Tundu Lissu apata passport mpya, amshukuru Rais Samia, kurudi Nchini

Wanatu
hakuna mkate mgumu mbele ya chai. wafuasi wa chadema huu ni wakati mzuri sana kujifunza namna wanavyokuwa used na watu wenye maslahi ya familia zao.

Wewe Mwana CCM unajuaje wanachadema wanatumiwa?. Halafu wanatumiwa na mtu ambaye almanusra auwawe?.
 
Ficha ujinga wako hadharani....

Katiba iliyopo inatutosha....

CCM ndio inayolinda maslahi mapana ya taifa hili...hata mh.Rais Putin anajua.....

#Siempre CCM🙏

CCM ipi? Hii ya Richmond na EPA?. Tanzania inalindwa na MUNGU na watanzania wa kawaida na sio CCM ya mafisadi na majambazi kina makonda na Sabaya.
 
kwa kuwa mama anqtekeleza kila kitu tulichoomba..nakna hakuna haja ya Chadema kusimamisha upinzani

Hayo ni ya kwako. Akishatekeleza yote tunayotaka atajikuta nje ya ikulu bila kupenda.
 
hakuna mkate mgumu mbele ya chai. wafuasi wa chadema huu ni wakati mzuri sana kujifunza namna wanavyokuwa used na watu wenye maslahi ya familia zao.
Chadema tena? Maneno hayo wapaswa kuyaelekeza kwa mavuvuzela ya CCM maana ndio hawana msimamo kazi yao ni kutukuza wasemacho viongozi wao.

Juzi walikuwa wanamsifu Jiwe na ushenzi wake, leo mama anafanya vingine wamegeuka. Ila wale wa Chadema walikomaa ni misimamo yao hadi imetekelezwa.
 
Mama anamkubali Sana Lissu. Wewe Baki na matusi yako .
 
Tulia ww, Lisu hana haja ya kusifia. Hii ndio wiki mwaka jana taifa lilipata furaha ya ajabu.
 
Ume
Hahahahaha

Hawa ndio walikuwa wanamsimanaga Zitto…kumbe Zitto aliwawahi tu

Umeumia Lissu kurudishiwa passport. Wao walitaka kuonana na Rais, na wamefanikisha wameonana naye.
 
Ahahahha eti magufuli wa kike.

Lissu kweli akili zake anazijua mwenyewe,hata mimi namtizama kwa makini sana
 
CCM ipi? Hii ya Richmond na EPA?. Tanzania inalindwa na MUNGU na watanzania wa kawaida na sio CCM ya mafisadi na majambazi kina makonda na Sabaya.
Kwani uwepo wa majambazi ndani ya CHADEMA ndio chama chote kina mijangili?!!!

1)Yule jambawazi muiba magari Arusha ni mwanachama nguli wa CDM.....

2)Yule......ni kiongozi nguli wa CDM....

3)Jangili nanihii ni kiongozi ndani ya BAVICHA.....
 
Mbona hutaji majina?. Mimi nimekutajia majina wewe unajiuma Uma maana sio kweli.
 
Mh.Rais wangu SSH ,kipenzi cha watanzania.....

Kila uchao anaendelea tu kutuwekea rekodi......

Rais SSH ni mbobezi wa siasa na diplomasia......

#Siempre SSH [emoji120]
#Siempre JMT[emoji120]
Samahani, hivi wewe ni Homo Sexual ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…