Tundu Lissu anafaa kugombea kuwa Rais wa JMT 2020

Tundu Lissu anafaa kugombea kuwa Rais wa JMT 2020

Hahaha hiki ni kioja cha karne, uliza kwanza Jimboni kwake Tundu alipita kwa kura ngapi, kabla ya kuleta upupu wako hapa, huyo Tundu 2020 kama akipita hata kwenye Ubunge Singida sijui!
Mtu ambaye hata anakotoka hawamtaki ndo aje kuwa Raisi JMTZ? Utamkampenia vipi Tundu kwa Watanzania, kwanza hata hatumjui, ukiondoa JF?
Umeandika pumba tu,Lissu akigombea popote Tz hii hata huko kwenu anashinda tu.Kiwewe cha kutaka kumuua ni kwa sababu ni tishio kwa magamba na malaika wao mtoa roho
 
Hivi unajua tabu za kuwa mpinzani Tz au unapanuapanua tu mdomo?

Mpinzani gani aliye tangazwa mshindi bila mshikeli?

Budget allocation tu kwa Tz ni Politically based!! T. Lissu yuko na kesi kibao kuwatetea msiojitambua kama ww!!

Hivi unadhani Tanganyika Law Society kupitisha jina la T. Lissu kuwania uenyekiti wamekosa watu?
Yule kijana ni Thinking Tanks ya Tz tukiweka siasa kando.
Ukiwa ccm ni lazima uugue mdondo wa akili
 
Walishashtuka kwamba ndiyo tunamuandaa wakaona watapata wakati mgumu sana 2020 ni bora wamalize kazi mapema ila Mwenyezi Mungu naya anapanga kabla ya mipango hasi ya MADEREVA.
 
5a1726b20beb4775a072c1f897ad1be5.jpg


Anatabasamu[emoji4] [emoji4] ..Ukuu wa mungu haufikiriki
 
Lisu is a rookie! Huwezi mfananisha na MTU kama Mbowe, Slaa ama Lowasa ambao hao wanamzidi na bado wameshindwa! Lisu hafahamiki na yeyeyote zaidi ya Chadema makao makuu!
Nasikia Lumumba siku hizi mna software mpya inayowasaidia kusema uongo kisha unauamini hapohapo kuwa ndio ukweli!
 
Hana Presidential Personality ila ana Prison Personality hivyo labda kungetokea Uchaguzi Mkuu upande wa kuchagua Rais wa Wafungwa wote nchini Tanzania nadhani angepata kura za ' kutukuka ' kabisa.
Uoga wenu,kama angekuwa hafai nadhani mungemuunga mkono ili mshinde kwa urahisi!
 
Lissu anamfanya mzee kipara nundu na genge lake kukosa usingizi Kila siku[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Walishashtuka kwamba ndiyo tunamuandaa wakaona watapata wakati mgumu sana 2020 ni bora wamalize kazi mapema ila Mwenyezi Mungu naya anapanga kabla ya mipango hasi ya MADEREVA.

Kumbe ndio walikuwa wanampiga chura teke.
 
Huyo mzee atakuwa keshaambiwa this time asidanganyike kwa kofia tena, awaambie na wengine wote hapo kijijini.
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Back
Top Bottom