chuma cha mjerumani
JF-Expert Member
- Dec 4, 2013
- 12,350
- 25,870
Raisi 2020 labda wapige bao la mkono.
Huyu rais wa watu wa mitandaoni wa Chadema. Hamna kitu hapo ni sarakasi tu.Ndiye, Ni yeye Rais asiyebagua mtu Rais wa wote na anayependa haki kwa watu wote.View attachment 1543281
Ndiye, Ni yeye Rais asiyebagua mtu Rais wa wote na anayependa haki kwa watu wote.View attachment 1543281
Pole, Lissu ni Rais wa nchi...!!Najuuuta kutojiandikisha
Hapo kwenye uadilifu nakuunga mkono mia kwa mia.Wasiomhitaji Tundu Lissu ni CCM pekee kwa sababu yeye ni wa kutoka chama cha upinzani ingawa wanakiri kwa ndimi zao kua ndiye mgombea bora kutokea. Huyu ndiye mgombea mwenye uwezo mkubwa wa IQ kuliko wote.
Sababu kubwa za kumfanya Tundu Lissu kua hitaji kubwa la Watanzania kwanza ni mwadilifu, ni mtu anayejua misingi ya haki na upendo. Ni aina ya kiongozi atakayeweza kulijenga taifa letu katika misingi mikubwa ya kidemokrasia na kuimarisha diplomasia ya kimataifa.
Mbona kuna watu kwenye saccos wana sema hafai, Ila basi tu hawana jinsi, afadhali Nyalandu ana ndimi safi .Wasiomhitaji Tundu Lissu ni CCM pekee kwa sababu yeye ni wa kutoka chama cha upinzani ingawa wanakiri kwa ndimi zao kua ndiye mgombea bora kutokea. Huyu ndiye mgombea mwenye uwezo mkubwa wa IQ kuliko wote.
Sababu kubwa za kumfanya Tundu Lissu kua hitaji kubwa la Watanzania kwanza ni mwadilifu, ni mtu anayejua misingi ya haki na upendo. Ni aina ya kiongozi atakayeweza kulijenga taifa letu katika misingi mikubwa ya kidemokrasia na kuimarisha diplomasia ya kimataifa.
Hii ndio maana hali ya maendeleo hayana chama, sio ile ya majambazi wa kijani.Ndiye, Ni yeye Rais asiyebagua mtu Rais wa wote na anayependa haki kwa watu wote.View attachment 1543281