Tundu Lissu anayeliliwa na Amos Makalla huyu hapa, Anacheeeeka

Tundu Lissu anayeliliwa na Amos Makalla huyu hapa, Anacheeeeka

Great to meet with my good friend @TunduALissu today in Brussels for a quick exchange of views! ‍ @ChademaTz.

Vorsitzender des Auswärtigen Ausschusses / Chair of the Foreign Affairs Committee | Mitglied des Europäischen Parlaments.
 
View attachment 3132780

Bado haijajulikana sababu hasa ya Amos Makalla kumlilia Tundu Lissu, hasa ikizingatia kwamba hakuna hata mara moja Lissu amemzungumzia Makalla na huenda hata Hamfahamu.

Bali imejulikana kwamba ili kiongozi wa CCM asikilizwe na Jamii ni Lazima amzungumzie kiongozi wa Chadema, Na hasa akimzungumzia kwa Ubaya.

Soma Pia: Amos Makalla: CHADEMA imegawanyika, kuna upande wa Lissu na upande wa Mbowe
Naamini siasa za sasa zimwmtupa mkomo Amos Makala.......ni kama hana hoja anaachwa na muda kila uchwao....sio zile siasa alizozoea za enzi zile Guninita na Suka Said Suka....karne hii naona iko too digital.....inaenda kasi.....sana...!!
 
Lissu anawanyima utlivu wa mioyo sana viongozi wa CCM.
Lisu akiwa Tanzania huwezi muona akicheka hata akipiga picha na waswahili viongozi wenzie wa Chadema lakini akipiga picha na mzungu yeyote hata awe bwege meno yote utayaona nje anacheka

Ukoloni wa kizungu umemjaa kichwani kwake
 
View attachment 3132780

Bado haijajulikana sababu hasa ya Amos Makalla kumlilia Tundu Lissu, hasa ikizingatia kwamba hakuna hata mara moja Lissu amemzungumzia Makalla na huenda hata Hamfahamu.

Bali imejulikana kwamba ili kiongozi wa CCM asikilizwe na Jamii ni Lazima amzungumzie kiongozi wa Chadema, Na hasa akimzungumzia kwa Ubaya.

Soma Pia: Amos Makalla: CHADEMA imegawanyika, kuna upande wa Lissu na upande wa Mbowe
Kuna chadema huwa mnachambua Hadi mambo ya ndani ya CCM kama viongozi wa pamba vile miili Yao Ipo pamba roho zao Simba au yanga
 
Uko sahihi sana. Ila ninachojua, uelewa wa Makalla wa kudadavua mambo ni mdogo sana ukilinganisha na ule wa Lissu. Na analijua hilo. Hivyo, ili ajipandishe chati anaona amtajetaje Lissu.
Binadamu hatuezi kua sawa ,alafu uongozi sio elimu tuh na hekima pia
Kitu ambacho lisu hana
Ye kutwa na wazungu kuwasujudia
Hatuezi mpa nchi chawa wa ulaya
 
Binadamu hatuezi kua sawa ,alafu uongozi sio elimu tuh na hekima pia
Kitu ambacho lisu hana
Ye kutwa na wazungu kuwasujudia
Hatuezi mpa nchi chawa wa ulaya
Acha hilo. Lissu alipigwa hadi risasi, na wewe unajua ni kwa nini. Uwezo wake upo juu ya unachokisema,na ndiyo maana Watanzania wengi wanamuelewa . Suala la Wazungu kumjua hiyo ni coincidence ya mambo mawili. Mosi, Lissu alisomea kwao na ni moja ya Wanafunzi waliofanya vizuri sana darasani na nje ya darasa,so they have his records as a material personel. Pili, kwa aina ya Siasa anazifanya Lissu na Chama chake cha Chadema ni obvious dunia itamfahamu.
 
View attachment 3132780

Bado haijajulikana sababu hasa ya Amos Makalla kumlilia Tundu Lissu, hasa ikizingatia kwamba hakuna hata mara moja Lissu amemzungumzia Makalla na huenda hata Hamfahamu.

Bali imejulikana kwamba ili kiongozi wa CCM asikilizwe na Jamii ni Lazima amzungumzie kiongozi wa Chadema, Na hasa akimzungumzia kwa Ubaya.

Soma Pia: Amos Makalla: CHADEMA imegawanyika, kuna upande wa Lissu na upande wa Mbowe
yaani makala aililie hiyo ,,,,,,,,,,,wapi na wapi
 
View attachment 3132780

Bado haijajulikana sababu hasa ya Amos Makalla kumlilia Tundu Lissu, hasa ikizingatia kwamba hakuna hata mara moja Lissu amemzungumzia Makalla na huenda hata Hamfahamu.

Bali imejulikana kwamba ili kiongozi wa CCM asikilizwe na Jamii ni Lazima amzungumzie kiongozi wa Chadema, Na hasa akimzungumzia kwa Ubaya.

Soma Pia: Amos Makalla: CHADEMA imegawanyika, kuna upande wa Lissu na upande wa Mbowe
Chadema hawako kwa ajiri ya watu bali matumbo yao tu. Sasa lisu hata hajajiandikisha kupiga kula halafu unategemea nini. Lakini chama che hewe ni cha wachaga na inajulikana wazi wachaga wote ni wezi na wasaka fursa ndo mana hata kanisa katoliki limevamiwa. Wachaga hawataki kabisa kabila lingine kujoin jesuit fathers kisa mkuu kwa hapa tanzania ni mchaga na anaitwa Jerome yupo pale dodo st clever
 
TOKA MAKTABA 2021 BUNGE LA ULAYA LIKIIPIMA SERIKALI YA CCM

TUJIKUMBUSHE FAILI LA MAOVU YA SERIKALI YA CHAMA DOLA KONGWE CCM LILIPOKUWA JEMBAMBA 2021 KABLA YA OCTOBER 2024 KUTUNA KURASA

Faili la Tanzania linakwenda kuwa nene ( up dated ) kufeli kwa 4Rs za Rais katika Bunge la Ulaya kuhusu ukiukwaji wa haki za kibinadamu, demokrasia na utawala bora .

TOKA Maktaba:

15 December 2021

View: https://m.youtube.com/watch?v=fVC5CQUk4Po
David James McAllister MEP ambaye ni mwenyekiti wa kamati ya Bunge la Ulaya ametoa hotuba nzito na kuwalaumu wataalum wa Umoja wa Ulaya waliotoa ripoti mbele ya kamati hiyo ya Bunge yenye ushawishi mkubwa pamoja na kuaminika kusimamia values / desturi na makubaliano ya kuheshimu haki za binadamu na utawala bora .

Mwenyekiti David James McAllister MEP akakumbushia barua yake aliyoandika kuwaonya wataalamu wa Umoja wa Ulaya EEAS mwaka jana mwezi November 2020 kuhusu "kuubeba" utawala dhalimu usiofuata haki za msingi za kibinadamu yaani Uhuru, Haki na Maendeleo ya Watu ndani ya Demokrasia.

Ripoti hiyo ya wataalamu wa EEAS ilisema kuna maendeleo 'makubwa' nchini Tanzania mbali ya changamoto ndogo ndogo.
Mwenyekiti wa Kamati ya Mambo ya Nje ya Bunge la Ulaya akakumbushia hicho kinachoitwa 'changamoto ndogo ndogo' kwa hakika ni kikubwa na hakipaswi kutupiliwa mbali ikiwa watu wanakamatwa ovyo, kutupwa mahabusu, kufunguliwa mashtaka, kutishiwa haki ya kuishi n.k mambo ambayo ndiyo msingi mkubwa wanaousimamia Umoja wa Ulaya wakati wa kutoa msaada kwa nchi yoyote ulimwenguni

EEAS - European External Action Service - European Union External Action

Mwenyekiti wa Kamati hiyo ya Bunge la Ulaya amesema mfano wataalamu hao je wameweza kukutana ndani ya Tanzania na mwenyekiti wa CHADEMA au makamu mwenyekiti wa CHADEMA? Ambao ni viongozi wa chama kikuu cha upinzani, mmoja akiwa rumande kwa kesi ya kutunga huku mwingine akiwa uhamishoni Belgium halafu wataalamu hao wanasema ni changamoto ndogo ndogo?

Pia kuna raia wanaoshiriki siasa Tanzania wenye mtizamo mbadala walio wanachama, wapenzi na wafadhili wazalendo wa KiTanzania wanabaguliwa kushiriki ktk vyombo vya maamuzi ngazi zote, wanaoozea ktk jela mbalimbali Tanzania au biashara zao kuhujumiwa je hayo ni mambo madogo ? Amehoji David James McAllister mwenyekiti huyo makini wa kamati ya Bunge la ulaya.

Hivyo amewataka wataalamu hao waliotumwa na bunge la Umoja wa Ulaya kuwabebeleza watawala wa Tanzania kuacha ukandamizaji, kujitathmini kama wanataka kulimwa barua nyingine kali ya karipio kuhusu ripoti yao iliyozua maswali mengi ndani ya Bunge la Ulaya na miongoni mwa wabunge wa Bunge hilo la Ulaya mwaka 2020 na vivyo hivyo pia mwaka huu mwezi November 2021 inayojadiliwa na Kamati hiyo ya Bunge la Ulaya.

Mwenyekiti wa Kamati hiyo ya Bunge la ulaya amewataka wataalamu hao kuja na majibu mujarabu ya kuibana serikali ya Tanzania kwa kuwa inatumia misaada ya Umoja wa Ulaya itokanayo na kodi za raia wa nchi wanachama zinazoamini katika utawala bora, haki za binadamu kulindwa na demokrasia hivyo haiwezekani nchi viongozi wa nchi walio wakandamizaji kama wa Tanzania kufaidi jasho na nguvu wa walipa kodi wa Ulaya wanaoamini katika uhuru, haki na Maendeleo ya kweli ya watu ktk demokrasia inayozingatia utu.

amesema yeye na wajumbe wabunge wa kamati ya mambo ya nje wanajiandaa kupendekeza hatua "kali" dhidi ya utawala unaoendekeza udhalimu waziwazi na kwa kificho.

David James McAllister mwenyekiti wa Kamati Ya Bunge la Ulaya ya Mambo ya Nje anasema mbali na ripoti hiyo ya wataalamu wake pia wanapata habari kupitia balozi za Marekani, Canada , Uingereza na balozi wa nchi wanachama wanaohudhuria kesi namba 16 ya mwaka 2021 ya tuhuma nzito za kupikwa dhidi ya Mbowe na wenzie 3, na kesi hiyo ni kichekesho dhidi ya Umoja wa Ulaya na raia wa wa Umoja wa Ulaya ambao wote wanaamini ktk haki mbele ya sheria, demokrasia na kutokuwepo ugandamizaji wa haki za kibinadamu za aina yoyote.

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge anataka kuona wataalamu hao wanakuja na mkakati gani wa kuibana serikali ya Tanzania inapotaka misaada na mikopo, kwani sasa siyo muda tena wa maongezi / dialogue yasiyo na kikomo kuhusu hali hii mbaya ya kisiasa nchini Tanzania, bali ni wakati wa Umoja wa Ulaya kufanya matendo kwani muda wa maneno umekwisha, ili ujumbe uwaingie watawala dhalimu....

RIPOTI YA HALI YA KISIASA NA KIUCHUMI YA TANZANIA

Muenendo wa kuibuka kwa taarifa zisizo sahihi juu ya hali ya kisiasa, kijamii na kiuchumi nchini Tanzania :

02 December 2021
Brussels, Makao Makuu ya
Bunge la Ulaya / EP

Vikwazo na Kibano soon mpaka huko lumumba waendeshe kila dakika
 
Vikwazo na Kibano soon mpaka huko lumumba waendeshe kila dakika

Safari hii haikwepeki vikwazo vikali, baada ya CCM na serikali yake kuihadaa jumuiya ya kimataifa na wadau wa maendeleo wa kimataifa kuwa iliachana na utawala wa kiimla ulioanza 2016, huku ukiendelea kukomaa hadi sasa 2024 kuelekea 2025
 
View attachment 3132780

Bado haijajulikana sababu hasa ya Amos Makalla kumlilia Tundu Lissu, hasa ikizingatia kwamba hakuna hata mara moja Lissu amemzungumzia Makalla na huenda hata Hamfahamu.

Bali imejulikana kwamba ili kiongozi wa CCM asikilizwe na Jamii ni Lazima amzungumzie kiongozi wa Chadema, Na hasa akimzungumzia kwa Ubaya.

Soma Pia: Amos Makalla: CHADEMA imegawanyika, kuna upande wa Lissu na upande wa Mbowe
Huyu jamaa katelekeza familia muda wote yupo na huyo basha Amsterdam
 
View attachment 3132780

Bado haijajulikana sababu hasa ya Amos Makalla kumlilia Tundu Lissu, hasa ikizingatia kwamba hakuna hata mara moja Lissu amemzungumzia Makalla na huenda hata Hamfahamu.

Bali imejulikana kwamba ili kiongozi wa CCM asikilizwe na Jamii ni Lazima amzungumzie kiongozi wa Chadema, Na hasa akimzungumzia kwa Ubaya.

Soma Pia: Amos Makalla: CHADEMA imegawanyika, kuna upande wa Lissu na upande wa Mbowe
Makala mweka hazina wa zamani wa mboga mboga! Habari ya mchpuko wako Jenister Mhagama? Mfunze basi kienglish cha kuombea ugali asituabishe tena kama kwenye ule mkutano wa kumtambua Dr aliyechaguliwa mkurugenzi wa WHO Afrika? Please hatutaki tena zey zey kamu andi---
 
Back
Top Bottom