Mtu akishashiba ugali na dagaa na ana bando la kutosha anajiropokea tu.Acha kabisa yaani hapo akibebwa tu hana wakumsaidia kuanza kusumbua familia members kumpelekea chakula na kuwapa lawama hamkuja kuniona segerea
System imeanza kumlinda Rais Ajaye?View attachment 3179579
Wakuu naona Tundu Lissu amerejesha fomu akiwa na bullet proof. Wote tunajua makao makuu ya Chadema ni sehemu salama na yenye amani.
Ila kwenye siasa kila kitu kisicho cha kawaida ni ujumbe.
Hapa tunapata ujumbe gani kutoka kwa Lissu?
Na kipindi iki watadakwa wengi sana hapa jf kimya kimyaMtu akishashiba ugali na dagaa na ana bando la kutosha anajiropokea tu.
Tuko Hapa Mikocheni nyumbani Kwa Mugabe πRepota wa Lissu johnthebaptist umepitwaje na hii?
Umeshiba ugali huko na kujivunia ID fake? Haitakusaidia ndugu, be wiseMbowe ni muhalifu anaweza kumuua Lisu.
Hahahaaa.....Jamaa anamkubali sana Lissu. Basi tuRepota wa Lissu johnthebaptist umepitwaje na hii?
This Man is God ChoosenSafi sana yuko tsyali kwa lolote...
Anamaanisha hiyo nafasi anayowania ni ya "kivita"
na inahitaji kujitoa haswaa
Go TL
Nasikia unataka kumpeleka Lissu kwa MwamposaTuko Hapa Mikocheni nyumbani Kwa Mugabe π
ππNasikia unataka kumpeleka Lissu kwa Mwamposa
Mwamposa analala hostel za Kanisa Moja Takatifu La Mitume kule anakojifichaga Mnyika akitafutwa na Mapolisi πNasikia unataka kumpeleka Lissu kwa Mwamposa
Kazi ipoo!π§π§π§View attachment 3179579
Wakuu naona Tundu Lissu amerejesha fomu akiwa na bullet proof. Wote tunajua makao makuu ya Chadema ni sehemu salama na yenye amani.
Ila kwenye siasa kila kitu kisicho cha kawaida ni ujumbe.
Hapa tunapata ujumbe gani kutoka kwa Lissu?
π€£ π€£ π€£Anaogopa watamChacha Wangwe
Lissu hatumii Teleportation kutoka kwake hadi makao makuu ya CHADEMA anapitia mitaa hii hii ambayo watu wanatekwa na kuuwawa.Wote tunajua makao makuu ya Chadema ni sehemu salama na yenye amani.