Ahaaaaaaa vijana pungeni muhemko,,,uchaguzi ni maandalizi ,,Lowassa hakupata zile kura kwa kubahatisha,,alianza kujiandaaa toka 2010 ndo maana alipanga safu yake ya viongozi ndani ya CCM,,,ingekuwa kuna kupigiwa kura Lowassa angempiga Magufuli mapema sana,,,,Watu timamu hawaandaliwi kwa vipande vya fedha wanajiandaa kwa kutenda mambo yao kwa usahihi ili wakubalike kwa wapiga kura siku wakitoa sera zao.Huyo Mbowe kama aliwaandaa wapiga kura basi si mwanademokrasia wa kweli.