Hope urassa
JF-Expert Member
- Aug 22, 2017
- 4,230
- 10,650
Huyu "mwa" za kina Mwashambwa zinamdanganyaUkiambiwa usaidie jeshi la police kwa hizi tuhuma utaweza?
Jeshi Gani la police m,hili la Mia mia au jingineUkiambiwa usaidie jeshi la police kwa hizi tuhuma utaweza?
Kwani kazi ya bullet proof ni nini? Hilo ndio jibu... kuna risk!View attachment 3179579
Wakuu naona Tundu Lissu amerejesha fomu akiwa na bullet proof. Wote tunajua makao makuu ya Chadema ni sehemu salama na yenye amani.
Ila kwenye siasa kila kitu kisicho cha kawaida ni ujumbe.
Hapa tunapata ujumbe gani kutoka kwa Lissu?
Hilo hiloJeshi Gani la police m,hili la Mia mia au jingine
View attachment 3179579
Wakuu naona Tundu Lissu amerejesha fomu akiwa na bullet proof. Wote tunajua makao makuu ya Chadema ni sehemu salama na yenye amani.
Ila kwenye siasa kila kitu kisicho cha kawaida ni ujumbe.
Hapa tunapata ujumbe gani kutoka kwa Lissu?
Nyie wanasiasa janjajanja sana.Sijui ninyi chadema
View attachment 3179579
Wakuu naona Tundu Lissu amerejesha fomu akiwa na bullet proof. Wote tunajua makao makuu ya Chadema ni sehemu salama na yenye amani.
Ila kwenye siasa kila kitu kisicho cha kawaida ni ujumbe.
Hapa tunapata ujumbe gani kutoka kwa Lissu?
Hiiiii wajameni, kumbe ni mahali pa mlo wa mwamba, ukipagusa tu, wafa !Safi sana yuko tsyali kwa lolote...
Anamaanisha hiyo nafasi anayowania ni ya "kivita"
na inahitaji kujitoa haswaa
Go TL
Za chini chini ndani ndani ni kuwa anataka kuziba mfereji wa MLO wa mwamba mwenyewe ! Yaani Hilo ni jambo Tete mno !Anawindwa. Amechukua tahadhari
HaaaWeeee kwa huu unafki wa watu avae tuππ
Nyuso za wapokea fomu mbona zinaashiria hali ya utusitusi kunani wajameni ?
TrueAmekua 50 cent sasa. Sema huyu mwamba ni mtu na nusu. Watanzania wakesho wana muhitaji sana lissu kuliko yeye anavyo wahitaji.
Na mpokea fomu ni Benson kigaila ama kweli loli na Loli panandi pijalaView attachment 3179579
Wakuu naona Tundu Lissu amerejesha fomu akiwa na bullet proof. Wote tunajua makao makuu ya Chadema ni sehemu salama na yenye amani.
Ila kwenye siasa kila kitu kisicho cha kawaida ni ujumbe.
Hapa tunapata ujumbe gani kutoka kwa Lissu?
Na hao wanachama wao wanaamini maigizo haya.View attachment 3179579