min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 23,322
- 64,738
Mtu akishashiba ugali na dagaa na ana bando la kutosha anajiropokea tu.Acha kabisa yaani hapo akibebwa tu hana wakumsaidia kuanza kusumbua familia members kumpelekea chakula na kuwapa lawama hamkuja kuniona segerea