Tundu Lissu andaa hotuba kwa ajili ya Watumishi wa Umma na wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama

Mkuu, nakusifu. Nchi inahitaji mabadiliko sasa. Kikokotoo kipya kinaangamiza Baba, Mama, Bibi na babu zetu.
 
You are absolutely right and spot on.

Hiyo yaitwa kistratejia "a Compelling message" yaani pale unapogundua wale wapiga kura kama hao ulowataja ni lazima utengeneze ujumbe kwao ambao walingana na mawazo yao.

Ni lazima uongee nao jambo ambalo watakuwa tayari kuwa nyuma yako na kukuunga mkono.

Yapo mengi tu ya kuwaambia tuweke akiba kwanza naona jamaa wamekesha kwenye uzi huu.
 
Mkuu, nakusifu. Nchi inahitaji mabadiliko sasa. Kikokotoo kipya kinaangamiza Baba, Mama, Bibi na babu zetu.
Wanawatumia Watumishi kuiba kura na kutangaza matokeo ya uongo ya uchaguzi alafu wanawawekea kikokotoo cha kuwafanya wasiishi vizuri baada ya kustaafu na wawe ombaomba.
 
Kweli kabisa LISSU lazima aandae hotuba kuwafungua akili hawa watu. Hawa watu wangejua nguvu wanayotamba nayo CCM ipo mikononi mwao, kesho tu CCM haitakuwepo madarakani na wataishi maisha mazuri sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…