Huyu kwa Urais HAPANA. Uwaziri Mkuu sawa kabisa. Watu ambao hawakubali mawazo ya wenzao na kujiona kila wakati wako sawa huwa wanaishia kuwa viongozi wabaya sana kama MagufuliAmetangaza jambo hilo alipoulizwa na Mwandishi wa habari iwapo bado anayo dhamira ya kufanya hivyo.
Lissu anesema kwamba Japo 2025 atakuwa na Umri wa miaka 57 lakini bado anaamini atakuwa na uwezo huo.
View attachment 3052937
Kama Lissu atagombea basi kura yangu anayo, kama hatogombea sitapiga kura.Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundi Lissu amesema nia yake ya kugombea nafasi ya urais kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 iko palepale.T undu Lissu ameyasema hayo leo, Julai 26, 2024 katika uwanja wa ndege wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam alipowasili akitokea nchini Ubelgiji.
Lipumba je?Hachoki
Umemsikiliza alichosema au umekurupuka!? Unajua maana ya nia?CHADEMA hakuna demokrasia kabisa. Huyo Lissu ana uhakika gani chama chake kitampitisha? Au yeye ndo katiba ya chama?
Usipotaja JPM unaona habari yako haijakamilikaHuyu kwa Urais HAPANA. Uwaziri Mkuu sawa kabisa. Watu ambao hawakubali mawazo ya wenzao na kujiona kila wakati wako sawa huwa wanaishia kuwa viongozi wabaya sana kama Magufuli
Huko CCM demokrasia ndo ile ya form moja!!???CHADEMA hakuna demokrasia kabisa. Huyo Lissu ana uhakika gani chama chake kitampitisha? Au yeye ndo katiba ya chama?
Chawa wa chura kiziwi huyo achana nayeUsipotaja JPM unaona habari yako haijakamilika
Hapana ni ile ile hoja ya kupigwa risasiAna jipya?
Huko alipo anapata sleepless nights.... njia pekee ya kujiokoa waliyobaki nayo CCM ni engua engua ya wagombea...Mama Abduli alizuia Katiba Mpya ili upinzani wasusie, apite bila kupingwa.
Huyo aliyepo anakubali mawazo ya wenzake? Vipi kuhusu katiba mpya?Huyu kwa Urais HAPANA. Uwaziri Mkuu sawa kabisa. Watu ambao hawakubali mawazo ya wenzao na kujiona kila wakati wako sawa huwa wanaishia kuwa viongozi wabaya sana kama Magufuli
..Magufuli anapendwa sana nchi hii.Huyu kwa Urais HAPANA. Uwaziri Mkuu sawa kabisa. Watu ambao hawakubali mawazo ya wenzao na kujiona kila wakati wako sawa huwa wanaishia kuwa viongozi wabaya sana kama Magufuli
Huko alipo anapata sleepless nights.... njia pekee ya kujiokoa waliyobaki nayo CCM ni engua engua ya wagombea.
Kila la kheriAmetangaza jambo hilo alipoulizwa na Mwandishi wa habari iwapo bado anayo dhamira ya kufanya hivyo.
Lissu anesema kwamba Japo 2025 atakuwa na Umri wa miaka 57 lakini bado anaamini atakuwa na uwezo huo.
View attachment 3052937