Sasa km anaenda kumwona daktari wake shida iko wapi. Watanzania wengine mna roho za kichawi
Alikuwa hivyo hivyo watu wanaenda uwanja wa ndege kumpokea?..Lissu ameanza ku-trend toka enzi za Mzee Mkapa.
..wewe labda ni mtoto wa juzijuzi, waulize shangazi na wajomba zako wakueleze alipotokea Lissu.
Serikali ilikuwa inafeli Sana kuwabania chadema, ilitakiwa since day one wawaache tu
Hawana nguvu tena, hawana ishu,
Hayo ya Kumsindikiza mtu ni ushamba na kupoteza muda...., Inabidi wananchi tuwe na akili na busara tusikilize ni nini kinaongelea na sio kuacha shughuli eti unamsindikiza mtu..., Hayo ni zama za Kale....
Hilo ndio nalojiuliza ilikuaje hakuweka mambo sawa kabisa?Mbona haraka, hakuweka mambo sawa kabla ya kuondoka?
Bora Mungu aliondoa utawala wenu na gaidi /dikteta lenu.Tundu Lissu ameondoka nchini huku maandalizi ya kumpokea Godbless Lema yakizidi kupamba moto.
Kwani nini Lissu amemkimbia Lema? wajuzi wa mambo tuambizane
Uzi wako ni wa kijingaTundu Lissu ameondoka nchini huku maandalizi ya kumpokea Godbless Lema yakizidi kupamba moto.
Kwani nini Lissu amemkimbia Lema? wajuzi wa mambo tuambizane
Uvccm wote ni wachawiSio wachawi tu akili za kuuunga unga, mtu akisafiri ni kosa? Yani mental slavery imekua mbaya kabisa!
Kuna mtu aliandika kwamba Tundu Lissu ndio kasababisha uagizwe mchele kutoka nje.Kwanza Toka amerudi Cha maana kipi kafanya? Naona Chadema haijapata impacts yeyete chanya ya Kisiasa.
Alikuwa hivyo hivyo watu wanaenda uwanja wa ndege kumpokea?
Nilichokuuluza hujajibu?..Lissu aligombea ubunge mwaka 1995 kupitia Nccr-mageuzi.
..Nccr iliposambaratika akajikita zaidi kwenye uanaharakati wa mazingira Rufiji Delta, Bulyankulu, Nzega, Geita, North Mara.
..kwa hiyo kipindi hicho alikuwa ana-trend kama mwanaharakati wa kutetea masuala ya mazingira, ardhi, na haki za wachimba madini wadogo.
..tatizo la vijana wa Ccm mmeanza kumjua Lissu baada ya kupigwa risasi Sept 2017.
Rubbish, post kzms hizi zinaua credibilty ya JF@Tundu Lissu ameondoka nchini huku maandalizi ya kumpokea Godbless Lema yakizidi kupamba moto.
Kwani nini Lissu amemkimbia Lema? wajuzi wa mambo tuambizane
hili jitu lenu lilitaka limuue. Asante mungu kwa kumnusuruTundu Lissu ameondoka nchini huku maandalizi ya kumpokea Godbless Lema yakizidi kupamba moto.
Kwani nini Lissu amemkimbia Lema? wajuzi wa mambo tuambizane
Nguvu ipi wakati alishindwa kushawishi watu kuingia road kufanya maandamano, kawaambia watu wamepotezea sasa hiyo nguvu ni ya mutandaoni tu?Sukuma gang mwateseka sana.
Lissu ana nguvu kuliko wewe muuaji
Kwani Sukuma Gang mna maoni kuhusu huko 'kukimbia mapokezi'?Tundu Lissu ameondoka nchini huku maandalizi ya kumpokea Godbless Lema yakizidi kupamba moto.
Kwani nini Lissu amemkimbia Lema? wajuzi wa mambo tuambizane
Huku cell mates wake wakimuangalia tu, Sukuma Gang wana maoni gani kwenye hilo?Raia amejinyonga Kwa kutumia chupi huko polisi
Angeshawishi akiwa kaburini?Nguvu ipi wakati alishindwa kushawishi watu kuingia road kufanya maandamano, kawaambia watu wamepotezea sasa hiyo nguvu ni ya mutandaoni tu?
Huyu anayepiga video hii, anaonekana kuwa maarufu kuliko Lissu mwenyewe.🫢🤔