Uchaguzi 2020 Tundu Lissu anaanza kutumia lugha chafu

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu anaanza kutumia lugha chafu

Mtoa mada umeandika shutuma Bila kutoa mfano. Kuna watu mnashangaza kweli kuna mahali Lissu ametukana? Hii ndy mbinu yenu iliyobak I kugeuza maneno kuntu ya Lissu kuwa matusi. Jibuni hoja za Lissu.

Mfano ametoa maelezo ya ujenzi wa airport nyumbani kwa chako. Bila kufuata utaratibu wa kisheria na tend a. Toeni makatatasi yanayojibu hoja ya Lissu ili wenye akili wachambue. Vijana wa Chama fulani mumeshindwa kumsaidia mgombea kujibu maswali magumu mnaanza Kuja na uzushi!!?

Tanzania yetu sote na si ya Kikundi cha watu. Kama leo CCM watakua wakwl tutasema Amina na CDM wanaposema ukweli tunasema Amina!!!

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
 
Pia zipo wapi bilion 252 zilipotea wizara ya ujenzi kwa kuwalipa makandarasi hewa, kipo wapi kivuko cha Dsm Bagamoyo?
Vifaa vya kijeshi havijadiliwi, ji cheki kijaaaaaa
 
Ukisikiliza Hotuba zake za Kagera, utaona TL anaanza kutumia lugha chafu na za kichochezi.

Lissu amekuwa na mvuto, sijui kwanini ameanza kujiletea utata kwa matusi na tuhuma asizo na ushahidi nazo, Amemwiita Raisi Magufuli Mwizi pamoja na MaRaisi wote waliopita isipokuwa Nyerere...
Hivi nyie Mataga nani huwa anawatoa akili?

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Hata Mimi nimeshangaa kuna mahala anatumia lugha ambayo haipaswi kutolewa na mtu anayegombea nafasi muhimu kama hii.Wale viongozi wawili wa dini ina maana hawamshauri? Hata kumuita mgombea mwenzake "jiwe" I don't think it is fair. Pia sioni kama anawanadi vizuri wagombea udiwani.
Kwani nani alimwita Jiwe Jiwe? Je wajua yeye mwenyewe ndiye alianza kujiita Jiwe au huna hizo taarifa?

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Kuna masheikh wako jela miaka 7 sasa, mbona serikali imeshindwa kupeleka ushahidi mahakamani?

Wafanyabiashara wanabambikiziwa kodi ili kuwatemesha mpunga...
Siyo mambo hayo kutufumbia wengine akili zetu nzito AHM, FTS, BWM. Nimeambulia kumtambua Jiwe tu
 
kitendo cha matumizi ya lugha chafu hakikubaliki katika jamii ya kitanzania. Washabiki wake wajitafakari mara mbili mbili. Ndio maana mimi nimeamua kukubali kuiunga mkono CCM, na kumuunga mkono Magufuli.
 
[SUP]kitendo cha matumizi ya lugha chafu hakikubaliki katika jamii ya kitanzania. Washabiki wake wajitafakari mara mbili mbili. Ndio maana mimi nimeamua kukubali kuiunga mkono CCM, na kumuunga mkono Magufuli.[/SUP]

Always lugha chafu ni upinzani,

Wanaoshindwa Kujaza form za ubunge ni upinzani

Watakao vunja Aman ni upinzani

Wanaotumwa na beberu upinzani

Aisee nyie watu bwana
 
Doto katibu mkuu wizara ya pesa ni mtoto wa nje wa mtukufu ukitaka ukweli mpigie huyu 0715132277 sele anamjua vizuri atakupa story zote kwani anajua udhaifu mwingi wa mtukufu
😲😲 jamani hii hatari mtamponza mwenye namba hiyo
 
..nadhani hii ndio hoja mpya ya mataga.

..baada ya kushindwa kujibu hoja ya kuanzisha majimbo.
 
Zile billion mwenyekiti wa saccos alizouza chama mwaka 2015,umezisahau?. Je zile za wabunge waliokuwa wanakatwa mbona hamhoji mwenye chama. Kama kuna wapigaji, saccos namba Moja. Endeleeni kukusanya michango, kwenye hizo nyomi.
Jinsia gani wewe? Mbona uko na hulka za mabinti kusutana na mipasho? Hoja hiyo si kuna kesi TAKUKURUCCM? Tuambie na utupe ushahidi wa kuuzwa kwa chama 2015, otherwise mataga mwaka huu mtataga na wewe ushaanza kutaga
 
Hata Mimi nimeshangaa kuna mahala anatumia lugha ambayo haipaswi kutolewa na mtu anayegombea nafasi muhimu kama hii.Wale viongozi wawili wa dini ina maana hawamshauri? Hata kumuita mgombea mwenzake "jiwe" I don't think it is fair. Pia sioni kama anawanadi vizuri wagombea udiwani.
Kuwa Magufuli ni muovu?
Anakosea wapi?
Anayetukana mama zetu ni mtakatifu?
Anayedhulumu watu kwa kisingizio cha uhujumu uchumi ni mtskatifu?
Anayenunua watu kwa fedha zetu ni mtakatifu?
Anayetisha maaskofu na kuwatafutia sababu kuwafunga midomo ni mtakatifu?
Mtu aliyeshabikia uovu wa akina Makonda ni mtakatifu?
Mtu aliyefukuza waalimu waliofundisha miaka 30 na kutowapa stahiki zao kwa kisingizio cha vyeti fake ni myskatifu?
Hebu funguka
 
Kwenye ukweli lazima tuzungumze ukweli, na mara zote ukweli huwa unakuwa mchungu.

Yan mtu akiwa mapinzani tu anakuwa kama amepoteza haki zake

Achen hayo mambo

Leteni sera za madaraja achaneni na sera za matusi
 
[emoji116]Kampeni sio lelemama wanachemsha
20200923_131357.jpeg
 
Back
Top Bottom