Tundu Lissu anatufundisha kusimamia Haki

Tundu Lissu anatufundisha kusimamia Haki

kifupi kirefu

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2018
Posts
539
Reaction score
3,507
Tulizoea watu wakidai haki wanaambiwa siyo wazalendo, huna nidhamu au ukulelewa vyema. Lakini Tundu Lissu anatufundisha umuhimu wakuelewa haki zako, umuhimu wakusimamia haki na kwamba hakuna utumwa kama kuishi kwakumwogopa anayekandamiza haki yako.

Maeneo mengi yaliyoendelea yametumia njia hii kujitaftia uhuru wao, Arusha, Mara, Mbeya na maeneo mengine Polisi anaheshimika kama mtumishi mwingine wa umma siyo mnyama au vinginevyo.

Ukiwachukulia Polisi kama watumishi wengine wa umma utaishi kwa kudai haki yako.

Siku zote wanaotii polisi kwa nidhamu ya uoga wamekuwa watoa rushwa na watu wakuonewa muda wote.

Taifa linahitaji watu wanaojua haki, Wakenya na wananchi wa Afrika Magaribi pamoja na wananchi wa mataifa yaliyoendelea uwezi kukuta wanapelekeshwa na polisi, polisi lazima wajipande maana wanajua wanaweza kupoteza kazi wakienda kinyume na maadili ya kazi yao.
 
Alishindwa kusimamia haki kwenye michango ya marehemu Mawazo wa Geita milioni 35 zilichangwa wakagawana Mbowe na maswahiba zake wa chama,ndo ataweza kupigania haki nje ya Chadema?
 

Kwa video hii , ama kweli polisi wetu choka mbaya sana na wamekata taama... kama wanaamini Mbowe hamshindi JPM, kwa nini wasiruhusu uwanja sawa.. wakati mwingine inabidi waache uzuzu wao kwa ku-comment mambo yaliyo wazidi kimo....
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
[emoji3577][emoji3577][emoji3577]
4890980.jpg
 
Tundu lisu anastahili heshima iliyotukuka ameonesha uwezo wa kipekee kuwa haki inapiganiwa hauletewi kwenye kisahani
 
Alishindwa kusimamia haki kwenye michango ya marehemu Mawazo wa Geita milioni 35 zilichangwa wakagawana Mbowe na maswahiba zake wa chama,ndo ataweza kupigania haki nje ya Chadema?
Kwahiyo unataka kuna mbia na zile pesa za tetemeko kule kagera pia kala yeye

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Ukweli ni mchungu na siku zote ukweli unauma. Watawala wa Tanzania hawasemi ukweli, kwa miaka 60 watanzania(awali watanganyika na wazanzibar) tumedanganywa na kudanganyika. Miaka 60 ni umri wa kustaafu, si kwa mfanyakazi tu, hata kwa CCM ni wakati kikapumzika. Umri wa kupumzika umefika. Hata biashara hufika kiwango cha juu na kushuka. CCM haina jipya, ipumzike.
 
Umetumia mifano mingi sana ya uongo. I will incite one or two examples, you referred Kenyans as one among few civilized individuals in the continent but I would to love to set your records straight by reminding you about various incidents where Kenyans were brutally treated by the police service. If you remember following the declared state of emergency as a result of the spread of corona in Kenya, many people who were caught wondering in streets were hashly treated.

Not only that but also Nigerians have also been suffering from the same disaster of police brutality.
 
Kama ulifundishwa mashuleni na katiba zipo lakini bado hujazijua sasa leo ndio utazielewa kutoka kwa lisu,

Je anawafundisha na kujua wajibu?
Maana hakuna uhuru bila wajibu.
 
Back
Top Bottom