EEEeeenHEEEeeee!Kama unajuwa kila kitu, je umepanda miti mingapi nyumbani kwako?
Sasa nasi tusiwe mabwege wa kutupa fursa zetu wenyewe. Tunao mkaa wa mawe hapa; na tayari tumekwisha jadili habari za umeme wa gesi na hydro; lakini wa mkaa ni nafuu zaidi ila ni uchafuzi mkubwa.kweli lakini angalao wamejali baada ya kugundua hawawezi kufunga viwanda kuepusha hiyo carbon emissions. Kila nchi yenye viwanda imepangiwa kiwango cha carbon cha kupunguza, sasa kama huyo beberu anaweza kutengeneza oxygen kwa kupanda miti Tanzania ambayo itafidia kiwango cha carbon anachopaswa kukikata, ubaya uko wapi
Ubaya upo katika ubwege wetu wenyewe, kama tunashindwa hata kazi ndogo tu ya kupanda miti wenyewe na kui'manage' ili tufaidike nayo kama huyo mwenye viwanda anavyo faidika na bidhaa za viwanda vyake kwa kutuuzia kwa bei mbaya. Sisi ardhi yetu tunagawa chee kabisa kwa kazi tunayoweza kuifanya wenyewe na kupata faida kubwa.sasa kama huyo beberu anaweza kutengeneza oxygen kwa kupanda miti Tanzania ambayo itafidia kiwango cha carbon anachopaswa kukikata, ubaya uko wapi
CHADEMA hakuna demokrasia kabisa. Huyo Lissu ana uhakika gani chama chake kitampitisha? Au yeye ndo katiba ya chama?