Uchaguzi 2020 Tundu Lissu anaanza kutumia lugha chafu

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu anaanza kutumia lugha chafu

IMG_20200921_205657.jpg
 
Ukisikiliza Hotuba zake za Kagera, utaona TL anaanza kutumia lugha chafu na za kichochezi.

Lissu amekuwa na mvuto, sijui kwanini ameanza kujiletea utata kwa matusi na tuhuma asizo na ushahidi nazo, Amemwiita Raisi Magufuli Mwizi pamoja na MaRaisi wote waliopita isipokuwa Nyerere.

Yeye ni mwana Sheria na anajua mafunzo yake ya sheria yanasema " INNOCENT UNTIL PROVEN GUILTY", sasa sijui ni sheria gani anayoitumia kuwaita waheshimiwa hawa wezi, na kama anao ushahidi kama ni wezi, kwa nini asiwafungulie kesi na iwapo mahakama itawahukumu, basi hata sie tutakuwa na haki ya kuwaita wezi.

Lissu anazungumzia HAKI, na anailaumu awamu hii kuwa haitendi haki. Jee yeye hapa anatenda haki?? TL Practice what you preach
Siiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiisiem woyyeeeeeeeeeee!! ✌ ✌ ✌ ✌✌✌✌✌✌🐸🐸
 
Wew kibwengo haitaishi kusema Lissu kasema JPM ni mwizi. Jiulize alianzia wap kumuita mwiz. Hoja ilikuwa kunyanganya watu Ardhi yao na ukajimilikisha eka elfu 25 na kuwaacha wenyeji hawana kitu. Je huo ni wizi au ni wema. Usiwe zuzu
 
Ukisikiliza Hotuba zake za Kagera, utaona TL anaanza kutumia lugha chafu na za kichochezi.

Lissu amekuwa na mvuto, sijui kwanini ameanza kujiletea utata kwa matusi na tuhuma asizo na ushahidi nazo, Amemwiita Raisi Magufuli Mwizi pamoja na MaRaisi wote waliopita isipokuwa Nyerere.

Yeye ni mwana Sheria na anajua mafunzo yake ya sheria yanasema " INNOCENT UNTIL PROVEN GUILTY", sasa sijui ni sheria gani anayoitumia kuwaita waheshimiwa hawa wezi, na kama anao ushahidi kama ni wezi, kwa nini asiwafungulie kesi na iwapo mahakama itawahukumu, basi hata sie tutakuwa na haki ya kuwaita wezi.

Lissu anazungumzia HAKI, na anailaumu awamu hii kuwa haitendi haki. Jee yeye hapa anatenda haki?? TL Practice what you preach

Jamaa ameprove kwamba kweli yeye ni mwanasheria, anaproveke ili mumjibu... na kiukweli anafanikiwa kwa asilimia zote.... aachwe atumie mbinu zake... kwa hiyo tulia ivyo iiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiivyo...
 
Hata Mimi nimeshangaa kuna mahala anatumia lugha ambayo haipaswi kutolewa na mtu anayegombea nafasi muhimu kama hii.Wale viongozi wawili wa dini ina maana hawamshauri? Hata kumuita mgombea mwenzake "jiwe" I don't think it is fair. Pia sioni kama anawanadi vizuri wagombea udiwani.
Kwani jina jiwe si alijibatiza mwenyewe? Sasa lissu ana makosa gani hapo?
 
Kwani ni lazima tusikilize za kwenu, ww na family yako mkisikiliza inatosha
Usipanic, relax ni wewe mwenyewe ndo umesema tulete sera na tuache propaganda, au ndo umeanza kutetema. Hata ukitetemeka ushindi wa Magufuli ni kama Maji, usipokunywa utaoga tu.
 
Kupewa pesa na nani? Kwa hiyo ina maana kila mtu mwenye mapenzi na chama au mgombea ambaye anafanya vizuri kwa jamii na Taifa basi anakuwa amepewa pesa? Hapo si sawa
Buku 7 za Lumumba, zinakutoa akili hadi unapotosha kweli
 
Mbona wao wanamwita kibaraka kwa ushahidi gani?
Tulieni Lumumba mambo bado mazito kwenu.

Hata mamba wanapigwa risasi hawafi mjue kuwa Mungu atafanya ajabu kuu mwaka huu

Kwani si ni kibaraka kweli!! ameletwa toka ubelgiji na wazungu kuja kuleta vurugu na amekutana na baadhi ya mapunguani kama wewe mnamwona yuko sawa tu wakati Lissu mwenyewe ana faili mirembe
 
Back
Top Bottom