Uchaguzi 2020 Tundu Lissu asema ataendelea na Kampeni. Adai Sheria ya Maadili imevunjwa kumsimamisha Kampeni

Kamati kuu wanatoaje maamuzi ikiwa barua haijapokelewa?
Lissu alitoa msimamo na zaidi alisema anasubiri maamuzi ya kamati Kuu na lolote watakaloamua kamati kuu yeye atafuata. Hivyo tunafuata msimamo huu mpya uliotolewa na kamati Kuu kwa sababu Lissu alisema ndo yatakuwa maamuzi ya mwisho
 
Kamati kuu wanatoaje maamuzi ikiwa barua haijapokelewa?
Lissu alitoa msimamo na zaidi alisema anasubiri maamuzi ya kamati Kuu na lolote watakaloamua kamati kuu yeye atafuata. Hivyo tunafuata msimamo huu mpya uliotolewa na kamati Kuu kwa sababu Lissu alisema ndo yatakuwa maamuzi ya mwisho
 
Safi sana Lissu. Tunaendelea na kampeni na watupige tu hayo mabomu yao na risasi zao!!!

Mwaka huu lazima kitaekeweka tu!!$ dadekiii
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Nadhani ataendelea tu,chamsingi ni subira tu.
 
Kama alivyosema maamuzi ya kamati kuu ndo yatakuwa final, hivyo tunaheshimu maamuzi ya kamati kuu
Sasa mbona mwanzo slikua Mbogo sana!? Eti yeye ataendelea na Ratiba zake Kama kawaida!!
 
Kuna watu ndani ya system wamemshauti asiendelee lakini alikuwa anaendelea kama kawaida. Mtego umechomolewa
Ule ulikuwa ni uropokaji tu,Ila watu tunaolewa misingi ya chadema tulikuwa tunamzoom? πŸ˜‚
 
Nimewahi kuona sehemu Mh Lissu ukisema hukumbuki ni lini ULIKUBALIANA NA WALIMU WAKO UKIWA SHULE.
Kwa mantiki hiyo,naona hilo ndilo liliopo moyoni mwako,kwamba wengine wote hawajui ila wewe tu.
Najua wewe ni makamu mwenyekiti wa CHADEMA.
Najua pia unafahamu kwamba taasisi za kiserikali huwa zinafanyakazi kimaandishi.
Nafahamu kwamba mtendaji mkuu wa chama cha siasa ni katibu mkuu
Nafahamu unafahamu kwamba mawasiliano yote ya kichama yanapelekwa kwa katibu mkuu wa chama
Nafahamu HUKUWASILIANA NA KATIBU MKUU KAMA AMAPATA BARUA AU LAA
Nafahamu ulijinbu bila kuwasiliana na ye yote.
Nafahamu ulizani tume iltakuandia wewe kama mgombea kinyume na taratibu.
Wewe kama mgombea unatupa picha halisi utakapochaguliwa hutakuwa na subira au usikivu kwa mtu ye yoe,hasa
kwa kauli yako kwamba hukumbuki linmi ulikubaliana na walimu wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…