Uchaguzi 2020 Tundu Lissu asema ataendelea na Kampeni. Adai Sheria ya Maadili imevunjwa kumsimamisha Kampeni

Mimi siyo mwanasheria lakini naamini Tume ya uchaguzi inayoongozwa na Jaji mbobezi haiwezi kutoa maamuzi kwa kukurupuka.

Ndio najiuliza huyu Tundu Lisu " anadhani" anazijua sheria kuliko Jaji mstaafu Kaijage?

Maendeleo hayana vyama!
 
Sio anadhani! Lisu anazijua sheria kuliko binadamu yeyote ndani ya Tanzania hii na Afrika kwa ujumla.
Majaji na wanasheria wengine wa serikali wanazijua kiasi ila ndio hivyo ukiwa ndani ya ccm au ndani ya serikali ya awamu ya tano, hupaswi kutumia taaluma yako bali unafanya kazi kwa maelekeo ya Dictator.
 
Na usirete, maana kodi tutaanza kuripa kwa mbunge turiyemchagua iri aturetee maendereo na sio wewe mbaguzi.
.hehehhehehe..

Kodi uchukue, maendeleo usilete, huyu mzee huyu ajiangalie sana.
Hahahahahaha..
Sitareta maji tunduma msiponiretea Siriinde..
Kaa kichaa vile.
 
SSA Lissu mbona anakuwa mzembe.akapeleke malalamiko NEC kuhusu JPM na majaliwa kuvunja hizo kanuni. Kama aliyofanya kwenye pingamizi .
Napenda afanye hivyo jumatatu. Asilalamike anakoswa Sifa ya kuwa rais saasa
Ushaambiwa tangu 21Sept wamepelekea malalamiko yote hakuna feedback wala tume haitangazi kuwa kuna Mgombea au Chama fulani kimeleta malalamiko kuhusu fulani.
 
Who hell is Lisu?
Ataangamizwa na nchi itendelelea!
Nchi hii ni zaidi ya lisu
 
Mimi siyo mwanasheria lakini naamini Tume ya uchaguzi inayoongozwa na Jaji mbobezi haiwezi kutoa maamuzi kwa kukurupuka.

Ndio najiuliza huyu Tundu Lisu " anadhani" anazijua sheria kuliko Jaji mstaafu Kaijage?

Maendeleo hayana vyama!
Huyo Jaji Kaijage siyo kwamba sheria hazijui................

Bali ameamua kuzipiga teke sheria hizo za Uchaguzi 😁 😀
 
Mimi siyo mwanasheria lakini naamini Tume ya uchaguzi inayoongozwa na Jaji mbobezi haiwezi kutoa maamuzi kwa kukurupuka.

Ndio najiuliza huyu Tundu Lisu " anadhani" anazijua sheria kuliko Jaji mstaafu Kaijage?

Maendeleo hayana vyama!
Ndiyo!
Tundu Lissu anazijua sheria kuliko Kaijage kwa sababu Lissu ni wakili na Kaijage ni hakimu. Kwa nature ya kazi zao wakili ni mtu anayechambua na kutafsiri sheria na mazingira ya kutumika, wakati hakimu analinganisha hoja na kupima uzito wake kisheria katika mazingira husika.
 
Balua ndio nini wewe Kihiyo,na hayo maadlili ya uchaguz ya Mgombeai kasaini Mnyika/Chadema au Lissu kama Mgombea?
 
Majaji wengi tu Tanzania ni wabobevu sana na wanaijua sheria pengine kuliko hata Tundu Lissu, tatizo kubwa ni kutumwa bwanamkubwa na kulinda kitumbua chao.
Kuna wakati unauju ukweli inakubidi hakuna namna tu huna budi kumridhisha bosi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…