Bado haijajulikana sababu hasa ya Amos Makalla kumlilia Tundu Lissu, hasa ikizingatia kwamba hakuna hata mara moja Lissu amemzungumzia Makalla na huenda hata Hamfahamu.
Bali imejulikana kwamba ili kiongozi wa CCM asikilizwe na Jamii ni Lazima amzungumzie kiongozi wa Chadema, Na hasa akimzungumzia kwa Ubaya.

Uko sahihi sana. Ila ninachojua, uelewa wa Makalla wa kudadavua mambo ni mdogo sana ukilinganisha na ule wa Lissu. Na analijua hilo. Hivyo, ili ajipandishe chati anaona amtajetaje Lissu.

Faili la chama dola kongwe tayari limewasilishwa kwa wadau wa maendeleo wa Umoja wa Ulaya, kupitia mbunge David James McAllister aliye katika picha hapo juu, na makamu mwenyekiti wa CHADEMA kamanda Tundu Antipas Lissu .
Kuanzia lile la msimamizi wa uchaguzi wa serikali za mitaa kutoka Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa walivyojipendelea kuibeba CCM na mama mkwe aliye rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mwenye kofia ya chama dola kongwe CCM kinachoshiriki uchaguzi 2024 ....
Faili limezidi kuongezeka kurasa toka 2017 tukio la Dodoma, Kesi ya Ugaidi ya Mbowe, Mzee Ali Mohamed Kibao, kutekwa kwa Deusdedith Soka, SATIVA, Mbwana Kombo, kamanda Panya, katibu mwenezi wa BAWACHA Bi. Aisha Machano, mchakato wa kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa November 2024 ... listi ya kukiuka haki za binadamu, utawala bora, mfumo haki jinai kutekwa nyara na watu wasiojulìka, kuporwa uchaguzi, demokrasia kubinywa, vyombo vya habari kubinywa ...
David James McAllister is a German politician who has been a member of the European Parliament:
Wengi mtakuwa mmeona picha na video za David McAllister (pichani) ambaye ni Mbunge wa Bunge la Ulaya na Mwenyekiti wa Kamati ya Mambo ya Nje ya Bunge hilo, akielezea kukerwa kwake na hali ya upinzani nchini Tanzania, mathalani kesi ya ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe...
Bado haijajulikana sababu hasa ya Amos Makalla kumlilia Tundu Lissu, hasa ikizingatia kwamba hakuna hata mara moja Lissu amemzungumzia Makalla na huenda hata Hamfahamu.
Bali imejulikana kwamba ili kiongozi wa CCM asikilizwe na Jamii ni Lazima amzungumzie kiongozi wa Chadema, Na hasa akimzungumzia kwa Ubaya.
TOKA MAKTABA 2021 BUNGE LA ULAYA LIKIIPIMA SERIKALI YA CCM
TUJIKUMBUSHE FAILI LA MAOVU YA SERIKALI YA CHAMA DOLA KONGWE CCM LILIPOKUWA JEMBAMBA 2021 KABLA YA OCTOBER 2024 KUTUNA KURASA
Faili la Tanzania linakwenda kuwa nene ( up dated ) kufeli kwa 4RszaRais katika Bunge la Ulaya kuhusu ukiukwaji wa haki za kibinadamu, demokrasia na utawala bora .
TOKA Maktaba:
15 December 2021 View: https://m.youtube.com/watch?v=fVC5CQUk4Po
David James McAllister MEP ambaye ni mwenyekiti wa kamati ya Bunge la Ulaya ametoa hotuba nzito na kuwalaumu wataalum wa Umoja wa Ulaya waliotoa ripoti mbele ya kamati hiyo ya Bunge yenye ushawishi mkubwa pamoja na kuaminika kusimamia values / desturi na makubaliano ya kuheshimu haki za binadamu na utawala bora .
Mwenyekiti David James McAllister MEP akakumbushia barua yake aliyoandika kuwaonya wataalamu wa Umoja wa Ulaya EEAS mwaka jana mwezi November 2020 kuhusu "kuubeba" utawala dhalimu usiofuata haki za msingi za kibinadamu yaani Uhuru, Haki na Maendeleo ya Watu ndani ya Demokrasia.
Ripoti hiyo ya wataalamu wa EEAS ilisema kuna maendeleo 'makubwa' nchini Tanzania mbali ya changamoto ndogo ndogo.
Mwenyekiti wa Kamati ya Mambo ya Nje ya Bunge la Ulaya akakumbushia hicho kinachoitwa 'changamoto ndogo ndogo' kwa hakika ni kikubwa na hakipaswi kutupiliwa mbali ikiwa watu wanakamatwa ovyo, kutupwa mahabusu, kufunguliwa mashtaka, kutishiwa haki ya kuishi n.k mambo ambayo ndiyo msingi mkubwa wanaousimamia Umoja wa Ulaya wakati wa kutoa msaada kwa nchi yoyote ulimwenguni
EEAS - European External Action Service - European Union External Action
Mwenyekiti wa Kamati hiyo ya Bunge la Ulaya amesema mfano wataalamu hao je wameweza kukutana ndani ya Tanzania na mwenyekiti wa CHADEMA au makamu mwenyekiti wa CHADEMA? Ambao ni viongozi wa chama kikuu cha upinzani, mmoja akiwa rumande kwa kesi ya kutunga huku mwingine akiwa uhamishoni Belgium halafu wataalamu hao wanasema ni changamoto ndogo ndogo?
Pia kuna raia wanaoshiriki siasa Tanzania wenye mtizamo mbadala walio wanachama, wapenzi na wafadhili wazalendo wa KiTanzania wanabaguliwa kushiriki ktk vyombo vya maamuzi ngazi zote, wanaoozea ktk jela mbalimbali Tanzania au biashara zao kuhujumiwa je hayo ni mambo madogo ? Amehoji David James McAllister mwenyekiti huyo makini wa kamati ya Bunge la ulaya.
Hivyo amewataka wataalamu hao waliotumwa na bunge la Umoja wa Ulaya kuwabebeleza watawala wa Tanzania kuacha ukandamizaji, kujitathmini kama wanataka kulimwa barua nyingine kali ya karipio kuhusu ripoti yao iliyozua maswali mengi ndani ya Bunge la Ulaya na miongoni mwa wabunge wa Bunge hilo la Ulaya mwaka 2020 na vivyo hivyo pia mwaka huu mwezi November 2021 inayojadiliwa na Kamati hiyo ya Bunge la Ulaya.
Mwenyekiti wa Kamati hiyo ya Bunge la ulaya amewataka wataalamu hao kuja na majibu mujarabu ya kuibana serikali ya Tanzania kwa kuwa inatumia misaada ya Umoja wa Ulaya itokanayo na kodi za raia wa nchi wanachama zinazoamini katika utawala bora, haki za binadamu kulindwa na demokrasia hivyo haiwezekani nchi viongozi wa nchi walio wakandamizaji kama wa Tanzania kufaidi jasho na nguvu wa walipa kodi wa Ulaya wanaoamini katika uhuru, haki na Maendeleo ya kweli ya watu ktk demokrasia inayozingatia utu.
amesema yeye na wajumbe wabunge wa kamati ya mambo ya nje wanajiandaa kupendekeza hatua "kali" dhidi ya utawala unaoendekeza udhalimu waziwazi na kwa kificho.
David James McAllister mwenyekiti wa Kamati Ya Bunge la Ulaya ya Mambo ya Nje anasema mbali na ripoti hiyo ya wataalamu wake pia wanapata habari kupitia balozi za Marekani, Canada , Uingereza na balozi wa nchi wanachama wanaohudhuria kesi namba 16 ya mwaka 2021 ya tuhuma nzito za kupikwa dhidi ya Mbowe na wenzie 3, na kesi hiyo ni kichekesho dhidi ya Umoja wa Ulaya na raia wa wa Umoja wa Ulaya ambao wote wanaamini ktk haki mbele ya sheria, demokrasia na kutokuwepo ugandamizaji wa haki za kibinadamu za aina yoyote.
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge anataka kuona wataalamu hao wanakuja na mkakati gani wa kuibana serikali ya Tanzania inapotaka misaada na mikopo, kwani sasa siyo muda tena wa maongezi / dialogue yasiyo na kikomo kuhusu hali hii mbaya ya kisiasa nchini Tanzania, bali ni wakati wa Umoja wa Ulaya kufanya matendo kwani muda wa maneno umekwisha, ili ujumbe uwaingie watawala dhalimu....
Serikali, kupitia Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Nnauye imetoa tamko juu ya matamko yanayotolewa na asasi mbalimbali kuhusu kukamatwa kwa Dr. Slaa, Wakili Mwabukusi, na Mdude. Katika maelezo hayo imeeleza kuwa hakuna Mtanzania aliyekamatwa au atakuja kukamatwa...
www.jamiiforums.com
RIPOTI YA HALI YA KISIASA NA KIUCHUMI YA TANZANIA
Muenendo wa kuibuka kwa taarifa zisizo sahihi juu ya hali ya kisiasa, kijamii na kiuchumi nchini Tanzania :
02 December 2021
Brussels, Makao Makuu ya
Bunge la Ulaya / EP

CCM wanakwenda kupimwa kimataifa kama spika Dr. Tulia Ackson alivyokiona cha moto juzi kule Geneva Bunge la Kimataifa, na leo Prof. Palamagamba Kabudi alivyopotea ghafla hewani akihojiwa na waandishi wasio chawa wa radio ya kimataifa ya DW ya Ujerumani.

Serikali ya chama dola kongwe ilitoa ahadi kibao :
March 2023 serikali iliporodhia mambo 252 yanayogusa haki, uhuru, demokrasia ilipowakilishwa na waziri George Simbachawene mjini Geneva makao makuu ya UN yanayoratibu masuala ya Haki za binadamu, inakuwaje mwezi Julai 2023 inakwenda kinyume na ahadi kwa jumuiya ya kimataifa
UN rights chief Bachelet condemns Tanzania election violence
10 November 2020
The people of Tanzania should be allowed to express grievances “without fear of reprisals” after nationwide elections, UN rights chief Michelle Bachelet said on Tuesday.
In a statementOpens in new window, the High Commissioner for Human Rights said that she had been disturbed by reports of continued intimidation and harassment against leaders and members of the opposition.
She also called for the immediate release of those detained for exercising their human rights.
“The tense situation in the country will not be defused by silencing those who challenge the outcome of the elections, but rather through a participatory dialogue”, Ms. Bachelet said, before urging the Tanzanian authorities “to respect and facilitate exercise of the rights to freedom of expression and of peaceful assembly”.
Ms. Bachelet highlighted reports that following vote-casting in the east African nation last month, at least 150 opposition leaders and members had been arrested in mainland Tanzania and Zanzibar.
While most have been subsequently released, at least 18 reportedly remain in custody, the UN rights chief said.
Peaceful opposition call
Her comments come after the country’s main opposition parties called for peaceful demonstrations and fresh elections, after President John Magufuli was returned to office last month with more than 80 per cent of ballots cast.
According to the UN High Commissioner for Human Rights, the authorities said that those arrested had been planning violent protests.
Ms. Bachelet also noted that ahead of the arrests, police officials announced that they would not allow protests to go ahead. They cited allegation of “plans to cause chaos”, the High Commissioner said, adding that they threatened to use force and detain anyone taking part in demonstrations.
Under international law, there is a presumption in favour of considering assemblies to be peaceful, the High Commissioner stressed.
She called on the Government of Tanzania to ensure that security forces and law enforcement officials act according to the rule of law and human rights norms and standards.
Harassment
The developments follow reported pre-election intimidation and harassment of civil society organisations and journalists, as well as allegations of police brutality against opposition members and their supporters on the day of the election.
Ms. Bachelet also called for prompt, thorough, independent and impartial investigations into all allegations of human rights violations before, during and after the polls.
In particular, she urged action to investigate the killing of at least 10 people and the injuries sustained by more than 50 others in Zanzibar on 26 October – two days before the vote.
The High Commissioner also expressed concern at internet restrictions - including the blocking of social media and messaging platforms - and the censoring of election-related content.
“Free flow of information is critical to any democratic society, and especially so in an electoral context,” the High Commissioner said, adding that any restrictions on information and communication technology must be in line with international human rights laws and standards
Serikali ya chama dola kongwe ilitoa ahadi kibao :
March 2023 serikali iliporodhia mambo 252 yanayogusa haki, uhuru, demokrasia ilipowakilishwa na waziri George Simbachawene mjini Geneva makao makuu ya UN yanayoratibu masuala ya Haki za binadamu, inakuwaje mwezi Julai 2023 inakwenda kinyume na ahadi kwa jumuiya ya kimataifa
Chama dola kongwe CCM kimeshindwa kabisa kuachana na ulaghai, uovu na uhalifu wa kidola.
Nadhani sasa dunia nzima kuanzia EU - Umoja wa Ulaya , Jumuiya ya Madola Commonwealth, Kamisheni ya Umoja wa Mataifa ya Haki Za Binadamu, UN -Umoja wa Mataifa, Wadau wa Maendeleo n.k tayari wameshaistukia serikali ya Tanzania...
Shida ya Africa ni Kama tu migogoro ya ndoa, Ukijaribu kuisolve kwa kutumia Exterbal forces (majirani na ndugu) basi ujue ndo unaimalizia kuibomoa bila kujua hata kama una nia ya dhati. Amin tu hakuna jirani anapenda kuona mnafurah mnanenepa mnachekeanachekeana kila siku chumbani huku mkimuumiza na vilio vya mahaba.
Lakini tutafanyaje sasa Bwana ni mkali, hashauriki hawasikilizi wanafamilia ni mnyanyasaji tukisema tuendelee kushauliana na kuvumiliana kuna siku atakutwa mke kauwawa na watoto wanekufa njaa.
Bora ndoa ivunjike kila mtu akasurvive na dhiki yake kwa amani, Me naona hivyo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.