Tundu Lissu anasema serikali inahonga hela nyingi kwa viongozi wa dini

MAASKOFU NA MAKANISA SIYO MARA YA KWANZA HII KUHUSIKA NA KASHFA YA KUCHUKUA HONGO,HATA KWENYE SAKATA LA ESCROW MAKANISA NA MAASKOFU WALINUFAIKA NA MGAO WA FEDHA HARAMU,SASA MAKAMU MWENYEKITI WA CHADEMA ANAPOSEMA KUWA MAASKOFU NA MAKANISA YAMEHONGWA RUSHWA KWANINI TUSIWAHOJI HAO MAASKOFU??

..tuko ktk kitendawili kigumu sana.

..kikwazo kikubwa ni kwamba anayehonga Maaskofu, ndiye anayeteua wachunguza rushwa.

..ndio maana tunasisitiza KATIBA MPYA.
 
NA KWANINI MAASKOFU NA MAKANISA WAPOKEE??

FEDHA ZA SADAKA HAZIWATOSHI HUKO MAKANISANI HADI WAKIMBILIE RUSHWA KUTOKA KWA WANASIASA??
Huoni kama unamkosea heshima rais kwa kuunga mkono matamshi ya lisu kuhusu serikali kutoa rushwa? Ilitakiwa upinge kumtetea rais kua si mtoa rushwa. Mtoaji na mpokeaji wote ni tatizo
 
SISI TUNADEAL NA VIONGOZI WA DINI HUSUSANI MAASKOFU NA MAKANISA,WATUELEZE JE NI KWELI HAYO ANAYOYASEMA TUNDU LISU??

KAMA NI KWELI TUTAJUA KIINI CHA TATIZO,TUANZIE HAPO KWANZA.
 
Misikiti inapokea mgao wao kupitia BAKWATA ambayo ni jumuia ndani ya CCM.
 
MANENO HAYO SIJASEMA MIMI,KASEMA LISU KAMA MAKAMU MWENYEKITI WA CHADEMA NA VIDEO IPO.

KANISA KWA NINI LINACHUKUA RUSHWA??
Unajitoa ufahamu kuwa hujui kuwa na viongozi wa dini tena wengi ambao ni matapeli? Gwajima ni kiongozi wa dini wa ukweli? Mwamposa ni kiongozi wa dini wa ukweli? Kuna viongozi wa makanisa wengi tu ambao ni matapeli sembusi kula rushwa! Nadhani ungehoji huyo Abdul naye anahonga viongozi wa makanisa, fedha kazipata wapi na ana nia gani?
 
KWANI GWAJIMA,MWAMPOSA NA KADHALIKA WALIHUSIKA KWENYE KUCHUKUA MGAO WA FEDHA HARAMU ZA ESCROW??

SI NI KANISA KATOLIKI NA MAASKOFU WAKE NDIO AMBAO WALINUFAIKA NA MGAO ULE??CHA AJABU NINI SASA WAKIHUSIKA TENA NA MGAO HUU WA RUSHWA ANAOUSEMA TUNDU LISU??
 
SISI TUNADEAL NA VIONGOZI WA DINI HUSUSANI MAASKOFU NA MAKANISA,WATUELEZE JE NI KWELI HAYO ANAYOYASEMA TUNDU LISU??

KAMA NI KWELI TUTAJUA KIINI CHA TATIZO,TUANZIE HAPO KWANZA.
Tufanye ni kweli wamepokea huoni tatizo liko kwa mtoaji rushwa? Maaskofu watajitetea kua walipewa kama zawadi hawakujua ni rushwa. Kua big show na kichwani basi Ustadhi baba
 
Hujanielewa? Nimekuambia huko huko kwenye hayo makanisa (including catholic na kama ilivyo misikiti) kuna matapeli wengi tu. Nikakumbia kuwa hilo wala siyo la kushangaza ila la kushangaza ni je, Abdul anatoa wapi hizo fedha? Na ni kwa nini anahonga hao matapeli fedha? Ana hofu ya nini?
 
TUNACHOTAKA SISI NI WARAKA,WAO SI MAHODARI WA KUTOA MIWARAKA??

WATOE WARAKA KUMPINGA MAKAMU MWENYEKITI WA CHADEMA TUNDU LISU TUONE UKWELI UKO WAPI SASA
 
MSIKITI GANI AU SHEIKH GANI ALIPATA MGAO WA ESCROW??WHY UNATAKA KUBALANCE STORY??

LISU HAKUTAJA SHEIKH WALA MSIKITI,LISU KATAJA MAASKOFU NA MAKANISA ELEWA.
 
SISI TUNADEAL NA VIONGOZI WA DINI HUSUSANI MAASKOFU NA MAKANISA,WATUELEZE JE NI KWELI HAYO ANAYOYASEMA TUNDU LISU??

KAMA NI KWELI TUTAJUA KIINI CHA TATIZO,TUANZIE HAPO KWANZA.

..kuwauliza Maaskofu kama wamehongwa,au la, itakuwa ni kujisumbua.

..wewe unajua mamilioni wanapopewa huwa yanatangazwa. Sio siri.

..swali ambalo unapaswa kuwauliza ni kwanini wamekaa kimya huku WAUMINI wao nchi nzima wakidhulumiwa haki ya kugombea serikali za mitaa.

..au kwanini Maaskofu wamekaa kimya huku waumini wao wakidhulumu haki za wenzao kugombea ktk serikali za mitaa.

..wanaodhulumu na wanaodhulumiwa ni waumini wa madhehebu mbalimbali yakiwemo yanayoongozwa na Maaskofu. Sasa kwanini wako kimya? Je, mabulungutu ya fedha waliyogawiwa na Mama Abduli ndio yanawaziba midomo?
 
TUNACHOTAKA SISI NI WARAKA,WAO SI MAHODARI WA KUTOA MIWARAKA??

WATOE WARAKA KUMPINGA MAKAMU MWENYEKITI WA CHADEMA TUNDU LISU TUONE UKWELI UKO WAPI SASA
Kua na subra kama unachotaka ni waraka tu. Tuhuma zimetolewa leo hivyo uchunguzi wa kina unahitajika.
 
MSIKITI GANI AU SHEIKH GANI ALIPATA MGAO WA ESCROW??WHY UNATAKA KUBALANCE STORY??

LISU HAKUTAJA SHEIKH WALA MSIKITI,LISU KATAJA MAASKOFU NA MAKANISA ELEWA.
Hakuna msikiti uliochukuwa hizo fedha ila matapeli wako wengi tu. Abdul anapata wapi fedha za kuwahonga hao matapeli? Anaogopa nini mpaka ahonge?
 
Back
Top Bottom