Uchaguzi 2020 Tundu Lissu apata wadhamini 485 Shinyanga

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu apata wadhamini 485 Shinyanga

Kitu kibaya kinacho imaliza hii nchi ni unafiki... Appreciate pale kizuri kinapo fanyika hakuna binadamu asiye na mabaya.... Arusha mjini imejengwa hospitali mpya ya wilaya njiro.. longido pia imejemgwa hospitali mpya na kata ya murieti ninapoishi kuna kituo cha afya kikubwa tuu na kinafanya kazi....

Lissu anasema eti 'tusifanywe wajinga'

na anasisitiza hata mababu zetu walikuwa na dispensari zao,wakoloni walijenga:Nyerere,Mwinyi,Mkapa na Kikwete pia walijenga hata na doctor Mwaka ana hospitali

nadhani utamdhamini
 
Kanda ya ziwa ni stronghold ya CCM, mtaji wao upo huko.
 
Shinyanga imetuma ujumbe kwa wale wanaosema "Kazi za JPM zinaonekana" aka wazee wa Zahanati 500

Shinyanga hatukuwahi kufanya mikutano kama ambavyo mshua alikuwa amepageuza njia ya kwenda na kutokea Chato daily.

Tumepata wadhamini 500 sawa na idadi ya zile zahanati hewa. Teh teh teh zahanati 500!

Tupo njiani kwenda Mwanza na Mara. Mwanza inasimama leo na tukitoka huko tunaenda chato!
Mbarikiwe Sana!. futeni ule ujinga ulioenezea .kwa miaka mitano!
 
Lissu anasema eti 'tusifanywe wajinga'

na anasisitiza hata mababu zetu walikuwa na dispensari zao,wakoloni walijenga:Nyerere,Mwinyi,Mkapa na Kikwete pia walijenga hata na doctor Mwaka ana hospitali

nadhani utamdhamini
Kwahyo yy akifanikiwa kuongoza nchi atabomoa hospitali zote.... Hii nchi unafiki ndio unaotumaliza...
 
Tundu anashindwa kupata wadhamini 2000 kwenye mkoa mmoja? Hiyo ziara ya kutafuta wadhamini imepangwa kimkakati, angalia hiyo mikoa anayotembelea and jiulize kwa nini? Kuanzia Dodoma, Singida, Shinyanga, Mwanza and Geita
Kwani anatakiwa apate minimim ya wadhamini wangapi kwa kila mkoa?
 
Ishu si idadi ya watu, ishu ni mikoa 10. This is the rule! hata akapata milioni, say 20 mkoa mmoja (hakuna wenye idadi hiyo anyway) , bado sheria inamtaka apite mkoa 10 na kupata wadhamini kila mkoa.
anapaswa kuwa na wadhamini 200 kila mkoa
 
Kwahyo yy akifanikiwa kuongoza nchi atabomoa hospitali zote.... Hii nchi unafiki ndio unaotumaliza...
Kuna mahali alisema hivyo? Kwa nini wewe na mwenyekiti wako mnapenda kuwalisha watu waneno? Uongo ni dhambi.
Baba wa uongo ni ....
 
Kitu kibaya kinacho imaliza hii nchi ni unafiki... Appreciate pale kizuri kinapo fanyika hakuna binadamu asiye na mabaya.... Arusha mjini imejengwa hospitali mpya ya wilaya njiro.. longido pia imejemgwa hospitali mpya na kata ya murieti ninapoishi kuna kituo cha afya kikubwa tuu na kinafanya kazi....

Even if, that's still not enough compared to the age of this beautiful nation.....

Taifa hili lina umri wa miaka zaidi na karibu ya 70, leo ndiyo manasumbuka kujenga zahanati???

Stop joking, please...

Kwa umri huu tulionao kama nchi tulipaswa kuwa tumepiga hatua kubwa sana za maendeleo ya kiuchumi na kijamii sawa na na nchi za Malaysia, Singapore, Thailand (kwa bara la Asia); ama Kenya, Nigeria, South Africa ama Ghana kwa Africa...

Huu ndiyo ugomvi tulionao sisi wengine na serikali zote za CCM tangu Uhuru wa nchi hii...

For sure kabisa, tatizo la CCM kuongoza nchi kwa kukumbatia mifumo dhaifu ya utawala ambayo ni "100% centralized" kiasi ambacho maamuzi ya ki - SERA na MIPANGO yamerundikiwa mtu mmoja tu mwenye cheo cha "RAIS MTENDAJI"...

Hili ndilo tatizo na ndiyo mzizi wa fitina unaotakiwa kuchimbwa na kung'olewa kabisa ili nchi ianze kuona mwanga wa jua la asubuhi...!!

Vinginevyo zitakuja chaguzi na chaguzi tukidanganyana usiku na mchana huku maadui UJINGA, MARADHI na UMASKINI wakiendelea kutukalia usiku na mchana bila majibu...!

They are not doing good enough. They have to go. We need new people with fresh ideas, fresh plans to run this country...

TUNDU LISSU naona wazi kaliona tatizo hili. Maono (vision) take ni suluhu ya matatizo yetu kama nchi....

Anasema, jibu lake ni kuufanyia "overhauling" mfumo wetu wa UTAWALA na KISHERIA kwa kuja na makubaliano mapya ya namna tunavyopaswa kujitawala kama nchi yaani - KATIBA

Hii itakwenda sambamba na mahitaji ya wakati huu kwa kuya - address kwa ufasaha matatizo yetu (Maradhi, ujinga na umasikini) na namna ya kuyatatua....

Anataka kuung'oa mfumo wa UTAWALA wa "RAIS MFALME" au "KICHIFU" na kushusha mamlaka kwa wananchi chini kabisa (devolution & decentralization) ili watu wawe na uhuru kamili wa kujiamulia mambo yao mwenyewe ya kijamii, kisiasa na kiuchumi katika localities zao kwa maana halisi ya "SERIKALI ZA MITAA" bila kuingiliwa na serikali kuu....

Kama kila mtu ana maarifa (akili nzuri) na busara, atamchagua mtu mwenye mawazo haya...!
 
Shinyanga imetuma ujumbe kwa wale wanaosema "Kazi za JPM zinaonekana" aka wazee wa Zahanati 500

Shinyanga hatukuwahi kufanya mikutano kama ambavyo mshua alikuwa amepageuza njia ya kwenda na kutokea Chato daily.

Tumepata wadhamini 500 sawa na idadi ya zile zahanati hewa. Teh teh teh zahanati 500!

Tupo njiani kwenda Mwanza na Mara. Mwanza inasimama leo na tukitoka huko tunaenda chato!
Pitieni na Shato
 
Wanahitajika Mia mbili tu, hizo nyingine ni mbwembwe tu na hiyo sio guarantee kwamba hata kwenye Uchaguzi kura zitakuwa hivyo hivyo.

Kwa hiyo wewe ukiona wingu zito jeusi tii huko angani ni dalili ya JUA kali kuwaka mfululizo siyo???
 
Back
Top Bottom