Tundu Lissu asafiri kwenda Ubelgiji kuonana na Daktari na kuhuisha visa yake

Anaikimbia mangi gang 😀😀
 
Kushabikia siasa ni stress kuliko kushabikia mpira....bora niendelee na mpira...
 
Kwani umelazimishwa kusoma nyuzi za watu humu?.
Unaita watu ibilisi alafu unajiona upo smart.

Ondoa mastress yako hapa.
Kwani analipwa kwa kuanzisha nyuzi hata kama ni za uongo!!??
Baba wa uongo ni ibilisi shetani.
Walio waongo wote ni watoto wa ibilisi shetani.
Kuna neno lingine lolote la kumuita mtoto wa baba fulani zaidi ya fulani!!??
 
Sema karudi kwa baby wake
Wadhungu wanajua kushikilia hata pumuzi hupati walahi!
 
Mpuuzi mwingine wewe
 
Na wewe unaamini kabisa Chadema inakupigania maisha yako?
 
Kwali alikuja kufanya nn? Si alisema amekuja kuwapigania watu. Vipi mapigano yameshindikana?
Ni ngumu Sana kuwaelimisha wapumbavu..!!Kwani wapumbavu huamini kila jambo lakini mwerevu huangalia palipo na ufahamu..!Na wajinga huchukua muda kuwaelimisha.!!Ujinga ni mzigo..!!Kwa kuwa kuandika ni haki yako upo sahihi..!!Lakini unaweza usiwe sahihi kwenye uhalisia.!!Ni mawazo yako tu.!! Yanaweza kuwa ni ya uongo au hata ya kijinga pia..!!
 
Lile busu la mzungu jata kama ni wewe lazima urudi mapema tu.
 
Makamu mwenyekiti wa CHADEMA,Tundu Antipas Lissu ameondoka nchini kuelekea Ubelgiji kucheck afya yake na kuhuisha VISA yake inayokaribia kwisha muda wake

Tundu Lissu atarejea nchini baada ya Wiki mbili

Source Jambo TV
Asharudi

Nauliza?
 
Tundu Lissu amesema ameenda Ubelgiji kwa mambo mawili.

1. Kuhuisha VISA yake kwa sababu ilibakiza siku chache kuexpire

2. Kuangalia afya yake

Swai langu ni kwanini Tundu Lissu anahuisha VISA yake sasa?

Mungu ni Mwema wakati Wote!
 
Ujio wa Lema sisiemu Arusha wamechanganyikiwa.....ni Mtafaruku

Chadema Kimataifa zaidi ...beyond the boundaries Bwashee...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…