Tundu Lissu anasema serikali inahonga hela nyingi kwa viongozi wa dini

Friends and Our Enemies,

Katika mkutano wake na vyombo vya habari leo hii,Makamu Mwenyekiti wa Chadema anasema kwamba mabillion ya mapesa yanahongwa kwa makanisa na maaskofu ili kuzibwa midomo.

Kauli hizi ni kauli za uchochezi na zenye kuleta taharuki sana ndani ya Taifa,Makanisa na Maaskofu kazi yenu ni kushiriki katika vitendo vya Rushwa?

Baraza la maaskofu kupitia katibu wao Padre Kitima Wamekuwa hodari sana wa kutoa matamko ya kulaani na kuikosoa serikali,hapo hapo Tundu lisu anasema kuwa maaskofu na makanisa yamekuwa vinara wa kushiriki vitendo hivyo.

Tunataka Kuskia Matamko kutoka baraza la maaskofu kuhusu kauli hizi za Tundu lisu na chama chake cha chadema.
Amesema viongozi wa dini..
Sasa sijui unaelewa nini kuhusu "viongozi wa dini"?
Je, unakumbuka juzi tu hapo sheikh wa mkoa wa Arusha kapewa Land rover mpyaaa? Hauoni ile ni moja ya hongo za sa100 kwa viongozi wa dini.
 
Huna ujuacho
KAULI KASEMA TUNDU LISU NA ZIKO WAZI KUWA MAASKOFU NA MAKANISA WANACHUKUA RUSHWA NA HONGO ILI WAZIBWE MIDOMO,LISU SIYO KICHAA BASI WATUELEZE MAASKOFU NA MAKANISA KWA NINI WANACHUKUA RUSHWA?
 
VIONGOZI WA DINI MASHEIKH KWANINI HAKUWATAJA??

USITAKE KUBALNCE STORY,WHY ASISEME MASHEIKH NA MAASKOFU BADALA YAKE KASEMA MAASKOFU NA MAKANISA??

WAJE WATOE TAMKO KAMA KAWAIDA YAO HAO WACHUNGA KONDOO.
 
MAASKOFU WAPO TEC AU WAPI HIYO NI JUU YENU...SISI TUNACHOTAKA KUJUA KWANINI MAASKOFU NA MAKANISA YANACHUKUA RUSHWA??

KWAHIYO ANACHOSEMA TUNDU LISU NI KWELI?
Jibu hili mbona sheikh wa mkoa wa arusha kapewa gari juzi na rais?!
VIONGOZI WA DINI MASHEIKH KWANINI HAKUWATAJA??

USITAKE KUBALNCE STORY,WHY ASISEME MASHEIKH NA MAASKOFU BADALA YAKE KASEMA MAASKOFU NA MAKANISA??

WAJE WATOE TAMKO KAMA KAWAIDA YAO HAO WACHUNGA KONDOO.
 
ACHANA NA HABARI ZA MASHEIKH USITAKE KUBALANCE STORY

TUNATAKA TAMKO KUTOKA TEC KUHUSU KAULI ZA MAKAMU MWENYEKITI WA CHADEMA,JE KUMBE NI KWELI MAKANISA NA MAASKOFU WANAHONGWA RUSHWA KUZIBWA MIDOMO?
Unataka,sio tunataka.semea nafsi yako shehe.
 
Jibu hili mbona sheikh wa mkoa wa arusha kapewa gari juzi na rais?!
ALIPEWA KUHONGWA AU KWA KUSAIDIWA??UMEISKILIZA VIZURI HIYO VIDEO NA UHALISIA UKOJE??

NA UMEMSKILIZA VIZURI TUNDU LISU KWENYE SUALA LA MAKANISA NA MAASKOFU??

TUNDU LISU ANASEMA ZAIDI YA BILLIONS OF MONEY WAMEPEWA MAASKOFU KUZIBWA MIDOMO,WHY WANACHUKUA RUSHWA??

UNAKUMBUKA HATA ESCROW JINSI MAASKOFU NA MAKANISA WALIVYOPOKEA MIGAO YA FEDHA ZILE ZA WIZI??
 
Serikali hii imekuwa inatumia pesa kila mahali kulazimisha ushawishi.

Kanisani zimemwagwa pesa.

Msikitini zimemwagwa pesa .

Simba na Yanga zinamwagiwa pesa.[Goli la mama]

Madaktari wanamwagiwa pesa [Madaktari wa Samia]

Lissu mwenyewe alitumiwa Abduli akamwagie pesa ili "atulie"

Najiuliza hizi pesa Samia anatoa wapi, na mshahara wake ni kiasi gani?

It is alarming!
 
KAULI KASEMA TUNDU LISU NA ZIKO WAZI KUWA MAASKOFU NA MAKANISA WANACHUKUA RUSHWA NA HONGO ILI WAZIBWE MIDOMO,LISU SIYO KICHAA BASI WATUELEZE MAASKOFU NA MAKANISA KWA NINI WANACHUKUA RUSHWA?
Una hoja nzuri kabisa,

Lakini kwa nini huwa nyie wenye mrengo fulani huwa mnacomment sana kwa herufi kubwa? Nimeona mara nyingi mkitumia capital letter ku-comment, huwa ni kwa nini? Kuna kitu nataka nijifunze
 
ALIPEWA KUHONGWA AU KWA KUSAIDIWA??UMEISKILIZA VIZURI HIYO VIDEO NA UHALISIA UKOJE??

NA UMEMSKILIZA VIZURI TUNDU LISU KWENYE SUALA LA MAKANISA NA MAASKOFU??

TUNDU LISU ANASEMA ZAIDI YA BILLIONS OF MONEY WAMEPEWA MAASKOFU KUZIBWA MIDOMO,WHY WANACHUKUA RUSHWA??

UNAKUMBUKA HATA ESCROW JINSI MAASKOFU NA MAKANISA WALIVYOPOKEA MIGAO YA FEDHA ZILE ZA WIZI??
Mzee jioni hatuwezi elewana msimamo wako.. nimeshaupata una 'upofu wa dini"
 
Lissu yupo sahihi anachosema, siasa zimekuwa zikiingizwa kinyemela kwa watumishi hao wa Mungu wenye ushawishi mkubwa kwa watu, hii haitaji hata D moja kung'amua haya. wapi uliona wanasiasa wa chama fulani kuingia makanisani kuhamasisha uandikishaji halafu eti wanatoa sadaka hata kama muda wa kutoa sadaka umepita, hizo fedha wamezipata wapi? sasa kama kiongozi wa kiroho kapokea sadaka toka kwa chama hicho atapata wapi ujasiri wa kusema madhambi ya chama hicho?
 
Friends and Our Enemies,

Katika mkutano wake na vyombo vya habari leo hii,Makamu Mwenyekiti wa Chadema anasema kwamba mabillion ya mapesa yanahongwa kwa makanisa na maaskofu ili kuzibwa midomo.

Kauli hizi ni kauli za uchochezi na zenye kuleta taharuki sana ndani ya Taifa,Makanisa na Maaskofu kazi yenu ni kushiriki katika vitendo vya Rushwa?

Baraza la maaskofu kupitia katibu wao Padre Kitima Wamekuwa hodari sana wa kutoa matamko ya kulaani na kuikosoa serikali,hapo hapo Tundu lisu anasema kuwa maaskofu na makanisa yamekuwa vinara wa kushiriki vitendo hivyo.

Tunataka Kuskia Matamko kutoka baraza la maaskofu kuhusu kauli hizi za Tundu lisu na chama chake cha chadema.
Samia ametoa hela karibia majimbo yote hata kwa shughuli ndogo tu kama ukarabati wa majengo ya Kanisa.

Kule Nzega, majuzi tu, watu wake walipomwambia kuwa Kanisa katoliki paeokia ya Nzega mjini wanafanya ukarabati wa Kanisa, Samia katuma milioni 50, na Bashe milioni 30. Wewe unaamini hizo pesa zinatolewa kwa sababu Samia na Bashe wanalipenda sana kanisa katoliki parokia ya Nzega?

Na Samia amefanya hivyo kwa zaidi ya makanisa 20 nchi nzima!!
 
Friends and Our Enemies,

Katika mkutano wake na vyombo vya habari leo hii,Makamu Mwenyekiti wa Chadema anasema kwamba mabillion ya mapesa yanahongwa kwa makanisa na maaskofu ili kuzibwa midomo.

Kauli hizi ni kauli za uchochezi na zenye kuleta taharuki sana ndani ya Taifa,Makanisa na Maaskofu kazi yenu ni kushiriki katika vitendo vya Rushwa?

Baraza la maaskofu kupitia katibu wao Padre Kitima Wamekuwa hodari sana wa kutoa matamko ya kulaani na kuikosoa serikali,hapo hapo Tundu lisu anasema kuwa maaskofu na makanisa yamekuwa vinara wa kushiriki vitendo hivyo.

Tunataka Kuskia Matamko kutoka baraza la maaskofu kuhusu kauli hizi za Tundu lisu na chama chake cha chadema.
Hujamsikia Kitima akisema kuhusu hilo la kuhongwa viongozi wa dini? Uwe unafanya research kidogo kabla hujaanza kuharisha...
 
Usipojiandikisha kupiga kura unapoteza haki zako zote kama raiya? Ni kifungu gani hocho cha katiba kinaeleza hivyo?
huna haki ya bwekabweka, yafaa ukae kando na kuwapa nafasi wenye sifa na vigezo washiriki uchaguzi husika kwa uhuru na haki. Makelele ni useless?🐒
 
Friends and Our Enemies,

Katika mkutano wake na vyombo vya habari leo hii,Makamu Mwenyekiti wa Chadema anasema kwamba mabillion ya mapesa yanahongwa kwa makanisa na maaskofu ili kuzibwa midomo.

Kauli hizi ni kauli za uchochezi na zenye kuleta taharuki sana ndani ya Taifa,Makanisa na Maaskofu kazi yenu ni kushiriki katika vitendo vya Rushwa?

Baraza la maaskofu kupitia katibu wao Padre Kitima Wamekuwa hodari sana wa kutoa matamko ya kulaani na kuikosoa serikali,hapo hapo Tundu lisu anasema kuwa maaskofu na makanisa yamekuwa vinara wa kushiriki vitendo hivyo.

Tunataka Kuskia Matamko kutoka baraza la maaskofu kuhusu kauli hizi za Tundu lisu na chama chake cha chadema.
Mashehe ubwabwa hiyo kawaida sana 😂
 
Back
Top Bottom