THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 16,950
- 13,527
- Thread starter
-
- #41
SAHIHI KABISA,LISU KASEMA WAZI WAZI KABISA KUWA MAKANISA NA MAASKOFU WANACHUKUA RUSHWA.WAKUU WA DINI WASIPOKANUSHA BASI NI KWELI WATOKE WASEME NENO
Wewe chawa unaunganishaje habari mbili zisizowiana?Friends and Our Enemies,
Katika mkutano wake na vyombo vya habari leo hii,Makamu Mwenyekiti wa Chadema anasema kwamba mabillion ya mapesa yanahongwa kwa makanisa na maaskofu ili kuzibwa midomo.
Kauli hizi ni kauli za uchochezi na zenye kuleta taharuki sana ndani ya Taifa,Makanisa na Maaskofu kazi yenu ni kushiriki katika vitendo vya Rushwa?
Baraza la maaskofu kupitia katibu wao Padre Kitima Wamekuwa hodari sana wa kutoa matamko ya kulaani na kuikosoa serikali,hapo hapo Tundu lisu anasema kuwa maaskofu na makanisa yamekuwa vinara wa kushiriki vitendo hivyo.
Tunataka Kuskia Matamko kutoka baraza la maaskofu kuhusu kauli hizi za Tundu lisu na chama chake cha chadema.
CHADEMA KWANI WAMEKATAZWA KUWAHONGA WAO MAASKOFU NA MAKANISA??Lissu yupo sahihi anachosema, siasa zimekuwa zikiingizwa kinyemela kwa watumishi hao wa Mungu wenye ushawishi mkubwa kwa watu, hii haitaji hata D moja kung'amua haya. wapi uliona wanasiasa wa chama fulani kuingia makanisani kuhamasisha uandikishaji halafu eti wanatoa sadaka hata kama muda wa kutoa sadaka umepita, hizo fedha wamezipata wapi? sasa kama kiongozi wa kiroho kapokea sadaka toka kwa chama hicho atapata wapi ujasiri wa kusema madhambi ya chama hicho?
SIKILIZA VIZURI KAULI ZA TUNDU LISU,HAKUNA SEHEMU AMESEMA BAADHI...Wewe chawa unaunganishaje habari mbili zisizowiana?
Makanisa pamoja na maaskofu wanaorundikiwa mamilioni hawapo?
Ref to: Rc Chalamila kupeleka burungutu kwa Mwamposa akidai katumwa kupeleka sadaka na Samia!
Lisu kasema baadhi na ni baadhi kweli, si wote waliopelekewa fedha za namna hiyo na wakakubali kuzipokea.
Sasa baraza la maaskofu hawawezi kutoka na kutoa matamko kuupinga ukweli.
Tundu Lisu kapiga kwenye mshono.
Amepoteza hiyo haki kwa mujibu wa ibara gani/ kifungu gani cha katiba yetu kama watanzania?huna haki ya bwekabweka, yafaa ukae kando na kuwapa nafasi wenye sifa na vigezo washiriki uchaguzi husika kwa uhuru na haki. Makelele ni useless?🐒
Huna ujuacho
Ushenzi mtupu hizo pesa ni za walipa Kodi au ni zake Kama ni zake awape Ila Kama ni za walipa Kodi hapana zinatakiwa kwenda kwenye mambo ya msingi imagine mil 200 ukiingia kwenye hospital ya kata madawa utasaidia wangapiKwa hiyo ni haramu kwa kiongozi kupewa zawadi?
Jibu la kipuuzi toka kwa chawa mpuuzi?CHADEMA KWANI WAMEKATAZWA KUWAHONGA WAO MAASKOFU NA MAKANISA??
Kwa akili yako maaskofu wore wako chini ya TEC? Wapo maaskofu pia nje ya tec na ndio wanaohisiwa kuhongwaFriends and Our Enemies,
Katika mkutano wake na vyombo vya habari leo hii,Makamu Mwenyekiti wa Chadema anasema kwamba mabillion ya mapesa yanahongwa kwa makanisa na maaskofu ili kuzibwa midomo.
Kauli hizi ni kauli za uchochezi na zenye kuleta taharuki sana ndani ya Taifa,Makanisa na Maaskofu kazi yenu ni kushiriki katika vitendo vya Rushwa?
Baraza la maaskofu kupitia katibu wao Padre Kitima Wamekuwa hodari sana wa kutoa matamko ya kulaani na kuikosoa serikali,hapo hapo Tundu lisu anasema kuwa maaskofu na makanisa yamekuwa vinara wa kushiriki vitendo hivyo.
Tunataka Kuskia Matamko kutoka baraza la maaskofu kuhusu kauli hizi za Tundu lisu na chama chake cha chadema.
Tunajua kesho TISS Mtawandalia script na press pale seashells kama mlivyofanya kipindi cha maandamano. Hilo linajulikanaMnataka kusikia Ili iweje ?
Machawa wengi ni bure kichwani. Umemuuliza swali zuri sana. Inasikitisha sana kama Taifa kuona tuna watu wa hivyo!Usipojiandikisha kupiga kura unapoteza haki zako zote kama raiya? Ni kifungu gani hocho cha katiba kinaeleza hivyo?
relax gentleman,Amepoteza hiyo haki kwa mujibu wa ibara gani/ kifungu gani cha katiba yetu kama watanzania?
Neno kubweka lipo ibara ya ngapi na kifungu gani?
Je kutoa maoni ni kubweka? Ni haki? Unaipoteza kama hujajiandikisha?
Kwa hiyo hata kusema ccm wameweka mapingamizi ya kipumbavu kwa upinzani ambao kila siku wanasema jmekufa
Wanatakiwa waseme waliojiandikisha tu ?
HAYO NDIYO MANENO SASA,TUNATAKA SASA KUSKIA KANISA LIKITAMKA KUWA NI KWELI HAYA ANAYOYASEMA TUNDU LISU AU LA?Huna ujuacho
Kanisani Kuna watu wema wanaipenda Tanzania ndio wanampa taarifa Lissu pia
Kanisani sio watu wote waadilifu kwenye utawala wa Kikwete uliona walivyopewa pesa za escrow
Kanisani msikitini kote Kuna watu wema na wezi
Unakumbuka kadnari Pengo kwenye utawala wa Magufuli ?
Lissu anaongea akiwa na evidence kutoka ndani usifikili kakurupuka ni kweli Kuna mapadri wanahongwa
Serikali zote za kishenzi ufanya hivyo kutekwa kanisa na msikiti na wapinzani uchwara
Ila watumishi pure uwa hawayumbi
Wewe ni mpuuzi unayejificha kwenye kivuli cha u gentleman? Unaulizwa ni kifungu gann cha katiba kinachomzuiya unaleta utoto.relax gentleman,
hakuna haja ya mihemko gentleman.
huna haki ya bwekabweka ikiwa si sehemu ya mchakato wa uchaguzi gentleman 🐒
Ukisikia Maaskofu Maanake ndiyo wote wanatoka TEC? Toa ududu huo kwenye akili yako. Halafu kwanini utake tamko la TEC ?TUNATAKA TAMKO KUTOKA TEC KUHUSU KAULI ZA MAKAMU MWENYEKITI WA CHADEMA,JE KUMBE NI KWELI MAKANISA NA MAASKOFU WANAHONGWA RUSHWA KUZIBWA MIDOMO?
MAASKOFU NI MAASKOFU TUH,WHATS THE DIFFERENCE??Ukisikia Maaskofu Maanake ndiyo wote wanatoka TEC? Toa ududu huo kwenye akili yako. Halafu kwanini utake tamko la TEC ?
Anataka kwasababu anataka kuwagawanya kama walivyo viandalia press vyama vya ADC na shoga zake ili kupinga maandamano ya chadema. Kwenye mkutano ule TISS Walikuwa wengi kuliko wanahabar. Ulifanyika seashells hotelUkisikia Maaskofu Maanake ndiyo wote wanatoka TEC? Toa ududu huo kwenye akili yako. Halafu kwanini utake tamko la TEC ?
Nataka kujua kwanini motive yako TEC ndio wajibu?MAASKOFU NI MAASKOFU TUH,WHATS THE DIFFERENCE??
KWANI WALE AMBAO WALICHUKUA MGAO WA FEDHA ZA WIZI ZA ESCROW WENGI SI WALIKUWA WA KANISA KATOLIKI??
AU UNAJICHETUA AKILI??
Kwani uwongo makanisa hajapokea mamilioni ya Samia kama kiziba mdomo? Kumbuka hizo ni kodi zetu zinaenda kuliwa na wagalatia.Friends and Our Enemies,
Katika mkutano wake na vyombo vya habari leo hii,Makamu Mwenyekiti wa Chadema anasema kwamba mabillion ya mapesa yanahongwa kwa makanisa na maaskofu ili kuzibwa midomo.
Kauli hizi ni kauli za uchochezi na zenye kuleta taharuki sana ndani ya Taifa,Makanisa na Maaskofu kazi yenu ni kushiriki katika vitendo vya Rushwa?
Baraza la maaskofu kupitia katibu wao Padre Kitima Wamekuwa hodari sana wa kutoa matamko ya kulaani na kuikosoa serikali,hapo hapo Tundu lisu anasema kuwa maaskofu na makanisa yamekuwa vinara wa kushiriki vitendo hivyo.
Tunataka Kuskia Matamko kutoka baraza la maaskofu kuhusu kauli hizi za Tundu lisu na chama chake cha chadema.
Huyo shida yaje sio CCM bali ni Samia, humtetea mtu kulingana na dini yake ya uislamu na sio utendajiAti naye ni mpiga mbinje wa ccm?