Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,439
- 145,410
We mwenyewe what’s your point?What is your point then?
Maana na wewe unalalamika kama yeye.
Wamebaki kurusha ngumi hewani tu 🤣Hahahahahah bavicha hawatasogea hapa hahaha
Hivi kwanini maccm ni maongo ongo na mafuasi yao kwanini yanadanganyika na kuamini kila uongo??? Najaribu tu kufananisha uongo wao na tangu waanze danganya!!!Hivi kuna mtu mwenye akili kamili anaweza kumuamini huyu mtu tena?
View attachment 1568877
OkThinking as well as understanding depends on your IQ level, if you didn’t understand him then your IQ is below 50
Huwa mnatumia akili gani kumuelewa Lisu! Lisu hakuwahi kupinga ujenzi wa barabara, mara zote anasema ujenzi uzingatie maisha ya watu kwa upande wa mahitaji mengine. Yani tusielekeze pesa kwenye miundombinu ya barabara tukasahau kuwezesha kilimo, elimu, afya, kuinua kipato cha mwananchi.