Nyie ni washabiki tu
Washabiki hua wana kelele sana na maneno maneno,kama wanawake wavaa madera wanaoshinda mabarazani π
Hatuta g z wa nchi nyingine tunajitosheza, Mbowe ameyataKa yatamrudi ,tukutane snduku la kura , hakuna cha kufungia wajukne safe house , chama cha watu lazimaLISSU 2025, GEN Z EAST AFRICA wote watamiminika hapa Tanzania kuja kupush REFORMS ili tupate UCHAGUZI HURU NA WA HAKI. SIO UCHAFUZI WA MCHENGERWA NA MAMA MKWE WAKE.
Washabiki wa mitandaoni mngekua mnazingatiwa ccm ingeshasahaulikaWewe ndio una makelele. Nimekuuliza swali dogo tu hao wajumbe wa mkutano mkuu hawaishi kwenye jamii?. Halafu Leo mnadharau mashabiki wa CHADEMA kisa uenyekiti wa chama.
..hakuna mtu anapenda kukaa mahali hatakiwi, yeye ana watu wengi nje ya chadema..ya nini kubaki asikotakiwa? Mbowe hawezi kuhama, na sababu unazijua! kati yao mwenye best option ya kuhama ni lisu, vinginevyo hao tiss wanaowalipa mpige kelele hapa wana lao jambo!
Mpe Lissu Kwa mageuxi ya Haki?View attachment 3183324
Kwa mujibu wa kura za maoni zilizo fanywa na Jambo online TV matokeo yapo hiv:
Watoa maoni: 12,148
Tundu Lissu kapata kura 10,204 sawa na 84%
Freeman Mbowe kapata kura 1,944 sawa na 16%.
Haya ni maoni ya watanzania walio nje ya mfumo wa Chadema. Wajumbe wa mkutano mkuu wana nafasi ya kuyakubali au kuyakataa.
Washabiki wa mitandaoni mngekua mnazingatiwa ccm ingeshasahaulika
Humu mmejaa nyuma ya keyboard mnajazana ujinga tu na matumaini hewa, field hamuonekani.
Nyie hata vitambulisho vya kupiga kura hamna π
Hizo ndizo "indisha" za kihuni kuchanganya akili za watu. Hata katika mambo rahisi; kunaingizwa sintofahamu za maksudi kuvuruga tu mambo. Hivyo ndivyo nchi inavyo kwenda siku hizi. Hakuna kwenda katika mstari ulio nyooka katika jambo lolote, ni lazima aweo na kupinda pinda kiaina.Sijaelewa hapo ulipoandika wananchi wanataka Chadema iongozwe na Mbowe.!
Ndugu kuwa na nidham , tulio mtaani ndo tupo jf ,je nikisema hu mpumbavu nitakua nimekufunjia hesma ,sasa nasema hu mpumbavu na jrekebishe ,asema Bwana.Washabiki wa mitandaoni mngekua mnazingatiwa ccm ingeshasahaulika
Humu mmejaa nyuma ya keyboard mnajazana ujinga tu na matumaini hewa, field hamuonekani.
Nyie hata vitambulisho vya kupiga kura hamna π
Wengi wapo na Lisu moyoni na machoni wapo na mbowe kwa ajili ya kula pesa zake anazogawa kama njugu, uchaguzi huru na haki Lazima Lisu atapata kura nyingi lakini kwa kuwa mbowe anautaka uenyekiti kwa udi na uvumba lazima ataiba kura uchakachuaji utafanyika kwa bidii kubwa mpaka mbowe awe mwenyekiti tena ingawa ni kwa njia haramuShida waliopiga kura twitter siyo ndo wapiga kura kwenye mkutano,,,Lissu huu uchaguzi hatoboi hata nusu ya kura,,,,wakati Mbowe alishapanga safu yake,Uchaguzi ni maaandalizi siyo unakurupuka tu unasema unagombea,,,Lissu anafikiri atapigiwa kura na akina sativa na sarungi
Mbowe anaenda kununua uenyekiti kwa pesa nyingi sanaAkishinda kwa kuhonga wajumbe atakuwa amekiua chama.
Kura halali zitamchagua Lisu lakini kamati haramu itachakachua na kupora ushindi lisu na kumtangaza Mbowe kuwa mshindi haramuUzuri au ubaya hizi ni kura haramu, kula halali zinapigwa physically na watu ambao huenda hata mitandaoni hawapo.
Hili tapeli litaondoka kwa aibu kuu.
Mbowe mpaka sasa ametumia mamilion kununua uenyekiti apate kukwepa balaa la ukaguzi wa mahesabu wakabaini ufisadi wake
Aache ufalme, apumzike kwa heshima ikimpendeza bwana mbowe ajiondoe kwenye kinyanganyiro aache utemiMbowe anaenda kununua uenyekiti kwa pesa nyingi sana
Mbowe katafuna pesa nyingi za chama kienyeji sasa anahofia mwenyekiti mpya ataibua maovu yake akaingia matatani kwa upotevu mkubwa wa pesa za chademaKwanini ilikuwa rahisi kumpisha Lowasa agombee na wakatumia nguvu kubwa kumsafisha Lowasa
,Kwa nini sasa hivi ni ngumu kumpisha Lisu agombee.
Kama ikitokea Mbowe ameshinda atawezaje kuwaaminisha jamii kuwa hakutumia cheo chake kusalia kwenye kiti.
Kwanini Mbowa asingekubali kuwa makamu akamuacha Lisu anayekubalika na wengi jamii agombee kama alivyomuachia Lowasa kipindi kile.