Pre GE2025 Tundu Lissu arejea nchini, asema atagombea urais 2025 kuitikia wito wa Watanzania

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kusema ni kitu kimoja, na kutenda ni kitu kingine.

..tatizo ulimlinganisha Lissu, na Magufuli ambaye alisema hapendi demokrasia, na matendo yake yalidhihirisha anachukia demokrasia.

..Hao ni watu wawili ambao hawafanani kabisa ktk imani na mitizamo yao kuhusu, uhuru, haki, katiba, demokrasia, na utawala wa sheria.
 
Huyu lofa anapata kura milioni moja tu katika watu milioni 60 aache kutupigia kelele.
 
Basi tuseme Tundu Lissu ni mwema na kiongozi mzuri kama Magufuli. Ukiipenda hii nijulishe
Nakujulisha hivi mkuu 'Stuxnet', wewe na taaluma yako nzuri ya takwimu huna sababu hata kidogo kuwa wakala wa genge la kuikandamiza Tanzania.
Ukinielewa, si lazima unipe mrejesho, kaa na uelewa huo ukusaidie kuleta tija ndani ya taifa letu hili kwa kutumia hiyo taaluma uliyo nayo.
 
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu amesema nia yake ya kugombea nafasi ya urais kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 iko palepale.

Tundu Lissu ameyasema hayo leo, Julai 26, 2024 katika uwanja wa ndege wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam alipowasili akitokea nchini Ubelgiji.

Tundu Lissu amesema wakati anamkabili Hayati Magufuli alikuwa na umri wa miaka 52, mwaka kesho atakuwa na umri wa miaka 57 hivyo hawezi kuwa na nguvu zile zile za miaka 52 na kwa miaka 57. Lissu meongeza kuwa nguvu ya hoja, na msimamo wa kisiasa na uaminifu kwa watanzania bado uko palepale.

Huyu mama, kama tuliweza kumkabili Magufuli hajatoa matokeo ya urais mpaka leo, huyu aliyekuwa anaua watu, kama tuliweza kumkabilia miaka mitano iliyopita, huyu mama hatakuwa na shida kubwa kama Magufuli.

Pamoja na yote, hii mama mama mama hii ni ya watu waliohongwa na hii haina shida.

Nia yangu ya kugombea Urais iko palepale, nitaitikia wito wa watanzania, nitaitikia wito wa chama changu.
Hakuna mtanzania anayeweza kuchagua kichaa awe rais, unless naye awe kichaa.
 
Hakuna mtanzania anayeweza kuchagua kichaa awe rais unless naye awe kichaa. Period.
 
Ndio maana nimekwambia wewe unachuki nae binafsi huna sababu ya maana
Kama huwezi kuziona sababu kwenye post yangu namba 155 basi nawe ni mlemavu wa akili. Fanya hima ukutane na Daktari wa afya ya akili
 
Hakuna cha ajabu. Huo ni utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ambao hata watangulizi wake walifanya. Hata aliyepo anafanya japo Magufuli aliwadanganya kuwa yeye akitoka madarakani hakina mtu mwingine atajenga mabarabara na madaraja.

Mungu akaona isiwe tabu. Kamsepesha 2021 na Tanzania inakwenda kwa kasi sana. Acha kuabudu marehemu
Nilisha amua niachane nawe kwenye hili, lakini naona ninazidi kuvutwa tu kila ninapokusoma.
Mimi ni kati ya walio chukizwa sana na tabia mbovu za huyo jamaa Magufuli. Nilidiriki kumpa jina la "shetani katika kiwiliwili cha binaadam" kwa matendo yake ya hovyo; na hili nitaendelea kuliamini hivyo kwa kiongozi huyo.

Kwa upande anaosifiwa Magufuli, hata kama katika baadhi ya mambo aliyofanya kulikuwemo na makosa.
Huwezi kamwe kusema Magufuli hakufanya mambo kwa nia ya kuleta faida kwa Tanzania na watu wake kiujumla.

Kama ni swala la mipango ya maendeleo iliyomo kwenye ilani,; lile Bwawa la Mwalimu Nyerere kwa hakika lilihitaji uthubutu kuliweka mbele katika mipango ya utekelezaji. Hili lililkuwa katika mipango hiyo kwa muda mrefu sana, na kila kiongozi aliliona, lakini hakuchukuwa hatua ya kulitekeleza.

Hata maswala ya mali za taifa hili, kama madini, pamoja na kasoro zilizojitokeza katika utekelezaji, lakini uthubutu huo ulihitahi ujasiri wa uongozi na kujiamini.

Sitaki kupitia katika 'laundry list' ya kila kitu; lakini 'theme' nzima ya uongozi wa huyo Magufuli ilikuwa ni kuliwezesha taifa hili, kuwawezesha waTanzania kuwa wanufaika na wahusika wa mali zao za kitaifa.
Tanzania inahitaji zaidi kiongozi anayeweza kuwatia moyo wananchi wake kuhusu uwezo wao wa kujiletea maendeleo kwa kutumia raslimali walizo jaaliwa na Mwenyezi Mungu; watu wanaoamini kuwa ni jukumu lao la kuleta maendeleo yao, na siyo kutegemea maendeleo yaletwe toka nje.

WaTanzania ni lazima wawe ni watu wa kujiamini wanao uwezo; kama hawana watautafuta, kwa sababu raslimali watu tunayo ya kutosha kabisa.
Hatuhitaji kwenda kutafuta watu wa kuja kupanda miti hapa, ili tuwe na misitu ya kutosha; na hatuhitaji watu kuja ku-manage' mapori tuliyo nayo hapa, kazi hiyo haihitaji 'rocket science' kuimudu. Kama hatuna wataalam kwa sasa, hata kukodi 'cosultant' tu waje hapa kwa muda kutufundisha hatuwezi?
Bandarini kuna jambo gani la ajabu sana kwamba hatuwezi kuendesha bandari zetu?Tunanadisha miaka 30, pengine zaidi, kwamba katika muda wote huo, sisi tutakuwa hatuwezi kujifunza kazi hiyo na kuifanya kwa ufanisi?

Unapoona kila kitu tunategemea kuja kufanyiwa, tena kwa gharama kubwa, ubovu unaanzia huko juuu kabisa kwenye ngazi ya urais.

Imenibidi niandike yote haya kukuonyesha mahali ambapo tunapishana sana katika maswala ya uongozi wa nchi hii.
Kwa uongozi wa 'Chra Kiziwi', Tanzania itakuwa ni nchi tegemezi milele. Linganisha hali hiyo na nchi kama Korea Kusini.
 
Amesema "ana nia" yakugombea Urais kupitia Chadema 2025, akiwa na maana endapo kama atapitishwa na vikao vya chama chake.

Hiyo ni tofauti na kusema atagombea Urais kupitia Chadema, hata kama bado vikao vya chama chake kumpitisha mgombea havijakaa.
Hiyo ni tafsiri yako. Yeye amesema atagombea urais. Amejitangaza bila kufuata taratibu za chama. Anajiwahi ili mtu mwingine akitaka kugombea aonekane anamwingilia. Poor kamanda msaliti.
 
Nilisha amua niachane nawe kwenye hili, lakini naona ninazidi kuvutwa tu kila ninapokusoma.
Mimi ni kati ya walio chukizwa sana na tabia mbovu za huyo jamaa Magufuli. Nilidiriki kumpa jina la "shetani katika kiwiliwili cha binaadam" kwa matendo yake ya hovyo; na hili nitaendelea kuliamini hivyo kwa kiongozi huyo.

Kwa upande anaosifiwa Magufuli, hata kama katika baadhi ya mambo aliyofanya kulikuwemo na makosa.
Huwezi kamwe kusema Magufuli hakufanya mambo kwa nia ya kuleta faida kwa Tanzania na watu wake kiujumla.

Kama ni swala la mipango ya maendeleo iliyomo kwenye ilani,; lile Bwawa la Mwalimu Nyerere kwa hakika lilihitaji uthubutu kuliweka mbele katika mipango ya utekelezaji. Hili lililkuwa katika mipango hiyo kwa muda mrefu sana, na kila kiongozi aliliona, lakini hakuchukuwa hatua ya kulitekeleza.

Hata maswala ya mali za taifa hili, kama madini, pamoja na kasoro zilizojitokeza katika utekelezaji, lakini uthubutu huo ulihitahi ujasiri wa uongozi na kujiamini.

Sitaki kupitia katika 'laundry list' ya kila kitu; lakini 'theme' nzima ya uongozi wa huyo Magufuli ilikuwa ni kuliwezesha taifa hili, kuwawezesha waTanzania kuwa wanufaika na wahusika wa mali zao za kitaifa.
Tanzania inahitaji zaidi kiongozi anayeweza kuwatia moyo wananchi wake kuhusu uwezo wao wa kujiletea maendeleo kwa kutumia raslimali walizo jaaliwa na Mwenyezi Mungu; watu wanaoamini kuwa ni jukumu lao la kuleta maendeleo yao, na siyo kutegemea maendeleo yaletwe toka nje.

WaTanzania ni lazima wawe ni watu wa kujiamini wanao uwezo; kama hawana watautafuta, kwa sababu raslimali watu tunayo ya kutosha kabisa.
Hatuhitaji kwenda kutafuta watu wa kuja kupanda miti hapa, ili tuwe na misitu ya kutosha; na hatuhitaji watu kuja ku-manage' mapori tuliyo nayo hapa, kazi hiyo haihitaji 'rocket science' kuimudu. Kama hatuna wataalam kwa sasa, hata kukodi 'cosultant' tu waje hapa kwa muda kutufundisha hatuwezi?
Bandarini kuna jambo gani la ajabu sana kwamba hatuwezi kuendesha bandari zetu?Tunanadisha miaka 30, pengine zaidi, kwamba katika muda wote huo, sisi tutakuwa hatuwezi kujifunza kazi hiyo na kuifanya kwa ufanisi?

Unapoona kila kitu tunategemea kuja kufanyiwa, tena kwa gharama kubwa, ubovu unaanzia huko juuu kabisa kwenye ngazi ya urais.

Imenibidi niandike yote haya kukuonyesha mahali ambapo tunapishana sana katika maswala ya uongozi wa nchi hii.
Kwa uongozi wa 'Chra Kiziwi', Tanzania itakuwa ni nchi tegemezi milele. Linganisha hali hiyo na nchi kama Korea Kusini.
Magufuli alimaster sana the art of propaganda. Alizishika media zote, hadi za nje kuna wakati ikatangazwa kwamba hazipaswi kurusha maudhui ya ndani bila kibali.

Media zote nchi, binafsi na zile za serikali hadi zile ambazo ziko tu online ambazo hazina usajili wa serikali zilijaa woga kumtaja Magufuli katika namna ambayo isingempendeza. Media nchini ziliimba mapambio ya kumsifu na kumtukuza mawizo mpaka machweo.

Propaganda za Magufuli zinanikumbusha propaganda za Adolf Hilter, Joseph Stalin na Mao Ze Dong. Hawa watu walikuwa na uwezo mkubwa sana wa kuaminisha mambo ambayo hayapo, walikuwa na uwezo wa kupandikiza nadharia zao na imani zao juu ya kadamnasi na ikaamini vivyo, huku nyuma ya pazia wakiwa na mauzauza yao kibao.

Magufuli alitupiga wapi? Kwanza alijifanya Rais wa wanyonge, akijua kwamba watanzania wengi over 40% tuko chini ya mstari wa umasikini wa $1 kwa siku, masikini wengi tulimpenda sana tukidhani ni mwenzetu lakini katu, hakuwa mwenzetu, JPM alikuwa tajiri sana.

Magufuli alijua kwamba watanzania hatupendi mafisadi, wengi tunadhani umasikini wetu kuna watu wanatuibia serikalini. JPM akaona atangaze nao vita kali, tukamsahau yeye ambaye alijilimbikizia mali nyingi sana, huku tukijua kwamba anapambana na mafisadi kwa ajili yetu, kumbe ni kwa ajili yake kwani kila alipotaifisha mali zao, zikawa zake na jamaa zake.

JPM master the art of public manipulation. Kwenye ziara zake alisimama barabarani, alizungumza na watu, akatoa fedha hadharani kwa watu wa hali ya chini, alitembelea hospitali na kutoa misaada hadharani kwa watu waliokuwa na hali ngumu huku kila media ikimulika. Vitendo vile vimewalevya wengi kudhani kwamba JPM was saviour, tukasahau kabisa na yeye ni mwanadamu mwenye tamaa na uchu, aliweza kufanya chochote pasi nasi kujua kuwa mali zetu zinaibwa na kuwekezwa kwenye hotels zake, real estate, mashamba na kuficha fedha nje ya nchi. Mtoto wa dada yake, aliyekuwa Katibu Mkuu Wizara ya fedha Dotto James alifanya kazi kubwa sana kusafirisha fedha za mjomba wake nje.

Naona leo wakimkumbuka sana. Nasikitika sana kuona wengi wakimkumbuka JPM pasi na wao kujua kwamba bado wamo kwenye dimbwi la mning'inio wa propaganda za JMP. Ila kama tungejua uozo na madudu aliyofanya nyuma ya pazi, pengine tungezinduka kutoka kwenye hangover hiyo. Tuishie hapo.
 
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu amesema nia yake ya kugombea nafasi ya urais kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 iko palepale.

Tundu Lissu ameyasema hayo leo, Julai 26, 2024 katika uwanja wa ndege wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam alipowasili akitokea nchini Ubelgiji.

Tundu Lissu amesema wakati anamkabili Hayati Magufuli alikuwa na umri wa miaka 52, mwaka kesho atakuwa na umri wa miaka 57 hivyo hawezi kuwa na nguvu zile zile za miaka 52 na kwa miaka 57. Lissu meongeza kuwa nguvu ya hoja, na msimamo wa kisiasa na uaminifu kwa watanzania bado uko palepale.

Huyu mama, kama tuliweza kumkabili Magufuli hajatoa matokeo ya urais mpaka leo, huyu aliyekuwa anaua watu, kama tuliweza kumkabilia miaka mitano iliyopita, huyu mama hatakuwa na shida kubwa kama Magufuli.

Pamoja na yote, hii mama mama mama hii ni ya watu waliohongwa na hii haina shida.

Nia yangu ya kugombea Urais iko palepale, nitaitikia wito wa watanzania, nitaitikia wito wa chama changu.
Imeisha hiyo
 
Nilisha amua niachane nawe kwenye hili, lakini naona ninazidi kuvutwa tu kila ninapokusoma.
Mimi ni kati ya walio chukizwa sana na tabia mbovu za huyo jamaa Magufuli. Nilidiriki kumpa jina la "shetani katika kiwiliwili cha binaadam" kwa matendo yake ya hovyo; na hili nitaendelea kuliamini hivyo kwa kiongozi huyo.

Kwa upande anaosifiwa Magufuli, hata kama katika baadhi ya mambo aliyofanya kulikuwemo na makosa.
Huwezi kamwe kusema Magufuli hakufanya mambo kwa nia ya kuleta faida kwa Tanzania na watu wake kiujumla.

Kama ni swala la mipango ya maendeleo iliyomo kwenye ilani,; lile Bwawa la Mwalimu Nyerere kwa hakika lilihitaji uthubutu kuliweka mbele katika mipango ya utekelezaji. Hili lililkuwa katika mipango hiyo kwa muda mrefu sana, na kila kiongozi aliliona, lakini hakuchukuwa hatua ya kulitekeleza.

Hata maswala ya mali za taifa hili, kama madini, pamoja na kasoro zilizojitokeza katika utekelezaji, lakini uthubutu huo ulihitahi ujasiri wa uongozi na kujiamini.

Sitaki kupitia katika 'laundry list' ya kila kitu; lakini 'theme' nzima ya uongozi wa huyo Magufuli ilikuwa ni kuliwezesha taifa hili, kuwawezesha waTanzania kuwa wanufaika na wahusika wa mali zao za kitaifa.
Tanzania inahitaji zaidi kiongozi anayeweza kuwatia moyo wananchi wake kuhusu uwezo wao wa kujiletea maendeleo kwa kutumia raslimali walizo jaaliwa na Mwenyezi Mungu; watu wanaoamini kuwa ni jukumu lao la kuleta maendeleo yao, na siyo kutegemea maendeleo yaletwe toka nje.

WaTanzania ni lazima wawe ni watu wa kujiamini wanao uwezo; kama hawana watautafuta, kwa sababu raslimali watu tunayo ya kutosha kabisa.
Hatuhitaji kwenda kutafuta watu wa kuja kupanda miti hapa, ili tuwe na misitu ya kutosha; na hatuhitaji watu kuja ku-manage' mapori tuliyo nayo hapa, kazi hiyo haihitaji 'rocket science' kuimudu. Kama hatuna wataalam kwa sasa, hata kukodi 'cosultant' tu waje hapa kwa muda kutufundisha hatuwezi?
Bandarini kuna jambo gani la ajabu sana kwamba hatuwezi kuendesha bandari zetu?Tunanadisha miaka 30, pengine zaidi, kwamba katika muda wote huo, sisi tutakuwa hatuwezi kujifunza kazi hiyo na kuifanya kwa ufanisi?

Unapoona kila kitu tunategemea kuja kufanyiwa, tena kwa gharama kubwa, ubovu unaanzia huko juuu kabisa kwenye ngazi ya urais.

Imenibidi niandike yote haya kukuonyesha mahali ambapo tunapishana sana katika maswala ya uongozi wa nchi hii.
Kwa uongozi wa 'Chra Kiziwi', Tanzania itakuwa ni nchi tegemezi milele. Linganisha hali hiyo na nchi kama Korea Kusini.
Kujenga bwawa la umeme ilikuwa wastage ya miti iliyokatwa na kuharibu baioanuai ya Selous. Hizo megawatts 2100 tungeweza kuzipata kwa ku implement Kinyerezi 3- 5 projects za kuzalisha "clean energy" through Natural Gas.

Bandari ni kweli wala usirembe, tumeshindwa kwa kuwa Watanzania ni wezi, wavivu na wazembe. KWANI Mwendokasi huioni? Miaka 7 tu iko choka mbaya. Maamuzi bora ni kubinfsisha kama tulivyobinfsisha TBL, TCC na NMB
 
Bandari ni kweli wala usirembe, tumeshindwa kwa kuwa Watanzania ni wezi, wavivu na wazembe. KWA Mwendokasi huioni? Miaka 7 tu ilo choka mbaya. Maamuzi bora ni kubinfsisha kama tulivyobinfsisha TBL, TCC na NMB
Well
 
Naona leo wakimkumbuka sana. Nasikitika sana kuona wengi wakimkumbuka JPM pasi na wao kujua kwamba bado wamo kwenye dimbwi la mning'inio wa propaganda za JMP. Ila kama tungejua uozo na madudu aliyofanya nyuma ya pazi, pengine tungezinduka kutoka kwenye hangover hiyo. Tuishie hapo.
Duh!
Yote haya ya nini. Hukuelewa niliyo andika katika andiko hilo unalojibu hapa!
Ujenzi wa Bwawa la umeme ni propaganda?

Na hii ya kutiwa usingizini na huyu 'Chura Kiziwi', hivyo vyombo vya habari viko wapi sasa hivi? Tofauti ni ipi hasa; hivyo vyombo kutishiwa, au vyombo kulainishwa kwa rushwa vione wanao wajaza matumbo hawana habari yoyote inayohitaji kuandikwa 'objectively'?

Kiongozi aliye na haraka sana, kuhakikisha kwamba kabla hajaondoka madarakani raslimali zote awe amezikabidhi kwa anaotaka yeye?
Hivi haya yaliyofanyika katika muda mfupi huu wa yeye kuwa madarakani, nayo yalikuwemo kwenye mipango ya taifa, yeye anatekeleza tu? Haraka hii ya kugawa ni ya kitu gani? Haya mapori yote kugawiwa, na ardhi harakaharaka hivi, kuna kitu gani anacho hofia yeye?

Imebidi nikufuate hivi, kwa sababu naona unajisahaulisha yanayofanyika sasa na unakazania yale ambayo baadhi yake tulisha kubaliana kuhusu uongozi wa Magufuli.
 
Kujenga bwawa la umeme ilikuwa wastage ya miti iliyokatwa na kuharibu baioanuai ya Selous. Hizo megawatts 2100 tungeweza kuzipata kwa ku implement Kinyerezi 3- 5 projects za kuzalisha "clean energy" through Natural Gas.
'Seriously'? Utakuwa unazo sababu nyingine kuhusu hili, au huna uelewa mzuri kuhusu masuala haya. Kwa mfano, Natural Gas itakuwaje 'Clean Energy' kuishinda 'Hydro Power'? Hata tofauti ya gharama ya uzalishaji kwa 'unit', pia hujui?
Bandari ni kweli wala usirembe, tumeshindwa kwa kuwa Watanzania ni wezi, wavivu na wazembe. KWANI Mwendokasi huioni? Miaka 7 tu iko choka mbaya. Maamuzi bora ni kubinfsisha kama tulivyobinfsisha TBL, TCC na NMB
Ninapo andika siwezi kutafuna kila kitu ili msomaji ameze tu bila kutumia akili ya kujua maana ya alicho soma.. Kwa bahati mbaya sana unaonyesha wazi hapa hukuelewa nilicho andika hapo juu, au kwa maksudi tu hukutaka kuelewa kwa sababu zako mwenyewe. Kwa mfano kwa nini mzigo wa lawama juu ya huo unaouita wewe "wizi, uzembe/wavivu" uelekeze lawama kwa wananchi, na isiwe kwa viongozi wanaoongoza nchi? Kwa mara ya kwanza naona maneno yanayotumiwa na kundi maalum lililopo hapa JF, lugha wanayotumia hao hao wasiotaka tufanye mambo yetu muhimu sisi wenyewe. Sasa nielewe kuwa nawe ni mmoja wa hawa chawa wa 'Chura Kiziwi'?

. Niambie/toa mfano ni nchi gani hapa duniani isiyokuwa na mambo hayo yote, tena na ziada!
Marekani hayo hayapo? China hayapo? Korea Kusini hayapo? Singapole/ Malaysia/Vietnam hayapo? Nchi gani duniani hapa pasipokuwa na wezi, majambazi n.k., n.k.. Uarabuni kwa wajomba zetu haya hayapo?

Nilikwisha jibishana na watu kadhaa humu JF kuhusu hili, baada ya wao kuzusha hayo hayo uliyo wazushia waTanzania. Tena ni lugha hiyo hiyo uliyo tumia na wao ni machawa kabisa wa huyo 'Chura Kiziwi'. Sasa unanitia wasiwasi nawe kukuweka kwenye kundi hilo hilo. Mmefundishwa kuwadharau na kuwadhalilisha waTanzania?

Itasikitisha kwelikweli, kama nawe ni sehemu ya watu mlio kuja hapa JF kwa kazi maalum ya kuhubiri uduni wa uwezo walio nao waTanzania na kutoweza kujimudu kufanya mambo yao wenyewe, ili kuhalalisha kugawa raslimali zetu kwa hao mnao wagawia. Sikuwahi hata siku moja kukufikiria katika mlengo huo unao uonyesha hapa leo.
 
Huwa simkubali huyu jamaa lakini anaweza akawa "Presidential material l" kwa sasa pale CHADEMA. Angekuwepo Baregu ungekuwa ni wakati wake sasa kugombea. R.I.P
 
Duh!
Yote haya ya nini. Hukuelewa niliyo andika katika andiko hilo unalojibu hapa!
Ujenzi wa Bwawa la umeme ni propaganda?

Na hii ya kutiwa usingizini na huyu 'Chura Kiziwi', hivyo vyombo vya habari viko wapi sasa hivi? Tofauti ni ipi hasa; hivyo vyombo kutishiwa, au vyombo kulainishwa kwa rushwa vione wanao wajaza matumbo hawana habari yoyote inayohitaji kuandikwa 'objectively'?

Kiongozi aliye na haraka sana, kuhakikisha kwamba kabla hajaondoka madarakani raslimali zote awe amezikabidhi kwa anaotaka yeye?
Hivi haya yaliyofanyika katika muda mfupi huu wa yeye kuwa madarakani, nayo yalikuwemo kwenye mipango ya taifa, yeye anatekeleza tu? Haraka hii ya kugawa ni ya kitu gani? Haya mapori yote kugawiwa, na ardhi harakaharaka hivi, kuna kitu gani anacho hofia yeye?

Imebidi nikufuate hivi, kwa sababu naona unajisahaulisha yanayofanyika sasa na unakazania yale ambayo baadhi yake tulisha kubaliana kuhusu uongozi wa Magufuli.
Mapori yamefanyaje? Kwani huelewi biashara ya carbon credit duniani? Au hujui kuna Halmashauri ngapi zinapata hela ya carbon kwa mabilioni.??

Mbona mnajizima data. Ni msitu gani ametoa? Sema tu wewe ni mbumbumbu wa biashara ya carbon credit na hunting.

Hakuna mtu anaweza kuuza ardhi ya Tanzania kwa vile ardhi ya Tanzania ni mali ya Serikali, wananchi au wawekezaji kukodishwa kwa kipindi maalum. Team Wapotoshaji HOVYO
 
Back
Top Bottom