Tundu Lissu aongoza kura za mtandaoni dhidi ya Mbowe kwa kura asilimia 84 dhidi ya 16

Tundu Lissu aongoza kura za mtandaoni dhidi ya Mbowe kwa kura asilimia 84 dhidi ya 16

Shida waliopiga kura twitter siyo ndo wapiga kura kwenye mkutano,,,Lissu huu uchaguzi hatoboi hata nusu ya kura,,,,wakati Mbowe alishapanga safu yake,Uchaguzi ni maaandalizi siyo unakurupuka tu unasema unagombea,,,Lissu anafikiri atapigiwa kura na akina sativa na sarungi
 
View attachment 3183324

Kwa mujibu wa kura za maoni zilizo fanywa na Jambo online TV matokeo yapo hiv:

Watoa maoni: 12,148

Tundu Lissu kapata kura 10,204 sawa na 84%

Freeman Mbowe kapata kura 1,944 sawa na 16%.

Haya ni maoni ya watanzania walio nje ya mfumo wa Chadema. Wajumbe wa mkutano mkuu wana nafasi ya kuyakubali au kuyakataa.
Hata kama ni za mtandaoni aisee hili gap ni.kubwa sana.

Mbowe ameshika nafasi ya CCM
 
Shida waliopiga kura twitter siyo ndo wapiga kura kwenye mkutano,,,Lissu huu uchaguzi hatoboi hata nusu ya kura,,,,wakati Mbowe alishapanga safu yake,Uchaguzi ni maaandalizi siyo unakurupuka tu unasema unagombea,,,Lissu anafikiri atapigiwa kura na akina sativa na sarungi
sawa lakini sisi watu wa X kwenye uchaguzi mkuu mtatuhitaji pia
 
chama ni wanachama, kama Lisu amepigiwa kura na watu 10,204 wasio wanachama wa chadema, ana mtaji mkubwa wa wanachama, why keep fighting with people within the party while you have such a support? form your own party..or join any established party having such sufficient capital! hata asisumbuke kugombea..Lisu ahame chadema!
 
Ukweli mwana kazingua sn
Ukiangalia jinsi anavyosifiwa na maadui wa Lisu, nachelea kusema kwamba huenda katika shambulio la Lisu kuna baraka zake. Maana walianza kutofautiana zaman toka alivyomleta Lowasa kugombea uraisi kwa nguvu na pia Lisu alianza kuonekana kuwa tishio kwa nafasi yake tangu miaka 9 iliyopita.
 
Back
Top Bottom