Tundu Lissu anayeliliwa na Amos Makalla huyu hapa, Anacheeeeka

Tundu Lissu anayeliliwa na Amos Makalla huyu hapa, Anacheeeeka

Lisu akiwa Tanzania huwezi muona akicheka hata akipiga picha na waswahili viongozi wenzie wa Chadema lakini akipiga picha na mzungu yeyote hata awe bwege meno yote utayaona nje anacheka

Ukoloni wa kizungu umemjaa kichwani kwake
Yaani hii ndiyo hoja uliyo ona wewe kuwa ya maana zaidi na muhimu katika kujadili mada iliyopo mbele yetu?

Huo "ukoloni wa kizungu" ni kuhusu "kucheka" tu na hao wazungu; au hata kuwaachia raslimali zetu kibwege kama wanavyo fanya viongozi wako huko CCM sasa hvi nayo ni sehemu ya ukoloni?
 
Back
Top Bottom