu ndy utawala na mtawala mkuu nimeshuhudia akitukana matusi hadharani wazee wetu ambao ni wafanyakazi mchana kweupe. Bila kujali kuwa lugha hyo inasikilizwa na watoto nchi nzima. Katika kipindi ambacho watoto ama watu wamejifunza kauli mbaya sana basi ni kipind cha mtawala huyu.
Mtoa mada je hajawah kusikia maneno makali toka kwa mtawala hyu mpaka Leo uone kuwa yeye ni mstaarabu? Wewe huna masikio? Kwani nikisema wewe ni mwovu ama mwizi na wewe hujakanusha tuhuma zako kweny platform za kisiasa je si utakuwa umekubali? Siasa ni nguvu ya hoja yako msigeuze Matusi baada ya kusemwa ukweli eboo!
Tuliwambia msibane wapinzani mtakuja juta sasa angalieni Mchakamchaka huu..hakna cha vijana wala wazee kujibu hoja hizi za Mpinzani Matata Tundu !!Hakika Tundu ni mtundu amewaweka Tunduni Kitundu!!Mungu bariki Tanzania mpya itakayojali utu wetu na haki zetu!
Sent from my SM-G920F using
JamiiForums mobile app