Chief Kabikula
JF-Expert Member
- Jan 1, 2019
- 7,567
- 9,037
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiisiem woyyeeeeeeeeeee!! ✌ ✌ ✌ ✌✌✌✌✌✌🐸🐸Ukisikiliza Hotuba zake za Kagera, utaona TL anaanza kutumia lugha chafu na za kichochezi.
Lissu amekuwa na mvuto, sijui kwanini ameanza kujiletea utata kwa matusi na tuhuma asizo na ushahidi nazo, Amemwiita Raisi Magufuli Mwizi pamoja na MaRaisi wote waliopita isipokuwa Nyerere.
Yeye ni mwana Sheria na anajua mafunzo yake ya sheria yanasema " INNOCENT UNTIL PROVEN GUILTY", sasa sijui ni sheria gani anayoitumia kuwaita waheshimiwa hawa wezi, na kama anao ushahidi kama ni wezi, kwa nini asiwafungulie kesi na iwapo mahakama itawahukumu, basi hata sie tutakuwa na haki ya kuwaita wezi.
Lissu anazungumzia HAKI, na anailaumu awamu hii kuwa haitendi haki. Jee yeye hapa anatenda haki?? TL Practice what you preach
Mimi na nani tuliomwita mhutu?.. after all ni lugha zisizo pendezaMara ngapi mmemuita Rais Mhutu?
Ukisikiliza Hotuba zake za Kagera, utaona TL anaanza kutumia lugha chafu na za kichochezi.
Lissu amekuwa na mvuto, sijui kwanini ameanza kujiletea utata kwa matusi na tuhuma asizo na ushahidi nazo, Amemwiita Raisi Magufuli Mwizi pamoja na MaRaisi wote waliopita isipokuwa Nyerere.
Yeye ni mwana Sheria na anajua mafunzo yake ya sheria yanasema " INNOCENT UNTIL PROVEN GUILTY", sasa sijui ni sheria gani anayoitumia kuwaita waheshimiwa hawa wezi, na kama anao ushahidi kama ni wezi, kwa nini asiwafungulie kesi na iwapo mahakama itawahukumu, basi hata sie tutakuwa na haki ya kuwaita wezi.
Lissu anazungumzia HAKI, na anailaumu awamu hii kuwa haitendi haki. Jee yeye hapa anatenda haki?? TL Practice what you preach
Kwani jina jiwe si alijibatiza mwenyewe? Sasa lissu ana makosa gani hapo?Hata Mimi nimeshangaa kuna mahala anatumia lugha ambayo haipaswi kutolewa na mtu anayegombea nafasi muhimu kama hii.Wale viongozi wawili wa dini ina maana hawamshauri? Hata kumuita mgombea mwenzake "jiwe" I don't think it is fair. Pia sioni kama anawanadi vizuri wagombea udiwani.
Usipanic, relax ni wewe mwenyewe ndo umesema tulete sera na tuache propaganda, au ndo umeanza kutetema. Hata ukitetemeka ushindi wa Magufuli ni kama Maji, usipokunywa utaoga tu.Kwani ni lazima tusikilize za kwenu, ww na family yako mkisikiliza inatosha
Usipanic, relax ni wewe mwenyewe ndo umesema tulete sera na tuache propaganda, au ndo umeanza kutetema. Hata ukitetemeka ushindi wa Magufuli ni kama Maji, usipokunywa utaoga tu.
HahahaDoh buku saba unaipata kwa shida Sana
Ukweli wa kupewa pesa?Naaam hakika, tutasema ukweli daima
Kupewa pesa na nani? Kwa hiyo ina maana kila mtu mwenye mapenzi na chama au mgombea ambaye anafanya vizuri kwa jamii na Taifa basi anakuwa amepewa pesa? Hapo si sawaUkweli wa kupewa pesa?
we utakuwa teja tu wa madawa ya kulevya yaani huyo chizi wenu anavyotukana huoniYou are pointless and no reasoning at all. go and sleep
Ukweli ni kwamba aliyefanya vizuri tutampongeza tu, na anayefanya vibaya tutamwambia ukweli wake kuwa anafanya vibaya.Ukweli wa kupewa pesa?
Buku 7 za Lumumba, zinakutoa akili hadi unapotosha kweliKupewa pesa na nani? Kwa hiyo ina maana kila mtu mwenye mapenzi na chama au mgombea ambaye anafanya vizuri kwa jamii na Taifa basi anakuwa amepewa pesa? Hapo si sawa
Meko akifanya vibaya wanafiki kama wewe hamuwezi kusemaUkweli ni kwamba aliyefanya vizuri tutampongeza tu, na anayefanya vibaya tutamwambia ukweli wake kuwa anafanya vibaya.
Akili za wafuasi wa Lissu sawa na za ng'ombe tu.You are pointless and no reasoning at all. go and sleep
Ukweli upi nilioupotosha?Buku 7 za Lumumba, zinakutoa akili hadi unapotosha kweli
Kwani si ni kibaraka kweli!! ameletwa toka ubelgiji na wazungu kuja kuleta vurugu na amekutana na baadhi ya mapunguani kama wewe mnamwona yuko sawa tu wakati Lissu mwenyewe ana faili mirembeMbona wao wanamwita kibaraka kwa ushahidi gani?
Tulieni Lumumba mambo bado mazito kwenu.
Hata mamba wanapigwa risasi hawafi mjue kuwa Mungu atafanya ajabu kuu mwaka huu
Akiambiwa Jiwe kweli kuwa mwizi unasema Lissu anatukanaUkweli upi nilioupotosha?
Wewe ni mimba iliyonusurika.Kwani si ni kibaraka kweli!! ameletwa toka ubelgiji na wazungu kuja kuleta vurugu na amekutana na baadhi ya mapunguani kama wewe mnamwona yuko sawa tu wakati Lissu mwenyewe ana faili mirembe