johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
- #61
Waarabu wa Pemba!munajuwana wanaccm naona ana like kweli post unazomwita mwana ccm
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waarabu wa Pemba!munajuwana wanaccm naona ana like kweli post unazomwita mwana ccm
Mbona huyu Lussu alikuwa anajilopokea tu,kuna wakati akabanwa akasema you can call back them cheza na kimalkia.Mna kichwa gani huko CCM cha kuweza jibu au shiriki vipindi kama hard talk? Nyote ni makasuku mnaoropoka vya kumezeshwa!! Kama mkuu wenu wa Jela anatamka intapretenyuaa atweza lingua ya huko Mbele? No wonder ni mtupu sana kichwani kiasi cha kujiita kichaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Naunga mkono hoja yako walahhhhhhhhhh.Hakuna haja ya kubishana na tahira walahi
Tundulissu msaliti ni mgonjwa wa akili na duniani kote wanamwona kuwa ni mgonjwa walahi
Yuko uchi wa utupu mwachie aendelee kubwabwaja walahi
Imbecile walahi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaa........!!!Mbona huyu Lussu alikuwa anajilopokea tu,kuna wakati akabanwa akasema you can call back them cheza na kimalkia.
aah wewe acha upoyoyo identity ya mtu inapoteaje kwa kusema ukweli kwamba Tanzania ina raisi dikteta muaji mvunja katiba mwenye hasira anayesweka wapinzani ndani mbaguzi mkabila asiye fuata misingina maadili ya utumishi aliyegeuza nchi kuwa lindi la damu huyo ndio mzalendo anaokoa nchi na vizazi vijavyoHao BBC na CNN unadhani wanampenda Lissu Au wanatumwa na mazingira ya mabeberu wanaosaka vitu wasivyovipata. Jifunzeni Hakuna taifa linalohangaika na taifa lisilo na faida kiuchumi. Iwe kwa Serikali Au walipa kodi wake wakubwa. Kwa Lugha nyepesi huyu mnayemwita msomi Lissu anatumika wazi wazi na jiulize Sasa kwa faida ya nani. Zamani ningehisi hamuelewi. Ila sasa na wasiwasi wa akili. Siasa ni siasa lakini mtu mzima mwenye akili hawezi kuleta ushabiki katika Identity yake. Ndo Mana ndani ya ndoa huwezi Kuta mke Au mume wanaomba air Time kutangaza uwingi Wa maji Au ukibamia wa Mwenza eti apate amani. Huruma sana.
Nenda kajibu wewe Pascal kalowa hoja zimemuishia.Nimeshangazwa na namna Tundu Lisu anavyopewa umaarufu wa bure bila sababu za msingi. Wakati Lisu akitumia vyombo vikubwa vya habari duniani kuinanga serikali na bunge lake, bunge linatumia TBC kumjibu, tena wala hawatumii extenal service kama ipo.
Najiuliza tu kama msemaji wa bunge au serikali hawawezi kumpinga na kumshushua Tundu Lisu kwa kutumia media za kimataifa.
Ingependeza hata kumuona msemaji wa CCM ndugu Polepole kwenda pale BBC au CNN kuweka mambo sawa dunia ijue ukweli.
Lakini yupo mwanaccm nguli ambaye ana uzoefu kidogo na hizo International media ndugu yetu Pascal Mayalla, katika hili nadhani angeweza kusaidia.
Cha msingi Tundu Lisu ni lazima ajibiwe kwa njia ile ile anayoipitia kushambulia na siyo hadi tumsubiri Salary slip atuletee mashambulizi hayo kwa tafsir ya kiswahilii ndio tukurupuke kumjibu.........Ndio sababu tunanukuliwa vibaya.
Niwatakie Ijumaa njema
Maendeleo hayana vyama!
Nimeshangazwa na namna Tundu Lisu anavyopewa umaarufu wa bure bila sababu za msingi. Wakati Lisu akitumia vyombo vikubwa vya habari duniani kuinanga serikali na bunge lake, bunge linatumia TBC kumjibu, tena wala hawatumii extenal service kama ipo.
Najiuliza tu kama msemaji wa bunge au serikali hawawezi kumpinga na kumshushua Tundu Lisu kwa kutumia media za kimataifa.
Ingependeza hata kumuona msemaji wa CCM ndugu Polepole kwenda pale BBC au CNN kuweka mambo sawa dunia ijue ukweli.
Lakini yupo mwanaccm nguli ambaye ana uzoefu kidogo na hizo International media ndugu yetu Pascal Mayalla, katika hili nadhani angeweza kusaidia.
Cha msingi Tundu Lisu ni lazima ajibiwe kwa njia ile ile anayoipitia kushambulia na siyo hadi tumsubiri Salary slip atuletee mashambulizi hayo kwa tafsir ya kiswahilii ndio tukurupuke kumjibu.........Ndio sababu tunanukuliwa vibaya.
Niwatakie Ijumaa njema
Maendeleo hayana vyama!
Umewahi kumsikia Paramagamba akivunja yai........Ufipa wote mnasubiri!
Na target yenyewe inakunukuu vibaya?!!!
nilishauri hili kwenye uzi wangu huko nyuma, tundu lissu asinyamaziwe ajibiwe kisiasa na kitaaluma naamini atanyamaza na kuwa na hofu na anayoyafanya.
Narudia tena njia anayotumia Tundu Lissu itumike hiyo hiyo na ikiwezekana waende mbali zaidi ya anapoenda tundu lissu.
kuna wanaCCM wenye uwezo mkubwa sana wa kumjibu tundu lissu na atajibiwa asiamini hilo. Kuna watu kama mkuu wa wilaya wa Tanga, ukimsikiliza uwezo wake wa kujenga hoja na kuitetea ni mkubwa sana kuweza kumjibu lissu
Waje Hadi toku ya jf wamwage luga ya malkia mkuu Zero IQ katika ubora,wawa ache wa intaneshino na mambo yao, sisi hatusafiri.Nadhan yule wa ze cantri iz fullu of demokirasi anaweza akapambana hard talk
Sent using Jamii Forums mobile app
Sioni sababu, wapiga kura wako huku, huo umaarufu unaweza kumpatia nafasi ya kuwa lecturer huko nje na si vknginevyo.Nimeshangazwa na namna Tundu Lisu anavyopewa umaarufu wa bure bila sababu za msingi. Wakati Lisu akitumia vyombo vikubwa vya habari duniani kuinanga serikali na bunge lake, bunge linatumia TBC kumjibu, tena wala hawatumii extenal service kama ipo.
Najiuliza tu kama msemaji wa bunge au serikali hawawezi kumpinga na kumshushua Tundu Lisu kwa kutumia media za kimataifa.
Ingependeza hata kumuona msemaji wa CCM ndugu Polepole kwenda pale BBC au CNN kuweka mambo sawa dunia ijue ukweli.
Lakini yupo mwanaccm nguli ambaye ana uzoefu kidogo na hizo International media ndugu yetu Pascal Mayalla, katika hili nadhani angeweza kusaidia.
Cha msingi Tundu Lisu ni lazima ajibiwe kwa njia ile ile anayoipitia kushambulia na siyo hadi tumsubiri Salary slip atuletee mashambulizi hayo kwa tafsir ya kiswahilii ndio tukurupuke kumjibu.........Ndio sababu tunanukuliwa vibaya.
Niwatakie Ijumaa njema
Maendeleo hayana vyama!
Mkuu usikariri...... Dunia ni kijiji ndio maana bunge linamjibu nchi ni zaidi ya wapiga kura!Sioni sababu, wapiga kura wako huku, huo umaarufu unaweza kumpatia nafasi ya kuwa lecturer huko nje na si vknginevyo.
Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
Kama hadi sekunde hii haujui Lissu ana nini cha ziada basi unapaswa kupewa vacation ya lazima "Milembe Hotels"!
Imagine msemaji wa Bunge akakalie kiti pale The HardTalk. Bora tu wamjibie kupita TBC1Najiuliza tu kama msemaji wa bunge au serikali hawawezi kumpinga na kumshushua Tundu Lisu kwa kutumia media za kimataifa
Magonjwa mtambuka,Ndege John na Cocochanel watusaidie kujibu hapaUnataka waende huko ili wakaumbuke Mara 1000!!
Maswali ni magumu kujibika!!
mfano :
kwann mlikubali kuwa na mfumo wa vyama vingi?
kwann mnawaona wapinzan ni maadui wa maendeleo.
ina maana tanzania ilianzisha vikundi vya kuihujumu nchi kwa makusudi?
kama sivyo hivyo kwann rais anasema atahakikisha anaua vyama vya upinzani??
tundu lissu anasema serikali ndio iliyohusika nyie mnakataa kwann mnakataa ili hali rais alisema ni msaliti na msaliti dawa yake inajulikana?? dawa hiyo ni ipi ambayo wanajeshi huitumia kwa msaliti wa jeshi vitani??
mnasema sio nyie je mko tayar kuwaweka hadharani askari waliokua lindo siku ya tukio lakn wakapisha lindo ili shambulio litekelezwe??
kama sio nyie mmewafanya nn wale askali walioshindwa kulinda lindo lao?
kama nyie hamhusiki ilikuaje wale wote waliokua wanamwomboa mliwakamata ,
waliovaa tirshet za kumwombea na waujazi walikua kwenye taget ya vyombo vya usalama kwa kuhofia nini.
lissu mmemuweka kwenye kundi la wasaliti hebu twambie kasaliti nn mpaka sasa.
yapo mengi si serikali wala ccm inayoweza kujibu
Mimi nimekuuliza kwa wema tu.Inawezekana unahitaji msaada.Kuna kipindi tukiona akili yako huwezi kuitumia vema tunakuazima zetu.Kuwa broke siyo lazima hela.Hata akili yaweza kuwa muflisi.