Tundu Lissu aondoka nchini kuelekea Ubelgiji. Asema anakwenda uwanja mpya wa kudai haki, demokrasia na utu wetu kwa nchi yetu

COMPLETE LIE! Vipi wale mliotaka wafie barabarani??? Hawakuwa watu??? Nyie wasababishi na wachochezi wa machafuko na ghasia na vifo vya Watanzania ndio wa kwanza kukimbilia kwenye balozi na kukwea pipa kwenda kujificha mkiogopa mauti, ilhali mmewadanganyeni wenyewe. Basi wapeni hata hela za matibabu au mazishi.
 

Maalim Seif and Lissu are Savimbis!Period.
 

Kama Hadi jumuia za kimataifa zimethibitisha we ni nani upinge
 
[emoji1][emoji1] kwahiyo mission failed?
Mungu awabariki zaidi watu weupe bila wao waafrika wangeuliwa Kama kuku na Hawa wakoloni weusi kwao kuuwa mtu sababu ya tumbo ni sawa na kunywa pepsi.Waafrika bado Sana kwenye kujiongoza,
 
Wadau ninawaza kwa sauti tu! Hivi kama kuna nia ovu kama tunavyoaminishwa, je Lissu ni tishio kabla au baada ya Uchaguzi?! Mbona kafanya kampeni kwa amani ,kalindwa na kulisifu Jeshi la polisi?! Kwa nini tishio la ghafla?!! Naomba msaada kwenye tuta.
 
Nani kapigwa risasi? Au na wewe ndo umekula matango pori ya kigogo halafu unakuja kuleta ushambenga huku JF
Waketajwa majina na uzi upo hapa kupitia taarifa rasmi ya ACT wazalendo!Kama ni uongo mbona Zitto hajakamatwa?
Kuwwni na huruma na watanzania wenzenu!
Halafu wazanzibar ni wajinga sana,inakuwaje kila mwaka wanakubali askari kutoka bara kupelekwa zanzibar kulinda amani mwisho wa siku wanawauwa bila kujali?
ingekuwa ni askari wazawa wa Zanzibar ,wasingefanya unyama huo kwa ndugu zao!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na bado mpka akili ziwakawe sawa!

Eti ni yeye! My foot
Wewe mburura kuna unachofaidi kwani?
Watu wameuawa!
Watu wamebambikiwa kesi!
watu wamepigwa!
Watu wamefukuzwa kazi bila utaratibu!

Nauliza tena unafaidi nini?
Au wewe ni mmoja wapo wa kuburuzwa the hague kura za petition zilitosha kumbe!
Picha za mauaji na wizi wa kura na zipo mahakamani.
Nauliza tena unafaidi nini?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unamtolea nani hili povu?

Nilikutuma umshabikie huyo mbeligiji wako?
 
Romeo Lukaku karudi kwao baada ya mkataba kuisha, hii ni #MAGUNATION
 
Tundu anakwenda kula mabilioni yake aliochangiwa na mabeberu
Kama alishindwa kuleta Mageuzi akiwa nchini,hatoweza kuleta Mageuzi kwa Twitter,ni majuha tu ndio watamuelewa
Tutegemee Tundu akirudi akiwa mzee ,kachoka Kama Abdulrahman Babu na Oscar Kambona,
 
Hapana ataitisha kikao cha Magufuli kukodi majeshi ya Burundi
[emoji23][emoji23][emoji23]Kwa hiyo hapa nchini pana wanajeshi kutoka burundi?

Hizi takataka huwa anawalisha kigogo muwe mnatapika huko huko mnakozitoa
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Kwa hiyo hapa nchini pana wanajeshi kutoka burundi?

Hizi takataka huwa anawalisha kigogo muwe mnatapika huko huko mnakozitoa

Majeshi ya Burundi yapo na wengine wamevishwa sare za Polisi usilete uda hapa kila mtu anajua na hao majeshi wenu wanatuambia mitaani hakuna cha siri tena
 

Nyinyi mabilioni yenu wapelekeeni warundi mliokodisha majeshi yao na kuwavika sare za Polisi wa TZ
 
Majeshi ya Burundi yapo na wengine wamevishwa sare za Polisi usilete uda hapa kila mtu anajua na hao majeshi wenu wanatuambia mitaani hakuna cha siri tena
Kwahiyo unaambiwa na hao wanajeshi kwamba hapa nchini kuna wanajeshi toka burundi?

Wale wa Rwanda mlikuwa manasema wanamlinda mkulu wao walishaondoka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…