Tundu Lissu anayeshambulia Serikali worldwide kwanini bunge linamjibu countrywide? Hatuwezi kufika huko duniani kumjibu!

Mbona huyu Lussu alikuwa anajilopokea tu,kuna wakati akabanwa akasema you can call back them cheza na kimalkia.
 
aah wewe acha upoyoyo identity ya mtu inapoteaje kwa kusema ukweli kwamba Tanzania ina raisi dikteta muaji mvunja katiba mwenye hasira anayesweka wapinzani ndani mbaguzi mkabila asiye fuata misingina maadili ya utumishi aliyegeuza nchi kuwa lindi la damu huyo ndio mzalendo anaokoa nchi na vizazi vijavyo
 
Nenda kajibu wewe Pascal kalowa hoja zimemuishia.

Kwani hoja za Lisu ni za uongo?

Huwezi kajibu hoja za kweli kwa hoja za vioja na uongo.
 




DAWA KUBWA YA TUNDU LISU NI KUMPA STAHIKI ANAZODAI MAANA NI HAKI YAKE. Kama kweli anachosema hajatendewa basi naamini mnapaswa kumlipa
 
Na target yenyewe inakunukuu vibaya?!!!

Hao viongozi wanamjibu Lissu hapa nyumbani maana ndio kuna nafasi ya kupotosha. Huko nje haswa hiyo hardtalk hakuna nafasi ya kupotosha kwani huko cheo hakiogopwi bali uwezo, na viongozi wetu hawana uwezo bila nguvu ya dola. Hakuna mwanaccm kuanzia jiwe mwenyewe mpaka nyie wabeba briefcase zake. Usishangae siku akijitokeza atakayejitoa muhanga akapigwa maswali mpaka akawataja wasiojulikana na anayewatuma. Huko hardtalk wanaenda wenye uwezo tu, sio wanaopata madaraka kwa wizi wa kura.
 

Mkuu taja wote unaowajua, ila uwezo wao ni wa vyombo vya huku huku Africa ambapo cheo ndio humbemba mtu. Huko vyombo vya Ulaya hamna nafasi ya upotoshaji, ndio maana Magu kila akipiga mahesabu ataendaje nje anachanganyikiwa. Na uzuri akienda Ulaya atapanda kujibu yeye mwenyewe. Huko waandishi wa habari wana nguvu kuliko vyombo vya dola. Huyo mkuu wa wilaya uliyemtaja yeye ataishia kuhojiwa na mwambao FM kwani hana status ya hardtalk. Nashukuru pia kwa kujua huko juu ni viazi watupu ndio maana umemuona huyu kada wa chini ndio anayeweza. Hapa ndio uwezo hujitenga na ubabaishaji. Ingekuwa hawako nyuma ya shambulio la Lissu wangethubutu kwenda sio kinyume cha hapo.
 
Sioni sababu, wapiga kura wako huku, huo umaarufu unaweza kumpatia nafasi ya kuwa lecturer huko nje na si vknginevyo.

Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
 
Sioni sababu, wapiga kura wako huku, huo umaarufu unaweza kumpatia nafasi ya kuwa lecturer huko nje na si vknginevyo.

Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
Mkuu usikariri...... Dunia ni kijiji ndio maana bunge linamjibu nchi ni zaidi ya wapiga kura!
 
Najiuliza tu kama msemaji wa bunge au serikali hawawezi kumpinga na kumshushua Tundu Lisu kwa kutumia media za kimataifa
Imagine msemaji wa Bunge akakalie kiti pale The HardTalk. Bora tu wamjibie kupita TBC1
 
Magonjwa mtambuka,Ndege John na Cocochanel watusaidie kujibu hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani huenda CCM kwa sasa imejaa mazezeta kwa kwenda mbele, unafikiri kuna atakaye thubutu kumjibu Lissu kwa hoja? Karibu wote wamebakia kimya, porojo na propaganda tu. Lissu kawalaza Wote chaliii.

Nenda kamuulize Anna Makinda akwambie Lissu ni jembe la namna gani kwa hoja?

Wewe unafikiri, wale wasiojulikana waliamka tu na kwenda kumpiga risasi Lissu? Kwa vyovyote vile watakuwa walitumwa ili kumnyamazisha. Nani aliwatuma? Jibu kila mtu analo. Kama unabisha muulize Jiwe, huenda atakwambia kitu kuhusu Lissu.

Tundu Lissu ni kama bomu la atomic kwenye siasa za Tanzania. Hoja zake zinawanyima usingizi wanaCCM wote, kuanzia pale bungeni, Lumumba mpaka magogoni huenda huwa wanapata tumbo la kuharisha fulani hivi kila wakisikia Lissu ana hits kwenye media.

Kwa kukusaidia tu, fahamu kuwa, kuna wema wengi mnoo wamemzunguka Lissu na wengi wao ni wasomi, wanasheria, makada wa CCM wenye akili timamu, waandishi wa habari, wafanyakazi, wafanyabiashara, askari, wawekezaji na yote kwa yote, MUNGU yupo upande wa Lissu(Kaa tafakari tu, ni vipi aliweza kutoka akiwa hai katikati ya ile mvua ya risasi za bunduki za kijeshi.)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…