Yaap mtabakia na hayo hayo.Ni masharti ya wafadhili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaap mtabakia na hayo hayo.Ni masharti ya wafadhili
hakuna mkate mgumu mbele ya chai. wafuasi wa chadema huu ni wakati mzuri sana kujifunza namna wanavyokuwa used na watu wenye maslahi ya familia zao.
Wewe Mwana CCM unajuaje wanachadema wanatumiwa?. Halafu wanatumiwa na mtu ambaye almanusra auwawe?.
Ficha ujinga wako hadharani....
Katiba iliyopo inatutosha....
CCM ndio inayolinda maslahi mapana ya taifa hili...hata mh.Rais Putin anajua.....
#Siempre CCM🙏
Muone daktari wa afya ya akili,unauguaMaana yake baadhi ya mapendekezo aliyotoa Lissu kwa Samia walipokutana Belgium yameanza kufanyiwa kazi...
Lisu atarejeshewa gharama za matibabu na kulipwa mafao yake ya ubunge!Yatafanyiwa kazi yote kwakuwa ndio DEMAND ya mabwanyenye wakoloni wetu wafadhili na wahisani
Kabisaaa hatutaki Mashetani Sisi..Tujenge Tanzania mpyaTanzania mpya wale wa visasi ,washamba na malimbukeni wa madaraka kazi yenu Ni rahisi kupokea na kuishi maisha halisia.
kwa kuwa mama anqtekeleza kila kitu tulichoomba..nakna hakuna haja ya Chadema kusimamisha upinzani
Kwahiyo unateseka!!Pia Lissu amekushukuru mleta mada kwa kuwa wa kwanza kuanzisha Uzi.
Chadema tena? Maneno hayo wapaswa kuyaelekeza kwa mavuvuzela ya CCM maana ndio hawana msimamo kazi yao ni kutukuza wasemacho viongozi wao.hakuna mkate mgumu mbele ya chai. wafuasi wa chadema huu ni wakati mzuri sana kujifunza namna wanavyokuwa used na watu wenye maslahi ya familia zao.
Hazimtoshi yule, usishangae akaja na kuanza kumtukana tena.
SSH alienda kumsalimia lisu alipokuwa anatibiwa nairobi, lakini baada ya kuapishwa kuwa rais, lisu huyo huyo ndiye alikuwa wa kwanza kumbambikia majina ya kijinga, mara Magufuli wa kike, mara dikteta mwanamke!
Jamaa ni chizi mr #dishlimetilt
Hahahaaaa......... Malengo ni tofauti bwashee!Hahahahaha
Hawa ndio walikuwa wanamsimanaga Zitto…kumbe Zitto aliwawahi tu
Hazimtoshi yule, usishangae akaja na kuanza kumtukana tena.
SSH alienda kumsalimia lisu alipokuwa anatibiwa nairobi, lakini baada ya kuapishwa kuwa rais, lisu huyo huyo ndiye alikuwa wa kwanza kumbambikia majina ya kijinga, mara Magufuli wa kike, mara dikteta mwanamke!
Jamaa ni chizi mr #dishlimetilt
Ila wewe jamaa Jumbe Brown ni nafiki na chawa la kutupwa.Mh.Rais wangu SSH ,kipenzi cha watanzania.....
Kila uchao anaendelea tu kutuwekea rekodi..🙏
🤣🤣Ila wewe jamaa Jumbe Brown ni nafiki na chawa la kutupwa.
Pole sana kwa kutegemea binadamu mwenzako aliyenacho ndio maisha yako yaende.
Hahahahaha
Hawa ndio walikuwa wanamsimanaga Zitto…kumbe Zitto aliwawahi tu
Ahahahha eti magufuli wa kike.Hazimtoshi yule, usishangae akaja na kuanza kumtukana tena.
SSH alienda kumsalimia lisu alipokuwa anatibiwa nairobi, lakini baada ya kuapishwa kuwa rais, lisu huyo huyo ndiye alikuwa wa kwanza kumbambikia majina ya kijinga, mara Magufuli wa kike, mara dikteta mwanamke!
Jamaa ni chizi mr #dishlimetilt
Kwani uwepo wa majambazi ndani ya CHADEMA ndio chama chote kina mijangili?!!!CCM ipi? Hii ya Richmond na EPA?. Tanzania inalindwa na MUNGU na watanzania wa kawaida na sio CCM ya mafisadi na majambazi kina makonda na Sabaya.
Kwani uwepo wa majambazi ndani ya CHADEMA ndio chama chote kina mijangili?!!!
1)Yule jambawazi muiba magari Arusha ni mwanachama nguli wa CDM.....
2)Yule......ni kiongozi nguli wa CDM....
3)Jangili nanihii ni kiongozi ndani ya BAVICHA.....
Samahani, hivi wewe ni Homo Sexual ?Mh.Rais wangu SSH ,kipenzi cha watanzania.....
Kila uchao anaendelea tu kutuwekea rekodi......
Rais SSH ni mbobezi wa siasa na diplomasia......
#Siempre SSH [emoji120]
#Siempre JMT[emoji120]