Tundu Lissu anaongea maneno mengi sana hadi anaishia kujikanganya mwenyewe

Mkuu, alikuwa anazungumzia barabara za Mufindi .... siyo kwetu Chato ......!!

Barabara zitakuwa zimepelekwa kule walikompigia kura ....!!
 
Sasa kama kwa spidi hii ya JPM bado Lissu analalamika barabara ni mbovu huoni kuwa kama JPM angefuata ushauri wa Lisssu wa kupeleka hela hayo maeneo uliyoyataja spidi ya kujenga barabara ingekuwa ndogo zaidi na matokeo yake barabara nyingi zaidi zingekuwa mbovu?

By the way , unajua concept ya opportunity cost!
 
Nadhani waliokosa shabaha ya kumumaliza Lisu mtawalaani milele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…