Uchaguzi 2020 Tundu Lissu apata wadhamini 485 Shinyanga


Kuleta chakula na kuhudumia familia yako ni wajibu wako namba moja, weather familia ita appreciate au itanung'unika hilo halikufanyi uache huo wajibu wako. Moja ya wajibu wa Serikali yoyote ni kuwatumikia wananchi wake wote bila kujali kama wana appreciate au wanalalamika, kwa sababu hiyo ndiyo ilikuwa ahadi yako kwao. Tenda wema nenda zako, kila mwenye akili na macho yake ataelewa na kuona, kuna atakayeshukuru kwamba asante chakula kitamu sana nimeshiba na kuna atakayelalamika kwamba chakula kina chumvi nyingi nimekula tuu sababu ya njaa; hiyo ni kawaida hutakiwi tena kurudi kila siku kuwaambia mnaona nimefanya? mnaona nimefanya?
 

Tatizo siyo hilo ndugu yangu tatizo la kwanza uhuru wa watu kutoa mawazo katika nchi yao. Kwani Africa kusini wakoloni hawakuwa wanajenga hospital na ma barabara mbona walifurushwa na weusi. Fanya kila kitu lakini usije ukacheza na uhuru wa mtu kutoa kuamuwa kuhusu mambo yanayomuhusu Nyerere alishasema maendelo bila uhuru wa watu bora umasikini.
 
Nikupe mfano mkoa wa pwani unaviwanda vipya vikubwa zaidi ya kumi.... Mapungufu yapo ila appreciate japo unamchukia mtu

Kwahiyo jumla ndo vinafika hivyo 700 zaidi ya Japan ama kweli TZ imepiga hatua ya viwanda
 
Anaelekea Tarime na upepo wa kisulisuli hapa ni Bunda. Huko Musoma ni balaa ingine.
 
Polisi wataanza kupewa maelekezo soon
 

Andiko laki liko sahihi kabisa na hicho ndicho kinatakiwa siyo kuendelea kupewa ahadi na CCM wakati tatizo ni mfumo w utawala ambao hawawezi kuubadilisha wakati unawanufaisha na kufukarisha taifa
 
Magufuri muda huu kalala tu, nyie hangaikeni tu.
Yeye akimka kila kiumbe kitatambua kuwa Mshindi amekuja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reactions: nao
Tundu anashindwa kupata wadhamini 2000 kwenye mkoa mmoja? Hiyo ziara ya kutafuta wadhamini imepangwa kimkakati, angalia hiyo mikoa anayotembelea and jiulize kwa nini? Kuanzia Dodoma, Singida, Shinyanga, Mwanza and Geita
Kanda ya ziwa atapata watu wakushangaa makovu na ile hali ya ulemavu tu.
Wapiga kura huko ni asilimia 0.5 atakaopata. Hawezi kabisa kumsumbua Magu ukanda huo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Safi sana sana......

Tundu Lissu our president.....
 
Safi sana.Hivi MAGUFULI hasafiri kutafuta wazamini ?
 
Mkuu hivi Magufuli aliomba urais ili afanye nini? Hiyo ndo kazi yake na we have already appreciated kwa kumlipa mshahara,wenzetu mnakwama wapi sijui?
 
Kanda ya ziwa atapata watu wakushangaa makovu na ile hali ya ulemavu tu.
Wapiga kura huko ni asilimia 0.5 atakaopata. Hawezi kabisa kumsumbua Magu ukanda huo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Safari hii tunawaeleimisha ndugu zetu. Usipige kura za ukabila au ukanda. Piga kura kwa sababu unaamini kiongozi ataleta mabadiliko.
 

..vema.

..lakini KOSA lenu ni kutesa na kudhalilisha viongozi waliochaguliwa na wananchi ktk eneo husika.

..hapo Arusha kulikuwa na haja gani kudai ilani itakayotekelezwa ni ya CCM, na ilani ya CDM itatupiliwa mbali?

..kwanini zisitekelezwe ilani zote kwasababu CDM walishinda ubunge na halmashauri, na CCM walishinda Uraisi?

..makaburu walijenga miundombinu mikubwa na ya kisasa kuliko hii tuliyojenga sisi, lakini walipingwa kutokana na kutenda DHULUMA kwa wananchi.
 
Safari hii tunawaeleimisha ndugu zetu. Usipige kura za ukabila au ukanda. Piga kura kwa sababu unaamini kiongozi ataleta mabadiliko.
Mabadiliko hayawezi kupatikana kwa msaliti. Bado upande wa pili wanashida na ruzuku tu ndo lengo kuu, sio kuongoza hili taifa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio kitu cha ajabu hata s
Nikupe mfano mkoa wa pwani unaviwanda vipya vikubwa zaidi ya kumi.... Mapungufu yapo ila appreciate japo unamchukia mtu
Sema viwanda gani Mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…