Uchaguzi 2020 Tundu Lissu asema ataendelea na Kampeni. Adai Sheria ya Maadili imevunjwa kumsimamisha Kampeni

Ata mimi ukinipa tume,polisi,jeshi,vyombo vya habari mapema ninashinda Uchaguzi mkuu
 
Kama Lisu akishindwa kutii sheria bila shuruti atasaidiwa kukaa mahabusu kwa siku saba siku ya nane wataendelea na campaign. Dawa ya kibri ni kuwa na kibri zaidi yake.
Tatizo wa kumuweka ndani yuko wapi? Lisu hana cha kupoteza kama ali survive 16 bullets siku 7 jela ni kitu gani?
 
kwanza "balua" nini?
 
Akate rufaa ili mchukue wiki nzima kimjibu? Hapa huu moto haupoi mpaka 28-10. Sababu jamaa yenu kachoka ndo mnataka kumpumzisha na TAL ili waende sawa eee?
Rais anafanyakazi za kitaifa zaidi unafikiri kama msaliti wenu Lissu!?
 
 

Attachments

Kumsimamisha Tundu Lissu ni kumpa umaarufu. NEC wangemuonya tu na mambo yakaisha.
 
yangu macho maana hili jamaa bishi kweli kweli ...
yaani yeye kila kitu kwake hakikubariki
 
Yeye mwenyewe wanamuita msukule. Mara wakala wa Beberu.
 

...................Itakuwa heri mara mia wewe kurudi tumboni mwa mama yako ili akajifungue upya punguani kama wewe kuliko mtu yeyote ajifanye anamtikisa Lissu japo amlegeze chuma unachohisi kipo mwilini mwake.


Na nikufahamishe tu baada ya uchaguzi huu iwe atashinda au hakushinda hakuna atakaemwambia asifanye siasa eti kwa sababu uchaguzi umeisha mpaka kampen za 2025 i swear atakula na Magufuli sahani moja huo mchaka mchaka wake magu atajutia kilichomfanya amtishe Mahera apindishe matokeo.

Kwa maneno mengine atatamani angekuwa Chato akishuhudia Lissu akiongoza nchi,jamaa alipofikia hayupo tena wa kumtisha even kifo tofauti na wewe unaogopa njaa unaona akipita hiyo kazi yako ya udereva wa halmashauri utaikosa.
 
Mahera akisikia JPM anavyotoa jicho jekundu kama mvuta kushabu
 
Ngoma hii tunataka mpaka ipasuke ili NEC wajue Ni busara kufuata sheria walizo jitungia wenyewe kuliko kufuata maelekezo toka juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…