Uchaguzi 2020 Tundu Lissu anajitutumua kuitumia Corona kisiasa lakini wapi!

Wewe beba box uko marekani. Huna msaada wowote kw maisha ya dhiki alioishi mtanzania kwa kpindi cha miaka 5.hujui chochote.
We unaweza kututajia ni dhiki ngapi?,na haina zake watanzania wa chini waliyoiishi kwa kipindi cha miaka mitano kama unavyosema?,na kwa hiyo unaona lisu ndo mtu sahihi wa kuzitatua.
 
Wana JF, sijui hii imekaaje.

MTU UNATOKEA CHAMA KINACHOTAWALIWA KII DICTATOR, NA BAADHIBYA VIONGOZI WAKE NI MAFISADI, WANAJIPA PESA ZA CHAMA. Alafu unakuwa na sura ngumu kusimama majukwani kumlaumu Raisi magufuliwa na yale ambayo yamekuwa mazoea chamani kwenu.

Ukisikia Hypocrites ndio nyinyi
 
Mimi nailaumu NEC walitakiwa kupima akili wachukua fomu kabla ya kuwapa Nina uhakika ngukekuweko upimaji akili Kama ziko timamu au la Lisu asingepewa fomu
Hivi unafikri ingekuwa hivyo lile taahira lingetoboza?
 
Sasa modal ya Belgiumu ni tofauti na hapa ndugu yangu, ndo hatari ya kuiga intervention ambazo hazina realistic na baadhi ya settings
Sijuwi kama Tundu anaiga ama vipi. Lakini ninachojaribu kusema huu ugonjwa sio wa kufanyiwa masihara au kuwacheka wale wanaovaa mask na kuita sidiria za uso.

Jenigine ni wadokeze tuu watz kwa ujumla, anachokifanya Magufuli sio kigeni duniani. Kutopima watu wote na kutoweka sheria za kuvaa mask. Haya sio mageni kila nchi imejiamulia wenyewe cha kufanya. Kuna zengine zimeweka mask kwenye misukusanyiko mikubwa, kwengine si lazima. Kuna wengine walifanya heavy quarantine, wengine waliendelea kupiga misosi restraunt kama kawaida n.k

Kwa hio tz kuamua walichoamua inaweza kuwa sawa, inaweza pia isiwe sawa. Hakuna mjuzi wa corona, kusudio au comment yangu ni warning kuwa tusifanyie masihara hili gonjwa lipo na ni hatari. Ukisikia gonjwa linapukutisha watu maelfu kwa siku, si kitu cha kufanya masihara. Binafsi nikiwa na kimafua au baridi tuu kwa wakati huu navaa mask na gloves nikitoka nje kwa lengo la kuwakinga wengine nisije kuwa ndio chanzo kwa mauti ya binadamu mwengine.

I hope you get my point.
 
Amezungumzia historia ya utendaji wa Magufuli katika miaka yake mitano, hajazungumzia korona tu.

Kazungumzia:

1.kauli za Magufuli kipindi cha tetemeko Kagera
2. kauli za Magufuli kipindi cha ukame wa njaa
3. kauli za Magufuli kipindi cha Korona
4. Kauli za Magufuli wananchi wanapomdai nyongeza za mishahara

Yote haya ameyazungumza kuwaonyesha na kuwakumbusha Watanzania aina ya kiongozi tuliye naye na umuhimu wa kumbadilisha ili tuweke mwingine atakayewasaidia wananchi kipindi cha majanga na atakayekuwa na kauli za staha na heshima kwa wananchi!

Mkuu huyu jamaa yenu kwa kuanza kudeal na kauli za Magu huku wananchi wakijua kuwa hizo kauli zilijibiwa kwa vitendo ni kupoteza muda.

1. kauli ya tetemeko kagera ilijibiwa kwa kujengwa shule moja nzuri sana yenye muonekano wa kimataifa.

2. Kauli za Magu kwenye ukame wa njaa zinajibiwa na ujengaji wa maghala makubwa ya kuhifadhia chakula yaliyojengwa kila kona ya nchi hii.

3. Kauli za Magu kipindi cha corona,kama ujuavyo kwa hapa Tanzania sasa corona imebaki historia na watu wanapiga kazi kwa kwenda mbele.

4. Kwenye nyongeza za mishahara hapo nikwambie tu watumishi kwa hiyari yao wameamua nchi isonge mbele,na ikifika kipindi cha economic sector intergration hapo uchumi wa kila mmoja utapanda bila kuzingatia ni mtumishi au sio mtumishi.

Kifupi tuwe wavumilivu tusubilie mpaka hapo miundombinu itakapoanza kuchangia pato la nchi nina hakika kila Mtanzania ataliimba jina la Magu.
 
..vikitokea vifo atakayelaumiwa ni MUNGU.

..Jpm ameweza kuwaaminisha wananchi hivyo.

..na viongozi wa DINI nao wanafurahi wananchi wakiamini kuwa SALA ndiyo zimeizima Covid19.
 
Ww ndio msemaji wa watumishi au kujishebedua tu?mbna wanasiasa wanaendelea kula raha?kama ukiweza kukutana nae jaribu kumuuliza kwann aliacha chaki na kwenda ktk siasa?
Mkuu huyu jamaa yenu kwa kuanza kudeal na kauli za Magu huku wananchi wakijua kuwa hizo kauli zilijibiwa kwa vitendo ni kupoteza muda.

1. kauli ya tetemeko kagera ilijibiwa kwa kujengwa shule moja nzuri sana yenye muonekano wa kimataifa.

2. Kauli za Magu kwenye ukame wa njaa zinajibiwa na ujengaji wa maghala makubwa ya kuhifadhia chakula yaliyojengwa kila kona ya nchi hii.

3. Kauli za Magu kipindi cha corona,kama ujuavyo kwa hapa Tanzania sasa corona imebaki historia na watu wanapiga kazi kwa kwenda mbele.

4. Kwenye nyongeza za mishahara hapo nikwambie tu watumishi kwa hiyari yao wameamua nchi isonge mbele,na ikifika kipindi cha economic sector intergration hapo uchumi wa kila mmoja utapanda bila kuzingatia ni mtumishi au sio mtumishi.

Kifupi tuwe wavumilivu tusubilie mpaka hapo miundombinu itakapoanza kuchangia pato la nchi nina hakika kila Mtanzania ataliimba jina la Magu.
 
Sio kosa lake,hao wanaomfadhili ndio wanamuelekeza lazima aongelee corona na kwamba Tanzania Kuna corona
Msishangae kampeni za mwaka huu huenda zikawa nyepesi sana kwa ccm kutokana na lissu kutoa sana maboko,na hapo bado hasira zake na stress za kampeni hazijaanza,tutegemee utumbo mwingi sana
 
..Jpm naye hawezi kuhutubia mikutano miwili bila kutoa kauli za KUDHALILISHA wanawake.

..Na TL hatakuwa na uoga wa kumbamiza kwa kauli zake za hovyo zisizopaswa kutolewa na mkuu wa nchi.
 
Sijuwi kama Tundu anaiga ama vipi. Lakini ninachojaribu kusema huu ugonjwa sio wa kufanyiwa masihara au kuwacheka wale wanaovaa mask na kuita sidiria za uso.

Jenigine ni wadokeze tuu watz kwa ujumla, anachokifanya Magufuli sio kigeni duniani. Kutopima watu wote na kutoweka sheria za kuvaa mask. Haya sio mageni kila nchi imejiamulia wenyewe cha kufanya. Kuna zengine zimeweka mask kwenye misukusanyiko mikubwa, kwengine si lazima. Kuna wengine walifanya heavy quarantine, wengine waliendelea kupiga misosi restraunt kama kawaida n.k

Kwa hio tz kuamua walichoamua inaweza kuwa sawa, inaweza pia isiwe sawa. Hakuna mjuzi wa corona, kusudio au comment yangu ni warning kuwa tusifanyie masihara hili gonjwa lipo na ni hatari. Ukisikia gonjwa linapukutisha watu maelfu kwa siku, si kitu cha kufanya masihara. Binafsi nikiwa na kimafua au baridi tuu kwa wakati huu navaa mask na gloves nikitoka nje kwa lengo la kuwakinga wengine nisije kuwa ndio chanzo kwa mauti ya binadamu mwengine.

I hope you get my point.
Magufuli ndiye aliyefananisha Barakoa na titi la mtu lililokatwa, huyu mzee ana kauli ngumu sana!
 
Mkuu Nyani Ngabu, hapo alikuwa akirejea kipindi cha mtanziko wakati maeneo mbalimbali ya dunia yakihaha kukabiliana na janga la COVID-19. Kauli yake ilikuwa "retrospective" kwa mazingira ya tishio halisi lilivyoripotiwa kupitia takwimu zilizokuwepo kwa wakati huo, na kauli za serikali zilivyotolewa.

Ili again nini??
 
Leo akiwa huko Muheza ‘kwenye kampeni zake za urais’, Tundu Lissu kazungumzia tena suala la Corona.

Japo kalizungumzia kidogo tu, lakini kaligusia kwa kumkosoa tena Rais Magufuli na jinsi alivyoamua kukabiliana nayo.

Kamkosoa Magufuli kwa kuwaambia watu wasivae barakoa, ‘kwanza zinafanana na sidiria za wanawake’.

Sijui ni lini na wapi Rais alisema hivyo. Mnaojua mtanifahamisha.

Ila kwa Tundu Lissu kusimama mbele ya watu ambao hawana ‘time’ na Corona, ambao wamesimama kwa kurundikana bila kuacha nafasi, na ambao wala hawajavaa barakoa, akiwemo yeye mwenyewe, ni unafiki wa daraja la kwanza.

Kila siasa huwa ni za mahali pake. Kwa Tanzania hii, suala la Corona si hoja yenye mashiko, na kwa mtaji huo, si hoja ya ushindi.

Mbaya zaidi ni kutokitenda kile ambacho unakihubiri.

Huyo Tundu Lissu yeye anachukua tahadhari gani dhidi ya Corona tokea aje?

Ile barakoa yake aliyoivaa kwa dakika chache ile siku aliporudi, iko wapi?

Huyu jamaa ni kama vile yuko nje ya mguso na mambo ambayo Watanzania wanayajali.

Hebu mtazame hapa kuanzia dakika ya 6:30.....

Majibu yake yanatolewa na Mwandishi wa Habari wa Kenya katika makala hii anayothibitisha kuwa Corona TZ hakuna:

Reporter Returns to Kenya and a New COVID Reality
 
Leo akiwa huko Muheza ‘kwenye kampeni zake za urais’, Tundu Lissu kazungumzia tena suala la Corona.

Japo kalizungumzia kidogo tu, lakini kaligusia kwa kumkosoa tena Rais Magufuli na jinsi alivyoamua kukabiliana nayo.

Kamkosoa Magufuli kwa kuwaambia watu wasivae barakoa, ‘kwanza zinafanana na sidiria za wanawake’.

Sijui ni lini na wapi Rais alisema hivyo. Mnaojua mtanifahamisha.

Ila kwa Tundu Lissu kusimama mbele ya watu ambao hawana ‘time’ na Corona, ambao wamesimama kwa kurundikana bila kuacha nafasi, na ambao wala hawajavaa barakoa, akiwemo yeye mwenyewe, ni unafiki wa daraja la kwanza.

Kila siasa huwa ni za mahali pake. Kwa Tanzania hii, suala la Corona si hoja yenye mashiko, na kwa mtaji huo, si hoja ya ushindi.

Mbaya zaidi ni kutokitenda kile ambacho unakihubiri.

Huyo Tundu Lissu yeye anachukua tahadhari gani dhidi ya Corona tokea aje?

Ile barakoa yake aliyoivaa kwa dakika chache ile siku aliporudi, iko wapi?

Huyu jamaa ni kama vile yuko nje ya mguso na mambo ambayo Watanzania wanayajali.

Hebu mtazame hapa kuanzia dakika ya 6:30.....

Tulia wewe hizi hela mnaomba za nn matapeli wakubwa
IMG_20200915_102308.jpeg
IMG_20200915_102311.jpeg
 
Mkuu Nyani Ngabu, hapo alikuwa akirejea kipindi cha mtanziko wakati maeneo mbalimbali ya dunia yakihaha kukabiliana na janga la COVID-19. Kauli yake ilikuwa "retrospective" kwa mazingira ya tishio halisi lilivyoripotiwa kupitia takwimu zilizokuwepo kwa wakati huo, na kauli za serikali zilivyotolewa.
Wao hizi hela wameomba za nn ccm ni vigeugeu wezi wakubwa
IMG_20200915_102308.jpeg
IMG_20200915_102311.jpeg
 
Back
Top Bottom