Tundu Lissu anasema serikali inahonga hela nyingi kwa viongozi wa dini

Hao wanaohongwa nao ni makanjanja wa imani tu
 
Ukisikia Maaskofu Maanake ndiyo wote wanatoka TEC? Toa ududu huo kwenye akili yako. Halafu kwanini utake tamko la TEC ?
KWANI WALE AMBAO WALICHUKUA MGAO WA FEDHA HARAMU ZA ESCROW HAWAKUTOKA TEC??

HIZI HAO JAMAA MBONA NDIYO ZAO TOKEA KITAMBO TUH??SASA MNAKANUSHA AU MNAKUBALI ALICHOKISEMA MAKAMU MWENYEKITI WA CHADEMA TUNDU LISU?
 
Una hoja nzuri kabisa,

Lakini kwa nini huwa nyie wenye mrengo fulani huwa mnacomment sana kwa herufi kubwa? Nimeona mara nyingi mkitumia capital letter ku-comment, huwa ni kwa nini? Kuna kitu nataka nijifunze
Huo ni msisitizo wa makelele yake kimaandishi.
 
Ni pesa za walipa kodi zinatapanywa tu
 
KAULI KASEMA TUNDU LISU NA ZIKO WAZI KUWA MAASKOFU NA MAKANISA WANACHUKUA RUSHWA NA HONGO ILI WAZIBWE MIDOMO,LISU SIYO KICHAA BASI WATUELEZE MAASKOFU NA MAKANISA KWA NINI WANACHUKUA RUSHWA?

..amesema Samia anahonga MAASKOFU.

..Na haijulikani fedha anazohonga chanzo chake ni kipi.
 

..Samia anatoa wapo fedha zote hizo?

..mbona Nyerere, Mwinyi, Mkapa, walikuwa hawatoi fedha hovyohovyo kwa Makanisa?
 
..kwa hiyo Mama Abduli amemhonga Mbowe, pamoja na Maaskofu?

..Mama Abduli ametoa wapi fedha hizo, au na yeye amehongwa?
MAASKOFU NA MAKANISA SIYO MARA YA KWANZA HII KUHUSIKA NA KASHFA YA KUCHUKUA HONGO,HATA KWENYE SAKATA LA ESCROW MAKANISA NA MAASKOFU WALINUFAIKA NA MGAO WA FEDHA HARAMU,SASA MAKAMU MWENYEKITI WA CHADEMA ANAPOSEMA KUWA MAASKOFU NA MAKANISA YAMEHONGWA RUSHWA KWANINI TUSIWAHOJI HAO MAASKOFU??
 
..Samia anatoa wapo fedha zote hizo?

..mbona Nyerere, Mwinyi, Mkapa, walikuwa hawatoi fedha hovyohovyo kwa Makanisa?
NA KWANINI MAASKOFU NA MAKANISA WAPOKEE??

FEDHA ZA SADAKA HAZIWATOSHI HUKO MAKANISANI HADI WAKIMBILIE RUSHWA KUTOKA KWA WANASIASA??
 
Kwa hiyo kwa vile wewe mimba yako ilitungwa kwenye mkesha wa mbio za mwenge, unao uhalali wa kutungisha mimba kwenye mkesha wa mwenge!!??
SASA KAMA UMEKUJA MWENYEWE KWENYE MKESHA WA MWENGE KUUZA WOWOWO KWANINI WATU WASIKUPELEKEE MOTO??

SI,UMEUTAKA??UNAPEWA TUH UHANGAIKE NAO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…