Tundu Lissu asafiri kwenda Ubelgiji kuonana na Daktari na kuhuisha visa yake

..Lissu ameanza ku-trend toka enzi za Mzee Mkapa.

..wewe labda ni mtoto wa juzijuzi, waulize shangazi na wajomba zako wakueleze alipotokea Lissu.
Alikuwa hivyo hivyo watu wanaenda uwanja wa ndege kumpokea?
 
Waweke na tume huru ya uchaguzi kabisa.
Serikali ilikuwa inafeli Sana kuwabania chadema, ilitakiwa since day one wawaache tu

Hawana nguvu tena, hawana ishu,
 
Hasa kama unatumia magari na mafuta ya serikali.
Hayo ya Kumsindikiza mtu ni ushamba na kupoteza muda...., Inabidi wananchi tuwe na akili na busara tusikilize ni nini kinaongelea na sio kuacha shughuli eti unamsindikiza mtu..., Hayo ni zama za Kale....
 
Tundu Lissu ameondoka nchini huku maandalizi ya kumpokea Godbless Lema yakizidi kupamba moto.

Kwani nini Lissu amemkimbia Lema? wajuzi wa mambo tuambizane
Bora Mungu aliondoa utawala wenu na gaidi /dikteta lenu.
Tungeendelea kuteseka sana.
Hadi leo hamuamini macho yenu kuwa dikteta hatunaye.
 
Alikuwa hivyo hivyo watu wanaenda uwanja wa ndege kumpokea?

..Lissu aligombea ubunge mwaka 1995 kupitia Nccr-mageuzi.

..Nccr iliposambaratika akajikita zaidi kwenye uanaharakati wa mazingira Rufiji Delta, Bulyankulu, Nzega, Geita, North Mara.

..kwa hiyo kipindi hicho alikuwa ana-trend kama mwanaharakati wa kutetea masuala ya mazingira, ardhi, na haki za wachimba madini wadogo.

..tatizo la vijana wa Ccm mmeanza kumjua Lissu baada ya kupigwa risasi Sept 2017.
 
Nilichokuuluza hujajibu?
 
Tundu Lissu ameondoka nchini huku maandalizi ya kumpokea Godbless Lema yakizidi kupamba moto.

Kwani nini Lissu amemkimbia Lema? wajuzi wa mambo tuambizane
Rubbish, post kzms hizi zinaua credibilty ya JF@
 
Tundu Lissu ameondoka nchini huku maandalizi ya kumpokea Godbless Lema yakizidi kupamba moto.

Kwani nini Lissu amemkimbia Lema? wajuzi wa mambo tuambizane
hili jitu lenu lilitaka limuue. Asante mungu kwa kumnusuru
 
Sukuma gang mwateseka sana.
Lissu ana nguvu kuliko wewe muuaji
 
Sukuma gang mwateseka sana.
Lissu ana nguvu kuliko wewe muuaji
Nguvu ipi wakati alishindwa kushawishi watu kuingia road kufanya maandamano, kawaambia watu wamepotezea sasa hiyo nguvu ni ya mutandaoni tu?
 
Tundu Lissu ameondoka nchini huku maandalizi ya kumpokea Godbless Lema yakizidi kupamba moto.

Kwani nini Lissu amemkimbia Lema? wajuzi wa mambo tuambizane
Kwani Sukuma Gang mna maoni kuhusu huko 'kukimbia mapokezi'?
 
Nguvu ipi wakati alishindwa kushawishi watu kuingia road kufanya maandamano, kawaambia watu wamepotezea sasa hiyo nguvu ni ya mutandaoni tu?
Angeshawishi akiwa kaburini?
Si tayari mlikuwa mnamsaka na bunduki?
 
Back
Top Bottom