Tundu Lissu andaa hotuba kwa ajili ya Watumishi wa Umma na wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama

Tundu Lissu andaa hotuba kwa ajili ya Watumishi wa Umma na wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama

Lisu huyu aliyekuwa akiponda viongozi wa dini kuwa wamelamba asali huyu wa kusema ataongea na viongozi wa dini? Wepi labda anaongelea huyo mtu wa kabila yake padri na bagonza

Viongozi wa Dini wazito akina Askofu Shoo,Bakwata,Baraza la maaskofu Tanzania haeawezi kaa kusikiliza mtu kama Lisu ambaye kutwa alikuwa akiwadhalisha toka ameanza siasa zake alikuwa akimtbua tu shehe katimba,Askofu Bagonza na Mwamakula na huyo Mwanamapinduzi

Vyombo vya usalama kutwa amekuwa akivikebehi hata hotuba yake ya jana kaongea bila ushahidi kuwa vinatumiwa na CCM na polisi huwaita polisi CCM

Hawa leo ndio ajitie kuhutubia
Anakumbuka shula wakati kumekucha

Lisu hakuna sehemu ambayo hajaifanyia character assassination wawe viongozi wa dini,Vyombo vya dola hadi mahakama alisema wazi kuwa kwanza majaji wenyewe hawajui kingereza

Lisu ni shida
Umejieleza meengii utadhani wewe ndiye nafsi ya pili ya hao viongozi.Umeona au kusikia wamekataa kuongea na hao CHADEMA?Acha ubumbaji wa maneno.
 
Kwanza naomba kuanza kwa kukupongeza kwa mikakati yenu ikiwemo kuzungumza na Viongozi wa Dini ili kuunga mkono kazi nyeti mnayoifanya ya kuleta mabadiliko ya kweli kwenye Taifa letu. Watu hawa ni wa muhimu sana na kongole nyingi kwenu kwa mikakati hii.

Pili kuna kundi moja nchi hii naomba msilisahau kwenye hizo harakati zenu. Kundi hili huwa linatumiwa vibaya sana na CCM alafu linaachwaga kama Watoto yatima baada ya kutimiza azma za CCM. Kundi hili ni watumishi wa umma na wa vyombo vya ulinzi na usalama.

Hili ndo kundi la mwisho ambalo likipata akili na kufunuliwa basi udhalimu wa CCM ndo utafikia tamati.

Naomba andaa hotuba kuwaelezea vizuri na kuwaelimisha vizuri juu ya nafasi yao kwenye mustakabali wa hii nchi.

Waeleze kwa namna gani wao wana nafasi ya juu kuliko hawa wanasiasa wa CCM wanaowatumia tu kama madaraja ya kujinufaisha binafsi.

Waeleze kuwa CCM wanawatumia tu kama madaraja huku wakiwaacha kwa mishahara midogo isiyokidhi mahitaji yao na familia zao.

Waeleze namna CCM wanavyowatumia tu huku wakiwaacha na bima za afya zisizoweza kuwahudumia kwenye magonjwa makubwa.

Waeleze namna CCM wanavyowatumia huku wakiwaacha na pensheni za aibu zisizowawezesha kuendesha maisha vizuri baada ya kustaafu. Hii ni kwa wote! Polisi, Wanajeshi, Usalama wa Taifa na wengineo wote.

Waelezee wanavyotumiwa na kikundi cha wachache ndani ya CCM kupitisha mapensheni makubwa kwa wanasiasa na wenza wao huku wao wakiachwa na maisha duni baada ya kumaliza utumishi.

Waeleze kuwa hakuna chochote kibaya kitawapata endapo wakiamua kusimamia haki na kuitosa CCM.

Waambie CCM sio Mungu na bila CCM wataishi maisha mazuri wao na vizazi vyao sio kama wanavyoishi sasaivi huku CCM wakijinufaisha binafsi.

Mwisho waambie namna utakavyoheshimu wataalam na utaalam wao na kuondoa mfumo uliopo wa Wanasiasa kuwa ndo final say hadi kwenye masuala ya msingi ya kitaalam.
Mimi ni Mtumishi wa Umma. Sitakuwa na muda wa hata kusikiliza kasema nini kwasababu hana uwezo wa kunishawishi. Uwezo wake ni kuwashawishi nyumbu tu!
 
jana kaongea bila ushahidi kuwa vinatumiwa na CCM na polisi huwaita polisi CCM
Unahitaji ushahidi gani kujua kuwa ccm huwa inatumia hivyo vyombo kuiba kura ili kusalia madarakani kinyume na matakwa ya umma wa wapiga kura?

Nyie CHAWA tulieni nchi ikombolewe kutoka kwa makucha ya wakoloni weusi..

(1) LGE2024 - Shinyanga: Apatikana na karatasi za kura ambazo zimepigwa kwa mgombea wa CCM zaidi ya 100 | JamiiForums LGE2024 - Shinyanga: Apatikana na karatasi za kura ambazo zimepigwa kwa mgombea wa CCM zaidi ya 100
 
Na kumchangia watamchangia. Maana watumishi wengi wa umma pamoja na na wa vyombo vya ulinzi na usalama ninaozungumza nao wanasema wazi kabisa kuwa wameichoka CCM.
itapendeza zaidi kwasababu ataishia kuchangiwa tu,
kwasababu ni wazi kwamba kibaraka ni tapeli na kibaka wa siasa tu anaetafuta pocket money na peasa ya kujikimu tu na hana mpango wowote wa kujitegemea ispokua kuombaomba tu :pedroP:
 
Kwani uongo? We mwenyewe huoni namna ya baadhi ya viongozi wa dini wanavyokula rushwa za waziwazi za huyo Samia na mwanae?
Takukuru ipo kama ana ushahidi kwa nini asipeleke? Michango kwenye dini sio.rushwa

Kwanza nitamshangaa kiongozi yeyote wa dini atakayemsikiliza Lisu

Kawaida kuna kitu kinaitwa huduma kwa jamii husika waweza toa mchango kuchangia

Lisu hajawahi toa mchango hata wa kujenga jengo la kigango cha kanisa katoliki pamoja na mapesa alipata akiwa mbunge nk sharti mojawapo kwa mkatoliki ni kujitoa kwa hali na mali kuchangia fedha kanisa.Hilo Lisu hafanyi

Raisi Samia anajua umuhimu wa kuchangia jamii amesaidia ujenzi wa majengo kibao ya dini bila kujali udini

Sasa Lisu kuita hiyo ni Rushwa nitawashangaa viongozi wa hizo dini zote Zilizotuhumiwa kupokea Rushwa kwenda kukaa na Lisu na kumsikiliza akili watakuwa hawana wala sio siri
 
itapendeza zaidi kwasababu ataishia kuchangiwa tu,
kwasababu ni wazi kwamba kibaraka ni tapeli na kibaka wa siasa tu anaetafuta pocket money na peasa ya kujikimu tu na hana mpango wowote wa kujitegemea ispokua kuombaomba tu :pedroP:
Udhalimu wenu umeshawalevya sana kiasi cha kuwadharau Watanzania. Ipo siku mtalia sana na kujutia haya maneno yenu.
 
Takukuru ipo kama ana ushahidi kwa nini asipeleke? Michango kwenye dini sio.rushwa

Kwanza nitamshangaa kiongozi yeyote wa dini atakayemsikiliza Lisu

Kawaida kuna kitu kinaitwa huduma kwa jamii husika waweza toa mchango kuchangia

Lisu hajawahi toa mchango hata wa kujenga jengo la kigango cha kanisa katoliki pamoja na mapesa alipata akiwa mbunge nk sharti mojawapo kwa mkatoliki ni kujitoa kwa hali na mali kuchangia fedha kanisa.Hilo Lisu hafanyi

Raisi Samia anajua umuhimu wa kuchangia jamii amesaidia ujenzi wa majengo kibao ya dini bila kujali udini

Sasa Lisu kuita hiyo ni Rushwa nitawashangaa viongozi wa hizo dini zote Zilizotuhumiwa kupokea Rushwa kwenda kukaa na Lisu na kumsikiliza akili watakuwa hawana wala sio siri
Samia amesaidia kwa pesa za nani? Pesa hizo kazitoa wapi? Zimeidhinishwa kutumiwa chini ya kifungu kipi na kwenye bajeti ipi ya Serikali?
 
Udhalimu wenu umeshawalevya sana kiasi cha kuwadharau Watanzania. Ipo siku mtalia sana na kujutia haya maneno yenu.
utapeli wa kuomba kuchangiwa pesa ni ulaghai, utapeli na ukibaka gentleman,

utalia wewe na kibaraka,
dhuluma kwa waTanzania maskini itadhibitiwa soon, mtaishia kuchangiwa jero tu :pedroP:
 
Watanzania hatutaki vita, acheni vyombo vya usalama vifanye kazi yake ya kulinda amani.
Chadema kama mnataka kuwa M23 hii nchi haiwafai nendeni Zaire.
Wewe kakate mauno kwa bwana wako.
Huna chochote Cha kuchangia kwenye hii thread.
Funga domo lako na kaa kimya we mama.
Wanaume wanapo jadili mustakabali wa taifa wewe fanya kufuatilia TU.
 
utapeli wa kuomba kuchangiwa pesa ni ulaghai, utapeli na ukibaka gentleman,

utalia wewe na kibaraka,
dhuluma kwa waTanzania maskini itadhibitiwa soon, mtaishia kuchangiwa jero tu :pedroP:
Tlaatlaah una maneno sana🤣🤣ila nimekucheck mkuu 😆
 
Ukisoma comment zao utaelewa kabisa kuwa CCM ni watu hatari ambao hawastahili kuendelea kuiongoza hii nchi maana wameshaifikisha shimoni.

Wamekalia ujinga na vitisho tu.
yaani ungekuwa na akili tu hata kidogo za kukuwqezesha kuvuka barabara ungejuwa n kwakiasi gani ccm ni chama makini kinacholenga kuwafanay watu wake kuishi kwa amani wewe hapo mpaka ulipo fikia umesoma unaishi ndani ya nchi inayoongozwa na ccm na mpaka unaandika utumbo wako uko ndani ya ccm hao chadema wameonyesha udhaifu mkubwa hawajakomaa kuweza kushika dola wacha kwanza wapambane kuishauri serikali siyo k ushika madaraka hawatufai
 
Hizo propaganda kawalishe watoto wadogo.

Amani ya Tanzania siyo isani ya CCM, ni mchango wa Watanzania wote kuwa watu wa amani.

Pili CCM imeonesha kabisa kuwa ndo hawaitaki amani ya Tanzania baada ya kuendekeza na kufanya vitendo vya kidhalimu ikiwemo utekaji na mauaji ya walio na mitazamo tofauti na wao.

Mwisho CHADEMA kimeonesha wazi kuwa ndo chama kinachoweza kutueletea maendeleo sahihi ya Watanzania kutokana na kuwa na sera bora zilizo jumuishi.
 
Toka 2021 baada ya kifo ya Magufuli ilishaamuliwa Rais anayefuata ni Tundu Lissu

hata Kama Magufuli angeendelea mpaka 2025 Rais ambaye agefuata ni Tundu Lissu

Ukweli mchungu anachanga Mungu mwanadamu hawezi kukizuia!!
 
Samia amesaidia kwa pesa za nani? Pesa hizo kazitoa wapi? Zimeidhinishwa kutumiwa chini ya kifungu kipi na kwenye bajeti ipi ya Serikali?
Kwani halipwi mshahara,hana posho zake
Hana ndugu marafiki wa ndani na nje wa kumchangia?

Mbona Lisu tu mwenyewe kachangisha mamilioni kutoka kwa marafiki wa ndani na nje na hadi CCM wakamchangia hela.Sembuse Raisi akiomba ndugu na marafiki wa ndani na nje wamchangie kwenye kitu anataka kuchangia atashindwa?
 
Toka 2021 baada ya kifo ya Magufuli ilishaamuliwa Rais anayefuata ni Tundu Lissu

hata Kama Magufuli angeendelea mpaka 2025 Rais ambaye agefuata ni Tundu Lissu

Ukweli mchungu anachanga Mungu mwanadamu hawezi kukizuia!!
Huyo Mungu ni wako peke yako tu sio wa wapiga kura wote Tanzania? Hao wapiga kura wote Tanzania wanaabudu huyo mungu wako ?
 
Back
Top Bottom