econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Nyie ni washabiki tu
Washabiki hua wana kelele sana na maneno maneno,kama wanawake wavaa madera wanaoshinda mabarazani 😝
Wewe ndio una makelele. Nimekuuliza swali dogo tu hao wajumbe wa mkutano mkuu hawaishi kwenye jamii?. Halafu Leo mnadharau mashabiki wa CHADEMA kisa uenyekiti wa chama.