The Khoisan
Platinum Member
- Jun 5, 2007
- 18,900
- 18,751
Mkuu, alikuwa anazungumzia barabara za Mufindi .... siyo kwetu Chato ......!!Mapema leo akiwa Mdabulo, mgombea urais wa CHADEMA kalalamika kuhusu barabara ya kutokea Mafinga mjini.
Kadai eti barabara ni mbaya sana.
Hivi huyu si ndo huwa anamnanga Magufuli kuhusu barabara?
Yaani huyu jamaa bana.
Kutwa kucha kumponda Magufuli kuwa eti ni Rais wa mabarabara halafu leo unalalamika kuwa barabara uliyopitia ni mbaya sana. Bure kabisa
Barabara zitakuwa zimepelekwa kule walikompigia kura ....!!