Tundu Lissu arudisha fomu makao makuu ya CHADEMA akiwa amevaa bulletproof. Hii ina maana gani?

wAAYu9E.jpg
 
View attachment 3179579

Wakuu naona Tundu Lissu amerejesha fomu akiwa na bullet proof. Wote tunajua makao makuu ya Chadema ni sehemu salama na yenye amani.

Ila kwenye siasa kila kitu kisicho cha kawaida ni ujumbe.

Hapa tunapata ujumbe gani kutoka kwa Lissu?
Kwani kazi ya bullet proof ni nini? Hilo ndio jibu... kuna risk!
 
Masharti ya kumiliki silaha yarahisishwe ili kila mwenye uwezo aweze kununua silaha kwenye maduka mahsusi kama zilivyo helmet sime na mapanga.
 
View attachment 3179579

Wakuu naona Tundu Lissu amerejesha fomu akiwa na bullet proof. Wote tunajua makao makuu ya Chadema ni sehemu salama na yenye amani.

Ila kwenye siasa kila kitu kisicho cha kawaida ni ujumbe.

Hapa tunapata ujumbe gani kutoka kwa Lissu?

Tuanzie Bullet Proof ni nini? Maana yake Bullet Proof kavaa vazi la kuzuia risasi kupenya maeneo ya kifuani na mgongoni mwake, hivyo kwa haraka tunasema amevaa kujikinga na risasi, yaani anawasiwasi huenda au labda atapigwa risasi, yaani kaamua kujikinga..!!

Mashaka au wasiwasi ni sehemu ya maisha ya mwanadamu, so kuwa na wasiwasi au mashaka na kuchukua tahadhari sio kosa kisheria, ni kama vile wakati kabla ya sex ukiwa na mashaka au wasiwasi na mpenzi wako unavaa kinga yaani Condom ili usipate maambukizi ya magonjwa ya zinaa, so condom kwenye sex ni kujikinga na magonjwa ya STDs, vile vile Bullet Proof ni kujikinga na risasi, sbb ni mashaka au wasiwasi binadamu aliyonayo na kuchukua tahadhari..!!

NB: Wasiwasi au mashaka ndio maisha ya kawaida kwa binadamu.
 
View attachment 3179579

Wakuu naona Tundu Lissu amerejesha fomu akiwa na bullet proof. Wote tunajua makao makuu ya Chadema ni sehemu salama na yenye amani.

Ila kwenye siasa kila kitu kisicho cha kawaida ni ujumbe.

Hapa tunapata ujumbe gani kutoka kwa Lissu?
Na mpokea fomu ni Benson kigaila ama kweli loli na Loli panandi pijala
 
View attachment 3179579

Wakuu naona Tundu Lissu amerejesha fomu akiwa na bullet proof. Wote tunajua makao makuu ya Chadema ni sehemu salama na yenye amani.

Ila kwenye siasa kila kitu kisicho cha kawaida ni ujumbe.

Hapa tunapata ujumbe gani kutoka kwa Lissu?
Na hao wanachama wao wanaamini maigizo haya.
Amkeni nyie manyumbu hao jamaa lao moja wote, hamna kitu hapo
 
Back
Top Bottom