Umeandika pumba tu,Lissu akigombea popote Tz hii hata huko kwenu anashinda tu.Kiwewe cha kutaka kumuua ni kwa sababu ni tishio kwa magamba na malaika wao mtoa rohoHahaha hiki ni kioja cha karne, uliza kwanza Jimboni kwake Tundu alipita kwa kura ngapi, kabla ya kuleta upupu wako hapa, huyo Tundu 2020 kama akipita hata kwenye Ubunge Singida sijui!
Mtu ambaye hata anakotoka hawamtaki ndo aje kuwa Raisi JMTZ? Utamkampenia vipi Tundu kwa Watanzania, kwanza hata hatumjui, ukiondoa JF?
Ukiwa ccm ni lazima uugue mdondo wa akiliHivi unajua tabu za kuwa mpinzani Tz au unapanuapanua tu mdomo?
Mpinzani gani aliye tangazwa mshindi bila mshikeli?
Budget allocation tu kwa Tz ni Politically based!! T. Lissu yuko na kesi kibao kuwatetea msiojitambua kama ww!!
Hivi unadhani Tanganyika Law Society kupitisha jina la T. Lissu kuwania uenyekiti wamekosa watu?
Yule kijana ni Thinking Tanks ya Tz tukiweka siasa kando.
Msimchonganishe mwenzenu na yule bwana mamvi
Nahisi hatakua tayariMamvi atungoje kidogo.
Nahisi hatakua tayari
Ngoja tusubiliItabidi aelewe tu maana asipoelewa tutamuacha aende peke yake.
Nasikia Lumumba siku hizi mna software mpya inayowasaidia kusema uongo kisha unauamini hapohapo kuwa ndio ukweli!Lisu is a rookie! Huwezi mfananisha na MTU kama Mbowe, Slaa ama Lowasa ambao hao wanamzidi na bado wameshindwa! Lisu hafahamiki na yeyeyote zaidi ya Chadema makao makuu!
Uoga wenu,kama angekuwa hafai nadhani mungemuunga mkono ili mshinde kwa urahisi!Hana Presidential Personality ila ana Prison Personality hivyo labda kungetokea Uchaguzi Mkuu upande wa kuchagua Rais wa Wafungwa wote nchini Tanzania nadhani angepata kura za ' kutukuka ' kabisa.
Walishashtuka kwamba ndiyo tunamuandaa wakaona watapata wakati mgumu sana 2020 ni bora wamalize kazi mapema ila Mwenyezi Mungu naya anapanga kabla ya mipango hasi ya MADEREVA.
Shot and uglyfat and old, ...